Kyindokyakombe
Member
- May 1, 2012
- 95
- 96
Leo kutakuwa na mkutano wa hadhara ktk uwanja wa KICHANGANI Morogoro mjini kuanzia saa sita MAKAMANDA wote msikose.Leo kutakuwepo uzinduzi wa operesheni VUA GAMBA VAA GWANDA.Tusikose
Naam haya ndio mambo sasa! awali nilidhani makamanda wote watakua arusha leo...kumbe wengine mnatoa uamsho mji kasoro bahari
Mungu ibariki chadema!