Morogoro: Tundu Lissu awasha moto, ashangaa mabango ya kupatanishwa yaliyobandikwa nchi nzima

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,808
218,460
Katika mkutano wake mkubwa wa hadhara wa Morogoro mjini leo hii, ambao bila shaka umevunja rekodi ya mahudhurio, pamoja na mambo mengine, Tundu Lissu anahoji anayebandika mabango nchi nzima yakiwa na picha yake na ya watu wengine kwamba eti wamepatanishwa. Amehojiwa kama wamepatanishwa, wamepatanishwa na nani? Anadai kwamba hizo ni propaganda za kichovu, na kwamba anawezaje kupatanishwa huku kukiwa na watu waliouawa, kutekwa na kuumizwa na hatima yao wala habari zao hadi leo hazijulikani?

Akiongea kwa uchungu, Lissu anadai yeye mwenyewe alitandikwa risasi na hadi leo hakuna yeyote aliyekamatwa. Anawezaje kupatanishwa na watu wa aina hiyo? Anadai sasa hivi anaitwa CHIBA kutokana na majeraha ya wauaji wake (kwa wasiolewa Chiba ni lugha ya mjini ikimaanisha mlemavu wa mguu).

Amezungumzia kupotezwa kwa watu wengi sana, akiwemo Ben Saanane, ambao hawajulikani walipo hadi leo, huku wenye madaraka au vyombo vya dola vikinyamaza. Anasema katika hali hii anawezaje kupatanishwa na waliokuwa madarakani, unyama huu ukitendwa? Na kwamba ambaye hayupo miongoni mwa watenda unyama huo ni mmoja tu, lakini wengine wote bado wapo. Hapa unapatanishwaje?

Lissu anadai Arusha ndio mkoa unaoongoza kwa mabango ya uongo yaliyopachikwa upatanishi, huku sisi wengine tukidhani lengo lao ni kudanganya watalii ili waone nchi sasa iko shwari.
 
Katika Mkutano wake Mkubwa wa hadhara wa Morogoro Mjini leo hii , ambao bila shaka umevunja rekodi ya Mahudhurio , Pamoja na Mambo mengine Tundu Lissu anahoji anayebandika mabango nchi nzima yakiwa na picha yake na ya watu wengine kwamba eti wamepatanishwa , amehojiwa kamavwamepatanishwa , wamepatanishwa na nani ?

Anadai kwamba hizo ni propaganda za kichovu , na kwamba anawezaje kupatanishwa huku kukiwa na watu waliouawa , kutekwa na kuumizwa na habari hadi leo hazijulikani ?
Kwa sasa vyama pinzani havina mwelekeo, matumaini yanapotea.
 
Katika Mkutano wake Mkubwa wa hadhara wa Morogoro Mjini leo hii , ambao bila shaka umevunja rekodi ya Mahudhurio , Pamoja na Mambo mengine Tundu Lissu anahoji anayebandika mabango nchi nzima yakiwa na picha yake na ya watu wengine kwamba eti wamepatanishwa , amehojiwa kamavwamepatanishwa , wamepatanishwa na nani ?

Anadai kwamba hizo ni propaganda za kichovu , na kwamba anawezaje kupatanishwa huku kukiwa na watu waliouawa , kutekwa na kuumizwa na habari hadi leo hazijulikani ?
Kwahiyo Mbowe alijichukulia maamuzi peke yake, ya kuukubali upatanisho!!
 
Katika Mkutano wake Mkubwa wa hadhara wa Morogoro Mjini leo hii , ambao bila shaka umevunja rekodi ya Mahudhurio , Pamoja na Mambo mengine Tundu Lissu anahoji anayebandika mabango nchi nzima yakiwa na picha yake na ya watu wengine kwamba eti wamepatanishwa , amehojiwa kamavwamepatanishwa , wamepatanishwa na nani ?

Anadai kwamba hizo ni propaganda za kichovu , na kwamba anawezaje kupatanishwa huku kukiwa na watu waliouawa , kutekwa na kuumizwa na habari hadi leo hazijulikani ?
Mabango yanakera Kwa kweli
 
Mpuuzi sana Lisu sasa anataka wafufuliwe ndio wapatanishwe, hapa anataka alipwe tu akimbie tena zikiisha aje na jipya , huyu dawa yake ilikuwa ile ile tu

USSR
 
Tupia kapicha mkuu.
FB_IMG_1683475999271.jpg
FB_IMG_1683475993333.jpg
FB_IMG_1683475982700.jpg
 
TAL, tafadhali kwenye mikutano yako ongelea hii mada:

Mbona lakini Mkuu habari za TL hatuzipati vizuri naomba Mh Abubakari ampatie uenyekiti TL ili kuweza kuweka mikakati mipya maana Abubakari Huwezo wake umefika mwisho so let's give other peoples chance.
Abubakari amekosa ujasiri na mvuto kisa yuko jikoni masaa yote, watu wanahisi anajichukulia mapande ya nyama
 
Back
Top Bottom