Tundu Lissu: Wakili wa Osin Mbaraka

Hivi hako kajitu kanaijuwa sheria, kana piga piga kelele bungeni, nakumbuka siku moja kalikuwa kanajidai kupiga kelele za kisheria, akasimama Mzee wa Vijisenti, akamtoa "knock out" ya maneno yasiyozidi kumi. Kimya, akaufyata hana la kujibu zaidi ya mwenyewe kukiri "nakuheshimu".

Hivi nyie mnafikiri kupiga kelele zisizo na mpango ndio kujuwa ukifanyacho?

Sasa hivi Werema anatumia ile kanuni ya if you cant defeat the join them. Waulize mahakimu watakwambia Tundu ni wa aina gani. Watu wanapandisha mashetani mbele ya Tundu. Chenge hana meno mbele ya Tundu. Huyu anapractice, sijui unaelewa maana yake?
 
Bwana Ribosome heshima ni kitu cha bure. Hata kama humpendi mtu huwezi kumwita "haka ka jamaa" kama ulivyofanya.
 
Back
Top Bottom