Serikali tatu za nini? Kama muungano haufai in its present form basi tuuvunje kila mtu awe na serikali yake.Pole pole tutafika tu. Serikali tatu ndo dawa ya mungano. period! Unajua nini, linapokuja suala la muungano wazanzibar wote wanakuwa kitu kimoja. Wazanzibar wanataka nchi yao hivyo basi nasie tupewe nchi yetu...kisha tuwe na serikali ya muungano. nimechoka kusikia hadithi hii.
Muungano kama ulikuwa siri au wa uwazi it doesnt change the nature of it. Sioni sababu ya kulilia mafaili au makubaliano ya muungano hata kama kulikuwa na kikaratasi kimoja au pamphlet zima it makes no sense.
Yeye kama ni 'pro' or 'anti' aje na sababu zake na haweke wazi sio siasa za kujificha nyuma ya pazia akiwa na agenda zake. Aseme wazi muungano ana uona vipi kabla ya kutaka kurushia watu hizi habari za kura za maoni ili kupima upepo wa fikra zake. Weka wazi msimamo toa na sababu za msingi; haitaji 'article of the union' to express his feelings on the matter. Nakupiginia kile anachokiona kwenye huu muungano.
Siasa za kujificha ficha na kusubiri upepo ni dalili za u-coward.
hivi yale majina aliyoyataja ni wakinani wale! Mh anaehafahamu atujuze
Serikali tatu za nini? Kama muungano haufai in its present form basi tuuvunje kila mtu awe na serikali yake.
Pole pole tutafika tu. Serikali tatu ndo dawa ya mungano. period! Unajua nini, linapokuja suala la muungano wazanzibar wote wanakuwa kitu kimoja. Wazanzibar wanataka nchi yao hivyo basi nasie tupewe nchi yetu...kisha tuwe na serikali ya muungano. nimechoka kusikia hadithi hii.
bwana Jasusi, huwezi kuishi pekee, dunia ya leo watu waishi ki-block block, nchi mbalibali zinaungana. E.g kuna EU, AU, EAC, nk hivyo si busara kuvunja muungano na zanzibar kabisa wakati tunaungana na EAC.
kuna mtu anakumbuka majina ya vile vitabu mh. Lissu alivyokoti kimoja ni cha Prof: Issa Shivji na kingine ni cha Abdu Jumbe Mwinyi if i'm not mistaken pls msaada anayevikumbuka anitajie
kuna mtu anakumbuka majina ya vile vitabu mh. Lissu alivyokoti kimoja ni cha Prof: Issa Shivji na kingine ni cha Abdu Jumbe Mwinyi if i'm not mistaken pls msaada anayevikumbuka anitajie
Re: Tundu Lisu: Tunataka mafaili ya Muungano siyo picha za Nyerere na Karume
Ahsante kaka ni hivyo viwili vya mwwisho sijui kitufe cha thanks kiko wapi nikugongee mkuu shukrani sanaTanzania: The Legal Foundations of The Union: Amazon.co.uk: Issa G. Shivji: BooksPan-Africanism or Pragmatism?: Lessons of the Tanganyika-Zanzibar Union: Amazon.co.uk: Issa G. Shivji: BooksAboud Jumbe. 1995. The Partnership: Tanganyika Zanzibar Union 30 Turbulent Years. Dar es Salaam;