Tundu Lissu mtu wa Singida, Constantine Masawe umefuata nini Tarime?

Ili uweze kuitumikia CCM ni lazima uziondoe akili zako kichwani na kuzihifazi kwingine.Hivyo ndivyo alivyofanya huyo Massawe ili aweze kuitumikia vyema CCM
 
Mkuu hata mimi nimeshangazwa na kauli ya Massawe, anaonyesha ni jinsi gani alivyo na ufinyu wa mawazo, na hii inaonyesha kuwa ukweli wa tukio zima la mauaji ya Tarime anajua ila kutokana na kupewa maagizo na chama cha magamba anaamua kuchakachuwa ukweli, that's why anakosa hata busara ndogo ya kuingiza hoja dhaifu ya kusema kwamba kwa nini watu wa mkoa mmoja wanaenda kwenye mkoa mwingine katika tukio kama la msiba, shame on you Kamanda Massawe!!!!!!!!!!!

Riafande na mawazo yake ya kiafande afande. Pity!
 
Tunasubiri sasa baada ya uchunguzi wa daktari polisi wa massawe na ccm watachukuliwa hatua gani,
 
Tunasubiri sasa baada ya uchunguzi wa daktari polisi wa massawe na ccm watachukuliwa hatua gani,

Unadhani watasema nini mkuu sanasana utasikia: "Kwa sababu za kiintelijensia ilibidi Polisi kujihami". Unajihami nini na mtu anayekimbia?
Na tunasubiri wachakachue tena video ya tukio kama walivyofanya kule Arusha.
Shame on you Chagonja, Shame on you Mwema.
 
Kamanda wa Polisi wa kanda maalum ya Tarime na Rorya Bw. Constantine Masawe amesema Tundu Lissu na watuhumiwa wengine watatu ni watu wa Singida hivyo wanawahoji wamefuata nini Tarime.

Nionavyo mimi watu wa aina hii ya Masawe wanatupeleka pabaya. Iweje leo mtu wa mkoa mmoja azuiliwe kuingia mkoa mwingine ndani ya nchi hii huru isipokuwa kwa ruhusa ya Polisi.

Kama Tundu Lissu ni mtu wa Singida na yuko Tarime na hilo linaonekana ni jambo la ajabu kwa Masawe, je yeye kamanda Constantine ni Masawe wa Tarime?

Mbona yeye kamanda ni Massawe amefuata nini Tarime huko???
 
Mbona yeye kamanda ni Massawe amefuata nini Tarime huko???

Inawezekana ukiwa mwanamagamba unaweza kwenda popote pale hata ikiwezekana chumbani kwa mtu tena bila hata ruhusa, lakini kwa mwanachama wa upinzani labda inabidi uombe kibali kuingia mkoa mwingine kama wewe si mwenyeji wa mkoa huo.
Vichekesho kweli hivi!
 
Jamani ndugu zangu Wakurya mumeisikia kauli ya kishenzi ya masawe? Jamani huyu mshughulikieni mpaka arudi kwao machame kwenye wheel chair au kwenye sanduku kama lile lilobwagwa barabarani na hao mbwa wake.Nina hasira naye sana huyu mvuta bange masawe.
 
Kamanda wa Polisi wa kanda maalum ya Tarime na Rorya Bw. Constantine Masawe amesema Tundu Lissu na watuhumiwa wengine watatu ni watu wa Singida hivyo wanawahoji wamefuata nini Tarime.

Nionavyo mimi watu wa aina hii ya Masawe wanatupeleka pabaya. Iweje leo mtu wa mkoa mmoja azuiliwe kuingia mkoa mwingine ndani ya nchi hii huru isipokuwa kwa ruhusa ya Polisi.

Kama Tundu Lissu ni mtu wa Singida na yuko Tarime na hilo linaonekana ni jambo la ajabu kwa Masawe, je yeye kamanda Constantine ni Masawe wa Tarime?

haelewi kuwa Lissu ni waziri wa Katiba na sheria (Kivuli) , bahati mbaya hata historia ya Lissu imemtupa mkono, kuwa Lissu ni mwanaharakati hai katika sekta hiyo, sie tulio kulia jirani na migodi tunamjua fika toka miaka 15 iliyopita , huyu ni sawa na Saro wiwa wetu, amekua nasi hatua kwa hatua, akitupigania hata kabla hajawa mbunge,
akili za huyu Polisi zimekaa kiuononi.
 
Asante mkuu,
Hata hivyo kigezo cha kuwa Mtanzania tu kinatosha kumpa fursa Mh. Lissu au raia mwingine yeyote kuwa sehemu yoyote ya nchi hii ili mradi asivunje sheria.
 
Back
Top Bottom