Tundu Lissu: Katiba ya Tanzania inamfanya Rais kuwa kama Mungu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
IMG_7831.jpeg

Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inamfanya Rais kuwa kama mungu fulani hivi.

Lissu amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaweza kuamua kufanya chochote na Wananchi hawawezi kumfanya Kitu kwa sababu Katiba iliyopo imempa madaraka makubwa kupitiliza.

Lissu alikuwa anahutubia mkutano wa hadhara huko Mabwepande jimboni kwa baba askofu Dr. Gwajima.

Nakumbuka kuna Waziri mmoja jina nimelisahau alimuita Shujaa Magufuli Mhe. mungu

Mlale Unono!
 
Mkataba uvunjwe tu.., unatugawa eaTz.., au laa vipengele vya kuiuza Tanganyika viondoke
 
View attachment 2676640

Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inamfanya Rais kuwa kama mungu fulani hivi.

Lisu amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaweza kuamua kufanya chochote na Wananchi hawawezi kumfanya Kitu kwa sababu Katiba iliyopo imempa madaraka makubwa kupitiliza.

Lissu alikuwa anahutubia mkutano wa hadhara huko Mabwepande jimboni kwa baba askofu Dr. Gwajima.

Nakumbuka kuna Waziri mmoja jina nimelisahau alimuita Shujaa Magufuli Mhe. mungu

Mlale Unono!
Ogopa sana mwanadamu mwenzako akikupa utukufu sana hutamaliza muda utakufa sababu Mungu huwa hapendi,
Kuna kisa kimoja cha biblia kinamuhusu Herode, siku moja alitoa hotuba nzuri sana akasababisha watu waka piga kelele za kumsifu kwa kusema ni mungu ni mungu, hapo hapo Mungu akampiga chango akafa, sababu Herode hakumrudishia Mungu utukufu.
 
Mkataba upo palepale wala hayuko wa kuuzuia,sijamuona bado!
Urais ni watu wasiopungua 50-90.
Rais ni speaker tu lakini cabinet inakuwa imeshakaa kitako na kujadili,kabla.
 
Katiba hii ndio anguko la hii nchi na ndio mkwamo wa hii nchi,ukiachana na mkataba wa dpw nguvu kubwa sasa iwekezwe kwenye kudai katiba mpya.
 
Back
Top Bottom