Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,457
- 175,316
Mi sina sababu ya kupambania wapuuzi. Ila siku akili zikiwarudia mtainuka mseme basi ndipo nitawaunga mkono.Kuwa mstari wa mbele mkuu kusimamia unaloeleza hapa!.
Mi sina sababu ya kupambania wapuuzi. Ila siku akili zikiwarudia mtainuka mseme basi ndipo nitawaunga mkono.Kuwa mstari wa mbele mkuu kusimamia unaloeleza hapa!.
Betting itaongezeka piaViwanda gani vya kulipana ef 7 siku nzima. Kama viwanda vitaanza kulipa elfu 7 kwa lisaa limoja hutaona mtu anapurukushana barabarani na maboda boda. Hata wakilipa elf 4 kwa lisaa bado ni pesa nzuri ambayo itapu nguza kundi kubwa kwenye betting na boda boda.
Pia barabara ni nyembamba wengi wanasukumiwa mitaroni,Hakuna hoja ambayo mtu yeyote anaweza kuleta kuhusu kuhalalisha bodaboda kama usafiri wa umma. Hoja hiyo itakuwa na mashiko, labda mbele ya watu wenye uelewa duni.
Watengenezaji wenyewe wanatoa tahadhari kuhusu matumizi ya pikipiki wanazotengeneza kuwa kwaajili ya usalama, pikipiki itumike na mtu mmoja tu kwa sababu kukiwa na abiria nyuma, mwendesha pikipiki akifunga break ghafla, abiria atamsukuma mbele dereva.
Kwa maana halisi ya neno ajira... "Ajira (kutoka neno la Kiarabu) ni kazi yoyote ambayo mtu anafanya kwa malipo katika kampuni, ofisi za serikali au kwa mtu mwingine binafsi." Kwa maana hii hutoona hizo boda huko China na VietnamMakamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema China inatengeneza Mamilioni ya Pikipiki lakini nchi hiyo haina Bodaboda.
Lissu anasema, Vietnam inatengeneza Pikipiki lakini nchi hiyo haina usafiri wa Bodaboda.
Mwisho Lissu anamuunga mkono Lema kwamba Bodaboda siyo Ajira.
Chanzo: Jambo TV
Walipwe buku 7 lakini wana uhakika wa kuzeeka wakiwa na miguu yote miwili na vidole vyakeViwanda gani vya kulipana ef 7 siku nzima. Kama viwanda vitaanza kulipa elfu 7 kwa lisaa limoja hutaona mtu anapurukushana barabarani na maboda boda. Hata wakilipa elf 4 kwa lisaa bado ni pesa nzuri ambayo itapu nguza kundi kubwa kwenye betting na boda boda.
hivi nyie chadema kweli hii ya bodaboda ndo hoja ya msingi kwa watanzania lisu na lema na cdmMakamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema China inatengeneza Mamilioni ya Pikipiki lakini nchi hiyo haina Bodaboda.
Lissu anasema, Vietnam inatengeneza Pikipiki lakini nchi hiyo haina usafiri wa Bodaboda.
Mwisho Lissu anamuunga mkono Lema kwamba Bodaboda siyo Ajira.
Chanzo: Jambo TV
Ina maana hizo pikipiki unapata ajali ukitumia kama bodaboda ila ukitumia kwa matumizi binafsi hupati ajali?Ulishasikia mtu kavunjika mguu kwa kutumia iphone?
Msingi wa hoja yao ni kwamba ccm walianzisha boda boda ili kuwakomoa chadema kwa kuwafanya vijana kuwa bize wasishiriki haraki za chadema.hivi nyie chadema kweli hii ya bodaboda ndo hoja ya msingi kwa watanzania lisu na lema na cdm
Jibu unaloIna maana hizo pikipiki unapata ajali ukitumia kama bodaboda ila ukitumia kwa matumizi binafsi hupati ajali?
bodabodas ni ajira kabisa kuajiriwa ni utumwa hapo mpaka kichwa chako kiwe kinaakili ndo utajua hiloKanishangaza sana na mimi,
Jibu langu ni kwamba hata ukitumia kwa matumizi binafsi hizo pikipiki za China pia unaweza kupata ajali.Jibu unalo
Acha ujinga wako mkuu, wamesema boda siyo ajira sasa mihemko ya nini! Leo hii wewe apo unaweza mruhusu mwanao akaifanye boda kama kazi yake au unawajaza hao boda ujinga wako ndg,HAWA WANASIASA WAKIMPATA MTU MPUMBAVU WANACHEZEA KICHWA CHAKE KAMA NGOMA,
Hawa ni bodaboda wapo Beijing, China wanasubiri kula vichwa,
#BODABODA TANZANIA RISEUP, TUIKATAE CHADEMA TUPO WENGI TUNATOSHA TUSIDHARAULIWE! View attachment 2541400
NdioJibu langu ni kwamba hata ukitumia kwa matumizi binafsi hizo pikipiki za China pia unaweza kupata ajali.
Kwa hiyo wewe unaona ni sawa kwa vijana woote wa kitanzania kutumia boda kama ajira huku wakimalizwa au kufanywa vilema watokanao na ajari za pikipiki hasa ukifikiria kwamba ajira yenyewe haina bima kama ajira zingine?Chadema siku zote wao ni kupinga maendeleo tu
Hizo ajali hazina suluhisho la kuzipunguza?Kwa hiyo wewe unaona ni sawa kwa vijana woote wa kitanzania kutumia boda kama ajira huku wakimalizwa au kufanywa vilema watokanao na ajari za pikipiki hasa ukifikiria kwamba ajira yenyewe haina bima kama ajira zingine?
Nani alimpinga JPM kwenye ujenzi wa viwanda?? Viko wapi alivyojengaChina wanafundishwa maarifa ya kujitegemea na kujiajiri wenyewe kwa hiyo huo sio mfano hai. India na Nigeria zenye uchumi mkubwa kuliko Tanzania lakini wana usafiri wa bodaboda. Zanzibar zamani walijifanya wana ustaarabu kama Oman na Uarabuni wakapiga marufuku pikipiki za usafiri kibiashara lakini sasa hivi huko ndiko kuliko tamalaki usafiri wa bodaboda. Mzungu akija Tanzania ili afurahie matembezi katika mji husika hakodi taxi anachukua boadaboda.
Chanzo cha usafiri wa bodaboda Tanzania ni ukiritimba uliokuwepo miaka ya nyuma kati ya mpaka wa Tanzania na Uganda ndipo vijana wa huko wakabuni usafiri wa kupita vichochoroni hadi anafika nchi nyingine bila kusumbuliwa na mpakani kulipia ushuru na kodi.
Wanasiasa walipiga vita jitihada za JPM kuhamasisha kujengwa viwanda ili vijana wengi waajiririwe huko na serikali haina uwezo wa kuajiri kila kijana anayehitimu chuo sasa hivi ndio maana unakuta viongozi wanahamasisha pamoja na kupata maarifa ya nadharia chuoni lakini hawana uwezo wa kubuni mradi wakiwa kikundi na kuomba mkopo wakaanzisha shughuli za kiuchumi kujipatia kipato na maendeleo binafsi pamoja na kuchangia pato lataifa hivyo wanashauriwa kwenda VETA ambapo ukimaliza hakuna kitu kinashinda kufanya mtaani.
Kwa nini mkulima asiwe na pikipiki yake ya kumpeleka na kurudi shambani na mazao yake akijiendesha mwenyewe? Kwa sababu mifumo haijaruhusu kitu hicho!Mgejua umhimu wa bodadoda vijijini katika shughuli za kilimo na usafilishaji wa mazao kutoka mashambani yani si kitu cha kureta utani cdm ilisha poteza mwelekeo imebaki kufa tu kama vingine
Bro Thailand hawawafikii Vietnam ni balaa ni nyingi kuliko unavyoweza kufikiri. Thailand wao yale mabajaji yao ya kisasa sawa japo pikipiki zipo.Viongozi wa Chadema waache kuwa wapumbavu na wendawazimu.View attachment 2540831