tramadol
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 5,383
- 4,318
- Thread starter
- #181
Kulinda kura siyo jukumu lako na hapo ndipo utakapoanzisha fujo na vikosi vya usalama vitashughulika na weweSisi tutafuata haki. Tahadhari yako hatuiihitaji.
Tumedhamiria sana safari hii. Bottom line tunalinda kura zetu zote kubakia salama na matokeo kutangazwa kama yatakavyo kuwa.
Piga kura nenda nyumbani mwache wakala wako wa chama asimamie zoezi la kupiga kura kuhesabu na kutangaza matokeo
Kila mmoja wetu atimize wajibu wake tusiingiliane kimajukumu