Yaani nyinyi mpaka tutiane vitasa ndio mtaachia nchi.Nimefuatilia kampeni za uchaguzi kwa wagombea wa nafasi ya uraisi 15 huku wengine wakishindwa kufanya kampeni na wengine kujitoa na huyu Tundu Lissu kupata wafuasi wengi lakini wanaokwenda kumshangaa kupona kufa baada ya risasi 38 na 16 kumpata mwilini.
Majority ya Watanzania wana imani kubwa sana na Serikali ya awamu ya 5 kutokana na yale yaliyofanyika hivyo sio rahisi kwa Tundu Lissu kushinda uchaguzi
Mh. Magufuli atashinda uchaguzi huu kwa asilimia kubwa kutokana na Watanzania kujenga imani naye.
Matamshi ya Tundu Lissu na Maalim Seif kwenye uchaguzi huu ni matamshi ya shari na sio ya amani na Watanzania hawapendi machafuko hivyo sio rahisi kabisa kushinda.
Lissu atashinda kama tu hakuna wizi wa kura!! If every balot will count, he will emergy the winner.Lissu atashinda kama wapiga kura ni wa Uholanzi na Ubelgiji lakini kwa Tanzania hawezi kushinda kwa sababu watanzania hawawezi kuchagua kibaraka hata kama aliyepo ni mbovu.
Wewe unaka awadanganye kuwa wanajua kingereza na huku hawajui? Hilo nalo ni tusi?Mkuu Tundu hawajui watanzania
Watanzania ukiwajua utaishi kwa raha sana wana upendo sana, wana huruma, wana mshikamano, watakufanyia chochote bila hata malipo mradi uwadharau.
Kitendo cha Tundu kuwaambia watanzania hawajui kiingereza tuu lilikua tusi
Kitendo cha Tundu kujirekodi kwa kiingereza na kumtumia Amstadam nalo tusi
Kitendo cha Tundu kutukana watendaji wa vyombo vya serikali Hilo ni tusi
Na mengine mengiii..... watanzania ndio wale wakuitwa wajumbe. Muulizeni Mpoki, Zamaradi na Steve
Magufuli anawajua watanzania na watanzania wanamjua hata mumpake matope watamsafishaa
wizi wa RSO na DSO tushaujua na hautafanikiwa.CCM ushindi 84%
Hiki kizungu mnachofundishwa na Lisu ni utopolo mtupu....If every balot will count, he will emergy the winner.
Sema kweli, umekipenda kidhungu changu!Hiki kizungu mnachofundishwa na Lisu ni utopolo mtupu.
Piga kura nenda home ukibaki kituoni Kuna Jambo unalitafuta na utalipata
Hautauwawa na vikosi vya usalama Bali ukileta fujo eneo la uchaguzi na ukaleta usumbufu wowote kinyume na sheria za uchaguzi utakamatwa utapigwa pingu na tutakuweka nyuma ya nondo mpaka hapo tutakaporidhika Kama kweli wewe siyo Gaidi na hukuwa na Nia mbaya na wapiga kura wengine pamoja na wagombea wetu wa uraisi wabunge na madiwaniNapiga kura siendi nyumbani na domo peke yangu katika hilo. Kama nimeandikiwa kuuwawa na nyie na iwe hivyo.
Lissu kapambana nanyi single handedly. Mchango wangu hata katika kifo kumtia mtu jamba jamba ICC hautakuwa bure.
Kama ni kuchagua shari mtagua nyie. Kuwaachia kuchakachua masanduku ya kura haiwezi kuwa ni option hata kidogo.
Kwani mnaaminika mumiani nyie? Tangu lini mafisi mnalazimisha kuwa ulinzi wa bucha?
Hautauwawa na vikosi vya usalama Bali ukileta fujo eneo la uchaguzi na ukaleta usumbufu wowote kinyume na sheria za uchaguzi utakamatwa utapigwa pingu na tutakuweka nyuma ya nondo mpaka hapo tutakaporidhika Kama kweli wewe siyo Gaidi na hukuwa na Nia mbaya na wapiga kura wengine pamoja na wagombea wetu wa uraisi wabunge na madiwani
Sisi tutafuata sheria na atakayeleta fujo vyombo vyetu viko imara Hilo nakueleza bila kupepesa macho vyombo vya usalama viko alert kwa anything bad happen vitafanya kazi yake kwa mujibu ya mafunzo yaoHakuna anayeleta fujo kama hamna nia ya kuchakachua kura. Kheri au shari mtachagua nyie.
Sisi tutafuata sheria na atakayeleta fujo vyombo vyetu viko imara Hilo nakueleza bila kupepesa macho vyombo vya usalama viko alert kwa anything bad happen vitafanya kazi yake kwa mujibu ya mafunzo yao
Mimi nawatahadharisha tu wale wasiotaka kutii na kufuata sheria za uchaguzi kuwa tuko imara Sana na tumekamilika Sana safari hii
Hahaha kama kiingereza chake deal akagombee uingerezaWewe unaka awadanganye kuwa wanajua kingereza na huku hawajui? Hilo nalo ni tusi?
Mm nampenda sana Lissu lakini kusema ukweli maelekezo na vitisho vinavyotolewa na wakurugenzi kuhakikisha Magufuli anapata kura nyingi ndoo vinanionyesha Lissu hawezi shinda.Maelekezo tumpewa kuhakikisha nafasi ambazo watu hawatakuja kupiga kura kuhakikisha wasimamizi wanazipiga kwa ktiki Magufuli.Eti kila kituo Magufuli ashinde kura zaidi ya 95% ili awe popular president ili dunia itbue kuwa amefanya mengi ndani ya nchi.Nimefuatilia kampeni za uchaguzi kwa wagombea wa nafasi ya uraisi 15 huku wengine wakishindwa kufanya kampeni na wengine kujitoa na huyu Tundu Lissu kupata wafuasi wengi lakini wanaokwenda kumshangaa kupona kufa baada ya risasi 38 na 16 kumpata mwilini.
Majority ya Watanzania wana imani kubwa sana na Serikali ya awamu ya 5 kutokana na yale yaliyofanyika hivyo sio rahisi kwa Tundu Lissu kushinda uchaguzi
Mh. Magufuli atashinda uchaguzi huu kwa asilimia kubwa kutokana na Watanzania kujenga imani naye.
Matamshi ya Tundu Lissu na Maalim Seif kwenye uchaguzi huu ni matamshi ya shari na sio ya amani na Watanzania hawapendi machafuko hivyo sio rahisi kabisa kushinda.