Kati ya mambo mengi ambayo kwayo Tundu Lissu atakumbukwa nayo ni ushujaa wake katika kutetea ukweli. Lissu hana unafiq na yupo tayari hata kufa ili kutetea ukweli. CHADEMA tuna hazina kubwa sana kupitia kwa mwanasiasa huyu machachari Tundu Lissu na tunapaswa kumuunga mkono, ameonesha njia!
Huu muungano, hii katiba na hii tume ya uchaguzi kwa jinsi vilivyo sasa ni kejeli kwa Watanzania. Tunashukuru kuwa CHADEMA wamevalia njuga mambo haya na watakumbukwa daima kwa kuwafungua Watanzania macho na kuwaonesha njia.
Watanzania nani aliyetuloga hadi kufikia makabila kuhamishwa maeneo yao ya asili kupisha Waarabu wawinde wanyama?!
Watanzania tuwaunge mkono CDM tuondokane na udhalimu wa CCM, wakati ni huu!