Unaweza kuthibitisha kauli yako with vivid examples??Wafuasi wa Tundu Lissu siyo wapiga kura ni vijana wa kihuni tu
Ninao wengi tu hapa nyumbani Kimara Baruti, njoo uwaone hata kadi za kupiga kura hawana, wao kazi yao kujaziwa bodaboda mafuta na buku 5 ya maji basi benders kubwa barabarani mpaka. Viwanja vya kampeniUnaweza kuthibitisha kauli yako with vivid examples??
Hii research umeifanya lini na wapi ? Eti majority ya watanzania, kwenda zako kima weweMajority ya Watanzania wana imani kubwa sana na Serikali ya awamu ya 5 kutokana na yale yaliyofanyika hivyo sio rahisi kwa Tundu Lissu kushinda uchaguzi
Vivid examples plzNinao wengi tu hapa nyumbani kimara baruti njoo uwaone hata Madi za kupiga kura hawani wao kazi yao kujaziwa bodaboda mafuta na buku 5 ya maji basi benders kubwa barabarani mpaka. Viwanja vya kampeni
ICC Haina nafasi Tanzania
Tz nchi ya amani Sana hakuna fujo yoyote itatokea labda vyombo vyetu vya dola vichokozwe na baadhi ya wahuni wa kisiasa
Hii ipo wazi ambacho napata shida kuamini ni kwamba Mbowe anaweza asirudi Bungeni.Nimefuatilia kampeni za uchaguzi kwa wagombea wa nafasi ya uraisi 15 huku wengine wakishindwa kufanya kampeni na wengine kujitoa na huyu Tundu Lissu kupata wafuasi wengi lakini wanaokwenda kumshangaa kupona kufa baada ya risasi 38 na 16 kumpata mwilini.
Majority ya Watanzania wana imani kubwa sana na Serikali ya awamu ya 5 kutokana na yale yaliyofanyika hivyo sio rahisi kwa Tundu Lissu kushinda uchaguzi
Mh. Magufuli atashinda uchaguzi huu kwa asilimia kubwa kutokana na Watanzania kujenga imani naye.
Matamshi ya Tundu Lissu na Maalim Seif kwenye uchaguzi huu ni matamshi ya shari na sio ya amani na Watanzania hawapendi machafuko hivyo sio rahisi kabisa kushinda.
Vikosi vyetu viko imara Tena usije ukajaribu kabisa
Piga kura nenda home ukibaki kituoni Kuna Jambo unalitafuta na utalipataBottom line, hatutahalalisha ushindi wa wizi kwa:
1. Kujihimu vituoni
2. Kuhakikisha mawakala wetu wapo kamili gado kabla ya kura
3. Tunapiga kura
4. Tukimaliza kupiga kura hatuondoki
5. Matokeo mtatutangazia kituo kwa kituo.
Kwa taarifa yenu JKNIA kulikwisha kwa amani kwa uchaguzi wenu.
Hili pia litakwisha kwa amani au kwa shari, ni chaguo lenu.