Tundu Lissu amjibu Komba; short and clear

Ndugu yangu, upo nchi gani hulijui hili! "Kitambi" ndiye aliyemnunulia Lulu gari. Kama hiyo haitoshi inasemekana kuwa "Kitambi" anapenda sana "kupita mlango wa nyuma" na inasemekana mmoja wa watu anaowala ni Mkibosho mmoja mwenye bar pale Mwenge.

Du!! hii kali, mkibosho huyu ni me au ke?
 
Akiwa anahojiwa na Ebony FM asubuh hii uko akiwa safarini, kwanza kaonyesha uungwana kukubali kusimamisha gari na kufanya interview, ametoa msimamo wake wa kuikataa budget na alipokuja kuulizwa juu ya swala la Komba kuwaambia wabunge wa chadema wakapimwe akili, alijibu kwa ufupi kuwa Komba kuna habari naye kuhusishwa kuwa na uhusiano na LULU.

Sasa hapo nani anastahili kwenda kupimwa akili?

Vipi kuhusu zile shule zake za kitapeli, usajili fake, kununua mitihani, kutapeli ada nk.!!!
 
Akiwa anahojiwa na Ebony FM asubuh hii uko akiwa safarini, kwanza kaonyesha uungwana kukubali kusimamisha gari na kufanya interview, ametoa msimamo wake wa kuikataa budget na alipokuja kuulizwa juu ya swala la Komba kuwaambia wabunge wa chadema wakapimwe akili, alijibu kwa ufupi kuwa Komba kuna habari naye kuhusishwa kuwa na uhusiano na LULU.

Sasa hapo nani anastahili kwenda kupimwa akili?

Duuu Mama Yangu inamana uyu mzee alikuwa anatembea na uyu mtoto mtume!!!!!!!!!!
Mila na destruri za kiafrika zinasema mtoto akionyeshwa sehemu za siri za mzazi wake
atakuwa ameachiwa laana baada ya kuona viungo vya uzazi vya mzee kwaiyo mtoto uyo
ameachiwa laana kwa kuona viungo vya uzazi vya mzee wake.
Mungu amsaidie mtoto uyu laana iliyopo itoke.
 
Tukiacha ushabiki wa vyama na ujinga mwingine wa namna hiyo, suala la wabunge kupimwa akili ni la muhimu.

Mbunge ananyanyua masaburi yake kwenye kiti na kuanza kuchangia muswada. Anaorodhesha mikwamo na uzembe uliofanywa na serikali katika jimbo lake na kukumbushia ahadi za miaka mi3 iliyopita ambazo unaenda mwaka wa 4 bado zipo hewa, halafu mbunge huyo huyo anasema anaunga mkono hoja kwa 100%, JE MTU HUYU KWELI HASTAHILI KUPIMWA AKILI?
 
Kwanza Komba mwenyewe kama sio kutoa kafara hata ubunge angeusikia bombani,mshirikina mkubwa

alimtoa nani kafara ndugu hebu tujuze?
Me nakumbuka kwenye kura za maoni ccm komba alimshinda bwana Alex Stanford Shauri kwa kura 39 halafu wakati wa uchaguzi nakiri kwamba upinzani hatukuwa na mgombea mwenye ushawishi mkubwa vs Komba tumbo kinyesi.
 
Nyie nao mnamjadili hata Komba! Jana aliunga mkono bajeti 100% (akimaanisha haina dosari hata nukta), wakati kwenye mchango wake alikosoa mambo mengi ikiwa ni pamoja na bajeti yenyewe kushindwa kuwasaidia watu wake kwenye kilimo na uvuvi. Sasa hiyo 100% inatoka wapi, unafikiri anajua hesabu huyu? Watu wengine ni wa kuhurumiwa tu.

Jamani ndugu zangu msipate kizunguzungu na hawa baadhi ya wabunge wa CCM kama Lusinde,Kpt Komba,Bwana mdo Mchemba hawana jipya katika kuwatetea wananchi wao, wakiongozwa na mshreheshaji wa chama cha mapinduzi Kpt John Komba yeye anadhani Wtz hawana shida zinazowakabili na familia zao anasema anaunga mkono asilimia 100% budget lakini anasema jimboni kwake fedha za miradi hazikufika huko utaona ni jinsi gani alivyo mbunge wa aina hii, anaema ni budget nzuri adhani huku ni kuimba tuwasamehe bure. Mujwahuzia
 
Duh!!hivi hata kiuno anacho kweli?mtambi wote ule mpaka miguu inashindwa kubeba mwili anaifikiaje ile kitu?
 
Akiwa anahojiwa na Ebony FM asubuh hii uko akiwa safarini, kwanza kaonyesha uungwana kukubali kusimamisha gari na kufanya interview, ametoa msimamo wake wa kuikataa budget na alipokuja kuulizwa juu ya swala la Komba kuwaambia wabunge wa chadema wakapimwe akili, alijibu kwa ufupi kuwa Komba kuna habari naye kuhusishwa kuwa na uhusiano na LULU.

Sasa hapo nani anastahili kwenda kupimwa akili?

Kwani kuwa na uhusiano na Lulu ni kosa? mawakili wengine ni vichekesho.
 
Naomba kuuliza: hiv asilimia kubwa ya viongozi wa CCM wanatumia nn katika kufikilia..? Mana cjaona uwezo wao mkubwa wa kufikil pamoja na kujnadi na elimu zao zakupewa..
 
Wanaposema maisha bora kwa kila MTZ ni kweli hali halisi ni maisha bora hivi ukiwa na Gari, una Nyumba nzuri ya kulala,watoto wako wanapata elimu nzuri japo mtoto wa Rais alipata Division 4 unawatu kama Kpt Komba wanaimba matumbo yao wanashindwa hata

kupumua kisingizio wana ugonjwa wa Bp na Kisukari fedha kwenye Account zao nje ya nchi zimejaa mijiela na wewe bila kujua unavaa kofia na fulana na kilemba unapakiwa kwenye gari kwenda kumsiliza John Komba na Bi,Kidude bila kujiuliza ukitoka pale utakula nini jioni baada mkutano utakosaje kusimama na kusema bajeti ni nzuri?

Ona mfano mwingine Mbunge kama Lusinde anasema mama ntilie anasimu ya Laini 4 wakati yeye kama mbunge anasimu ya laini moja ona alivyo na mawazo mgando huyu Mgogo ndio jamii ya viongozi tulio nao Wtz tusome alama za nyakati.
Mujwahuzia.
 
Nyie nao mnamjadili hata Komba! Jana aliunga mkono bajeti 100% (akimaanisha haina dosari hata nukta), wakati kwenye mchango wake alikosoa mambo mengi ikiwa ni pamoja na bajeti yenyewe kushindwa kuwasaidia watu wake kwenye kilimo na uvuvi. Sasa hiyo 100% inatoka wapi, unafikiri anajua hesabu huyu? Watu wengine ni wa kuhurumiwa tu.

Mawazo yake yameisha lemaa na kuimba na kundi la TOT na kufikiria vimwali tumsamee bure.
 
Kama kuna ushaidi kuwa alitembea na under age inabidi apelekwe mahakamani,pia waliompa Lulu driving licence,maproducer wake etc wote wafikishwe mahakamani
 
kuna siku niliishasema hapa jamvini kuwa "Ukiwa mwanachama wa CCM ama mfuasi kwa aina yoyote ile akili yako itakuwa sawa na wagonjwa wa MIREMBE ama BUGANDO ward number 1" argument skills sifuri kabisa kwa wabunge wooooooooote wa ccm
Hapo mkuu tuko pamoja, huwezi kuwa mfuasi wa mfumo mfu na uliooza na unaoendelea kubamoka wa sisimwewe kama ziko timamu. We meli unaona inazama hafu unakazana tu kuipanda?
 
jibu la Tundu Lissu size yake John Komba, sawa sawa kabisa.
 
KOMBA = BUSHBABY

large_bushbaby_thick.jpg
 
Hapo naona kamaliza Komba na lulu tena Komba ukapimwe akili yako mirembe Baba zima ovyo na kitoto kidogo
 
Nyie nao mnamjadili hata Komba! Jana aliunga mkono bajeti 100% (akimaanisha haina dosari hata nukta), wakati kwenye mchango wake alikosoa mambo mengi ikiwa ni pamoja na bajeti yenyewe kushindwa kuwasaidia watu wake kwenye kilimo na uvuvi. Sasa hiyo 100% inatoka wapi, unafikiri anajua hesabu huyu? Watu wengine ni wa kuhurumiwa tu.

Komba ameshindwa kuendelea na Jeshi (JWTZ) akakimbilia TOT nako huko kunengua ACHIMENENGULE kutokana na Tumbo kuwa kubwa, hivyo akakimbilia katika Ubunge. Amelitelekeza kundi lake la TOT.

Sasa mwaka 2015 WANGONI wataamka na kumtosa ubunge, sijui atakimbilia wapi tena
Labda katika shule za mke wake ili akawafundishe wanafunzi KUNENGUA.

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom