Tundu Lissu amjibu Komba; short and clear

Kwani kuna siri Dunia hii, waangalie hawa!!!

lulu.jpg

Stori: Mwandishi Wetu

HATIMAYE siri ya madai kuwa Mheshimiwa Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Damian Komba na msanii wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu' ni wapenzi, sasa mambo hadharani, Risasi Mchanganyiko linakupa ukweli.
Mambo hayo ambayo yamekuwa katika vinywa vya watu na kuzagaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii kwa muda mrefu, yamewekwa kweupe na Mheshimiwa Komba ambaye pia ni Mkurugenzi wa Kundi la Sanaa la Tanzania One Theatre (TOT).

LAIVU ITV
lulu2.jpg

Akizungumza katika Kipindi cha Shamsham za Pwani kinachoongozwa na Mtangazaji Hawa Hassan kupitia Runinga ya ITV Jumamosi iliyopita, Kepteni Komba alifunguka kuwa hajawahi kutembea na msanii huyo kama watu wanavyodai.

HUYU HAPA KEPTENI KOMBA
CAPT_JOHNDAMIANOKOMBAMBUNGEMBINGAMANG_CCM_TEL_07442845.jpg

"Huwa ninawasaidia wasanii wa jinsi zote lakini watu wakiona nimemsadia msanii wa kike, wanavumisha kwamba nimemtafuna," alisema Kepteni Komba.
Alikiri kuwa alishawahi kumpa Lulu gari lake la kifahari pale msanii huyo alipokwenda na marehemu Steven Kanumba kumuomba kwa ajili ya kumpokea mgeni wao, staa wa filamu za Kinigeria, Ramsey Nouah alipotia maguu Bongo miezi kadhaa iliyopita.
"Siyo yeye peke yake, hata JB (Jacob Steven), Ray (Vincent Kigosi) na Kanumba wameshafika kuniomba hata nyumba yangu kufanyia maigizo nikawapa lakini ninapomsaidia JB hawasemi kwa kuwa ni mwanaume, ila nikimsaidia msanii wa kike, watu (wambeya) wanasema nimemtafuna," alisema Komba kwa mshangao.

LA ROHONI
Mbunge huyo alilazimka kutoa yake ya moyoni baada ya kipindi hicho kufika kwenye kipengele kinachoitwa La Rohoni ambacho humtaka mgeni mwalikwa kusema linalomkereketa moyoni mwake.
"Kwa kweli wanaoendelea kusema, acha waseme lakini ukweli ndiyo huo sihusiki kabisa na habari hizo kwa kuwa siyo za kweli," aliendelea kufunguka Kapteni huyo mstaafu wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ).

TUMEFIKAJE HAPA?
Kwa muda mrefu kumekuwa na madai mitaani na mitandaoni kuwa Kepteni Komba ana uhusiano usiofaa na Lulu lakini kwa kauli hiyo mheshimiwa huyo amemaliza utata huo.
Wakati hayo yakijiri, Lulu bado yupo nyuma ya nondo za mahabusu kwenye Gereza la Segerea jijini Dar kwa kuhusishwa na kifo cha Kanumba ambapo kesi yake itafikishwa Mahakama Kuu Mei 28, mwaka huu.

===================================================================================================

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
yaleyale ungekuwa huku ulaya na wewe ungeunganishwa katika kesi ya ubakaji komba ni mbakaji na ccm wote ni wabakaji kama wewe zoba:flame:
 
Mwenzetu alikukrupuka Usingizini hajui alichokuwa anakijibu lakini kwa kujitoa mhanga akasema anaunga mkono Budget 100% kwa100% lakini jimboni kwake bajeti imemsahau alifikiri wabunge wenzake wapo wapo kwenye mchiriku kumbe wapo kwenye maslahi ya watanzania. Mujwahuzia
 
Mbunge wetu umejiingizaje kwenye ngono na mtoto mdogo??????????? unamsaidiaje Gari lako la kifahari mtoto ambaye hata kutimiza miaka 18 bado wakati unajua unavunja sheria ya Jamuhuri ya TZ hapo akili ndipo inapohamia Milembe Hosptali jadili matatizo ya wanambinga na wasanii wenzako wa TOT.
 
Mbunge wetu umejiingizaje kwenye ngono na mtoto mdogo??????????? unamsaidiaje Gari lako la kifahari mtoto ambaye hata kutimiza miaka 18 bado wakati unajua unavunja sheria ya Jamuhuri ya TZ hapo akili ndipo inapohamia Milembe Hosptali jadili matatizo ya wanambinga na wasanii wenzako wa TOT.

Wasanii wa TOT wana maisha choka mbaya, lakini eti yeye anawasaidia wasanii, mbona haanzi na kwake kisha awasaidie wa nje. Na inasemekana kuwa hata wasanii wake TOT wengi amewalamba naniiii

BWANA kOMBA MSAADA ANZIA NYUMBANI SIYO kwa JIRANI HAUTAELEWEKA!!!!



MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Wakuu hili swala ni kweli kabisa. Marehemu Kanumba alikuwa anaumizwa sana na kamchezo ka Mh kumla ''ndogo'' huyu mtoto. japo mtoto naye alishabobea kwenye kuuza mlango wa nyuma.

Chadema naamini wanaijua habari ya Kapiteeni kumla ''under 18'' maana hata mwanasheria ametafutiwa na Zitto, Halima na Esther. naogopa Lissu asije akapandwa na jazba na kuliamsha bungeni. hapo ndo ngumi zitaamka live.

Leo limeibuka la DC kuhongwa gari, mara akaja Myika eti JK ni mdhaifu
Wenje akabishana na Ndugai.
Mpaka tufike july, tunaweza kusikia Mh mbunge ambaka ''under 18''.

Mungu naomba utuwahishie hiyo siku.
 
Wakuu hili swala ni kweli kabisa. Marehemu Kanumba alikuwa anaumizwa sana na kamchezo ka Mh kumla ''ndogo'' huyu mtoto. japo mtoto naye alishabobea kwenye kuuza mlango wa nyuma.

Chadema naamini wanaijua habari ya Kapiteeni kumla ''under 18'' maana hata mwanasheria ametafutiwa na Zitto, Halima na Esther. naogopa Lissu asije akapandwa na jazba na kuliamsha bungeni. hapo ndo ngumi zitaamka live.

Leo limeibuka la DC kuhongwa gari, mara akaja Mnyika eti JK ni mdhaifu
Wenje na Msigwa wakabishana na Ndugai nusura watolewe nje.
Mpaka tufike july, tunaweza kusikia Mh mbunge ambaka ''under 18''.

Mungu naomba utuwahishie hiyo siku.
 
Hivi Komba hana binti wadogowadogo na sie tukawafanyie? mwenye data amwage tafadhali.
 
Namshangaa baba yake lulu anashindwa kumfungulia mashtaka john komba
aliyemharibu binti yake hata akafikika kumjengea nyumba.

Mzee Kimemeta hebu lianzishe hata kama lulu bado yuko magereza
kesi nyingine iwe inaendelea.
mimi naona tatizo ni la DPP ingekuwa mtu kapigana hadharani ungesikia anashitakiwa na jamuhuri lakini hili la mtoto kurubuniwa kwa nyumba kisha kubakwa hawalioni au wanaogopa kupeleka hicho kitambi segerea watakosa mtu wakuimba kwenye majukwaa
 
Naomba kuuliza: hiv asilimia kubwa ya viongozi wa CCM wanatumia nn katika kufikilia..? Mana cjaona uwezo wao mkubwa wa kufikil pamoja na kujnadi na elimu zao zakupewa..

Mwanaume ana vichwa viwili, vinapokezana kufanya kazi!
 
Jamani watu wengine tunapashwa kuwasamehe bure
Shida ya sisi watanzania ni kudhani kila anayeitwa mheshimiwa basi anazo kichwani. nitawapa namaanisha nini !
Komba wakati bunge letu lilipokuwa limesheeni watu makini yeye alikuwa mnenguaji, akiwaburudisha watu baada ya kufanya kazi nzito za kufikiri na kuangalia mustakabali wa Nji hii . Sasa zimekuja nyakati za vanga vanga , nyakati za kuchanganya kototo , vumbi , changarawe na maji , ndiyo hali unaona Mjengoni. mifano . kuna Profesa kuna Kihiyo, kuna Brigedia kuna Private, kuna Mganga wa kienyeji , kuna Dakatari bingwa, kuna Kasisi kuna Pagani, kuna Wanenguaji, kuna Washarabolo,Kuna masista du , kuna Misheni town. Kigezo cha kuwaingiza humo ni ropoka ,ponda utakavyoweza, beza CDM tukuingize mjengoni


Umeongea ukweli uliotukuka, well done.
 
Akili ya JKomba na Lusinde na Nape ni sare,walishanyweshwa maji ya bendera ya ccm, wamekulia humo na watazeekea humo.Ila akina Nchemba mwigulu wao ni wadandiaji tu, watu wakujipendekeza na kimbelembele.
 
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama Mheshimiwa "TIENI TIENI" yeye mwenyewe ana akili timamu! Najiuliza akiwa na LULU wanaongea nini? Nambele ya bunge ataongea nini, Maana kimtokacho mtu ndio kilichoujaza moyo wake! Kwa hiyo pumba pumba hizo ndo zinazomfanya huyu mtu kuitwa KOMBA! USITARAJIE HEKIMA KUTOKA KWA WABAKAJI KAMA SI HOJA ZA KISHIRIKINA TU!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom