Tunatengeneza vyoo vya kisasa ambavyo havijai

Phazo Khan

Member
Aug 26, 2019
70
80
OCHUBIODIGESTSEPTIC ni mfumo wa Mashimo ya choo yasiyojaa maji taka popote na aina zote za ardhi system inafanya kazi kwenye ufinyanzi na sehemu zenye maji, unaweza kujenga kwenye shule,hospital gest nk,
Sifa za mfumo huu ni
1 halijai

2 halitoi harufu

3 huchukua eneo dogo
Halijai kabisa wakati wote wa matumizi

4 linamuonekano mzuri
Linajengwa na wataalamu na uzoefu wa muda mrefu

5 linaokoa garama za kunyonya maji taka popote

6 tunauzoefu wa kufanya kazi kwenye sehemu zenye watertable

Tunafanya kazi tz nzima karibu tukuhudumie piga 0745686888, WhatsApp 0710119114

IMG-20210920-WA0020.jpg
popote ulipo tunafanya kazi Tanzania nzima.
 
What if mvua ikinyesha sana??
Namaanisha kwenye mafuriko pia hiyo kitu yenu haijai??
Na nini kitatufanya sisi wateja tuamini kazi zenu??
 
What if mvua ikinyesha sana??
Namaanisha kwenye mafuriko pia hiyo kitu yenu haijai??
Na nini kitatufanya sisi wateja tuamini kazi zenu??
Ahsante sana....huo ni mfumo imara kabisa ambavo hufyonza uchafu nakuugeza maji, na hakuna probability yoyote ya kuweza kuasathiliwa na maji kutoka nje kama mvua na nk...
 
Back
Top Bottom