Tunatengeneza simu online

appoh

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
4,901
1,642
natengeneza simu online kam ina tatizo kati ya haya yafutayo
1.imezima gafla
2.haitaki kuwaka
3.umeshau password so unataka kuflash
4.imejilock
5.inawaka na kuzima
Na nk kifupi ni tatzo lolote la software
namba yangu hii hapa 0712505049
 
Kuna tatizo kwenye my Huawei y300 yaani mtu akinipigia inakuja no tuu badala ya jina au mpaka ni save kwa kuanzia na Tanzania code ndio inaweza kuonesha.
 
asante naomba unijibu maswali haya
inakuja no nini kwani unasve na code za wapi
 
natengeneza simu online kam ina tatizo kati ya haya yafutayo
1.imezima gafla
2.haitaki kuwaka
3.umeshau password so unataka kuflash
4.imejilock
5.inawaka na kuzima
Na nk kifupi ni tatzo lolote la software
namba yangu hii hapa 0712505049

Nina simu yangu Samsung galaxy note 3, nimefanya factory reset hatimae Samsung logo imepotea nikiwasha na name hata nikizima, natamani kurudisha logo je utanisaidiaje? cc: chief-mkwawa Ahsanteni!
 
Last edited by a moderator:

njoo inbox plz
 
Last edited by a moderator:
Nina simu aina ya Docomo kutoka Japan. Lakini haisomi line za bongo. Nataka kuiflash
 
Kuna samsung galaxy clone s4 nataka kutoa screen lock password inawezekana?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nina simu samsung SGH 1337 galaxy s4 yenye 4G ina tatizo la poor network pia nikicharge haicharge inaalert low battery temperature nifanye nn msaada tafadhali
 
nina simu aina ya beyond kuna mtu ali block imei,pia na password za cm sizijui nataka kuflash na kuweka software mpya
 
Watanzania wanaaminiana sana hata malipo ya pesa watatumiana!

malipo mpaka kazi ifanyike ukizingua tunahack namba yako ufanyi mawasiliano yoyote we na phone book yako mwaka mzima hacking ni somo zuri sana baada ya kupata mafunzo huko uk now naweza vamia hata website ya usalama wa taifa
 
Angalia maneno yako mkuu JF inatembelewa na watu wngi lisije kutokea la kutokea ukatafutwa ndoto zako zikaishia hapa hii Bongo sio UK. Ila kila la kherii na kazi zako.
 
malipo mpaka kazi ifanyike ukizingua tunahack namba yako ufanyi mawasiliano yoyote we na phone book yako mwaka mzima hacking ni somo zuri sana baada ya kupata mafunzo huko uk now naweza vamia hata website ya usalama wa taifa

Kweli vizuri

Back
Top Bottom