Tunapotoa misamaha huwa hatutoi kwa fulani na fulani, linaangaliwa kundi!

Lowassa 2015: ntamtoa babu seya nikiwa rais.

Chadema 2015: lowassa hoyeeee!

Ccm 2015 : utamtoaje mlawiti?

Magufuli 2017: namtoa kwa msamaha babu seya,

Ccm 2017: magufuli hoyeee!

Chadema 2017: kamtoa kwa misingi ipi?
hahahahaha
 
f1ecc1594c12e3e91d3d39d9da98fd07.jpg
 
We huna akili ,je? Katiba imeanisha hayo uliyoyasema au unamfundisha style ya kutoa msamaha ,yanii chademaa nyinyi in wajing tu
 
Nijikite moja kwa moja kwenye msamaha wa Babu Seya na Nguza

Hapa naona kama rais Magufuli amefanya siasa kutokana na ukweli kuwa amepingana na hukumu waliyopewa hawa watu na ushahidi uliothibitisha makosa yao.Kama sivyo basi ipo vita ambayo ameamua kuianzisha kwa kusudi fulani ikiwa ni pamoja na kunusa kuwa huenda hukumu aliyopewa Babu Seya na mwanae haikuwa sahihi?

Ikiwa rais anapaswa kutoa msamaha kwa wafungwa. Huwa hasemi ninawasamehe fulani na fulani kama alivyofanya kwa babu Seya na mwanae tofauti na pale alipoanza mfano kusamehe wale wenye miaka 85 ns kuendelea kwa maana kuwa lile kundi lote limenufaika na msamaha tofauti na alivyofanya kwa Babu Seya na mwanae maana hawa pekee ndiyo walionufaika na msamaha na siyo kundi fulani.

Hapa rais alitakiwa ama atoe msaha kwa wafungwa wote waliowahi kuhukumiwa kutokana na kupatikana na hatia ya kulawiti ili kuleta maana.Hapa rais kwa mara nyingine ameteleza na ategemee kuzuka kwa mjadala mkubwa juu ya hili. Aidha tayari rufaa zote zilishakatwa hivyo hukumu ilikuwa imefikia tamati! Kwanini uwe ni msamaha wa kubagua? Vipi kwa hawa "walawiti" wengine?
Umetumia sheria gani kufikia judgment yako hiyo? Rais anafanya maamuzi yake kwa muujibu wa katiba. Je kuna mahala ktk sheria inamlazimisha Rais kusamehe group la watu hat kama ktk group hilo limebeba watu hatari kwa ustawi wa jamii? Ni jambo jema sana kujilidhisha kabla ya kutoa lawama. Soma katiba ya tz ya mwaka 1977 ibara ya 45(1)(a). Nakutakia kazi njema
 
Akili yako ni ya ajabu sana. Huoni kama hapa rais katoa msamaha kwa upendeleo?
Yule wa moyoni mwenu alipojinadi atamtoa mkashangilia kwa nderemo pale jangwani hukujua kama nae angefanya upendeleo? Kilio chao kimesikika sasa wapo huru.
 
MZEE WA DADDY IS COMMING, ACHA ROHO MBAYA.

KUHUSU KUACHIWA KWA MAKUNDI, SYO LAZMA IWE KUNDI LA ULAWITI, YAWEZA KUWA KUNDI LA WAFUNGWA WALIOONESHA MWENENDO MZURI.
 
Asingetaja sheria inayompa mamlaka sijui ingekuwaje tu, nadhani kila mtu kwa nafasi yake aisome Ibara ya 45 akiielewa ajenge hoja sasa
 
Back
Top Bottom