Tunapotoa misamaha huwa hatutoi kwa fulani na fulani, linaangaliwa kundi!

Hivi kabla uja toa maswali juu ya uamuzi wa Rais kutoa msamaha, je mwanzo kabisa ulijaribu kujua ni mamlaka gani kiongozi husika anayo juu ya kutoa wafungwa kifungoni chini ya mwavuli wa "msahama wa rais" pamoja na vipengele vya kisheria kwake katika misamaha anayotoa kila mwaka? Kama unadhani ni jambo la kisiasa embu tupe vielelezo na udhibitisho sahihi tujifunze
 
Back
Top Bottom