Tunapochangia mada kuhusu Wanawake tuwe na STAHA!

Uko sawa! Hata hapa kwenye thread wacokua na staha wanaonekana live from their coments!!
 
kuna familia,zina wanaume watupu basi wanatamani angezaliwa na wa kike. Pia kuna familia zina wanawake tu.
Hazitamani azaliwe mwanaume.inshort mkuu kuna mama yangu mkubwa anawatoto 4 wote wa kike na watatu walichezea mdudu walipokuwa school wakajazwa mimba wamezalia nyumbani samtime adi anajilaani anasema kwanini alizaa wale walinzi wakike wa usiku.d.o...g
 
Waambie hao, sio vizuri wanavyofanya. Mtu anamwaga utafikiri dada zake na mama zake ni wanaume. Ustaarabu hauuzwi jamani, kama unauzwa tajeni bei niwalipie.
 
Msg sent and delivered! mwenye macho anaona! ila kwenye msafara wa mamba na kenge wamo! uhuru ukizidi....
 
Mtambuzi kuna maneno yanatumika humu jamvini.....hayafai kabisa, basi tu watu kujifanya wao ndio wao!
Naomba mwongozo wako mkuu, kwa mfano nataka kuchangia jinsi ambavyo mwanaume anatakiwa kumridhisha mke wake kwenye tendo la ndoa (hapa nikiwa ninamaana kumfikisha kileleni), wataalamu wa mambo ya mahusiano huwa wanasema njia mojawapo ni kuchezea 'clitoris' kwa lugha ya kigeni (neno ambalo kwa kiswahili lina maana 'kisimi').

Sasa swali langu kwako mtoa mada, unaposema tuwe na staha, labda ukiwa na mantiki ya kupunguza makali ya maneno, nitakapotaka kuchangia kwenye mada za mtindo huu nitumie neno gani (kwa kumaanisha 'clitoris') ili nionyeshe kuwa na staha katika mchango wangu?
 
Back
Top Bottom