Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 49,016
- 54,299
Habari wana JF wote.
Kumekuwa na michango mizuri sana ya kuelimisha kuhusu maisha yetu ya kila siku toka hapa JF. Lakini ni vema tunapochangia kuhusu wanawake tukawa na staha, kwa maana moja tusitumie maneno makali, dharau, kukashfu.
Dunia hii bila wanawake haikaliki pia bila wanaume haikaliki vilevile. Wanawake ni mama zetu kuna familia, zina wanaume watupu basi wanatamani angezaliwa na wa kike.
Pia kuna familia zina wanawake tu. Lengo kama nilivyosema staha katika michango yetu iwepo.