Huyo mwenye bango "Evil is not a foregn Policy" hajui hata lengo la maandamano wala maana ya alichoandika.
Picha ya kwanza:Angalia pia jinsia, utagundua tofauti kati ya picha hizi mbili. Sijui unajifunza nini?
Ona sisi tunaandamania nini mkuu:
ni yeye naomba nisikutajie jina mkuu! Ninamheshimu sana huyo.Baba mwenye shati la kitenge kulia kabisa sio profesa mmoja wa U niversity of Dar es Salaam?? jina lake limenitoka kidogo.....kama ni yeye basi tena.
Baba mwenye shati la kitenge katikati ya picha pembeni ya babu mwenye sharubu nyeupe, sio profesa mmoja wa U niversity of Dar es Salaam?? jina lake limenitoka kidogo.....kama ni yeye basi tena.
Ni aibu kubwa kwa demokrasia na utawala wa sheria kwa wahusika wa sakata hili kukwepa mkono wa sheria kwa kuinunua haki, sidhani kama makosa haya wangefanyiwa watu wa Uingereza kama ingekomea kuwatoza faini pekee bila kuwawajibisha wahusika, walitakiwa wote walionufaika na hujuma hii wafilisiwe (as individuals) na wafungwe jela kuliko kampuni kulipa fidia. Kuna watanzania wengi walinufaika na mgao huu ambao leo wanaitwa waheshimiwa!!
At least waingereza wameonyesha nia na tunarudishiwa mzigo wetu na zaidi lakini wa kwetu wanadunda wanaoshana na wanadiriki kugombea mpaka sehemu nyeti huku mkuu wa nchi akisema hayo ni matatizo ya waingereza