Tunakushukuru Naibu waziri mkuu na waziri wa nishati

koryo1952

JF-Expert Member
Mar 7, 2023
382
764
Mhe. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati huna muda mrefu tangu uteuliwe na Mhe. Rais kuwa Waziri wa Nishati. Tunaona mambo mazuri yanakuja mbeleni. Niko hapa Mwanza tulikuwa tunakatiwa umeme tangu saa moja asubuhi mpaka saa moja jioni au tangu saa moja jioni mpaka saa nane usiku lakini leo ni siku ya tatu umeme haujazimwa katika eneo langu. Ahsante sana Mhe. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Lisemwalo lipo na yaliyokuwa yanasemwa kuhusu mtangulizi wako yawezekana ni ya kweli. Jitahidi ili suala la ukosefu wa umeme uwe wa historia.
 
Ndiye yule ajaye
 
Yule ameshamtabiria karibia Kila mtu, kipara amemwita presidential material, mwigu ndo usiseme, Tulii pia, Mwinyi mpango nk nk.

So kwann tupoteze muda?
Alimtabiria hata Mtume Paulo aliyekonda aliyekuwa mfalme wa bandari salama
 
Hivi swala la umeme nao ni lakushukuru..🤔
Yaani siku ukipunguziwa pumzi alafu badae ikarudishwa kama kawaida napo utashukuru??
Hivi haki yako nayo unalazimika kushukuru..🙄
Wajibu wa waziri pia anapaswa ashukuriwe..??
 
Back
Top Bottom