Nashauri Naibu Waziri Mkuu atenguliwe na nafasi hiyo ifutwe kwa maslahi ya Taifa

Mateso chakubanga

JF-Expert Member
May 10, 2021
456
505
Habari, wanajamvi kutokana kutokua na tija na ufanisi kwa nafasi ya Naibu Waziri Mkuu , ninamshauri Mh Rais atengue nafasi ya Naibu Waziri Mkuu na kwa mamlaka yake na katiba nafasi hiyo ifutwe kabisa na vyombo vya dola vielekezo macho yao katika mipaka hasa nchi jirani mpaka kama Rusumo. Ngara na Karagwe, Manyovu Kigoma yaani mipaka tunayopakana na Rwanda. Na Burundi
 
Habari, wanajamvi kutokana kutokua na tija na ufanisi kwa nafasi ya Naibu Waziri Mkuu , ninamshauri Mh Rais atengue nafasi ya Naibu Waziri Mkuu na kwa mamlaka yake na katiba nafasi hiyo ifutwe kabisa na vyombo vya dola vielekezo macho yao katika mipaka hasa nchi jirani mpaka kama Rusumo. Ngara na Karagwe, Manyovu Kigoma yaanK
Hata Waziri Mkuu aliyepo anafaida gani? wote waondolewe haraka
 
Habari, wanajamvi kutokana kutokua na tija na ufanisi kwa nafasi ya Naibu Waziri Mkuu , ninamshauri Mh Rais atengue nafasi ya Naibu Waziri Mkuu na kwa mamlaka yake na katiba nafasi hiyo ifutwe kabisa na vyombo vya dola vielekezo macho yao katika mipaka hasa nchi jirani mpaka kama Rusumo. Ngara na Karagwe, Manyovu Kigoma yaani mipaka tunayopakana na Rwanda. Na Burundi
Kabla hajateuliwa, uliombwa utoe maoni? Je, aliyemteua alikwambia kamteua akafanye kazi gani? Je, ushamsikia mteuzi akilalamika kuwa NWM hatekelezi majukumu yake? Acha gubu Dogo. Ukikua utakuwa mchawi! Shauri yako!!!
 
Hii nafasi ilikuwa created kuwapooza wale jamaa kanda pendwa ya mwendazake. Lakini kiukweli hakuna ufanisi wowote aliouleta huyu jamaa zaidi ya kuwa mzigo. Naunga mkono atumbuliwe na nafasi ifutwe.

Swali: Kwa nini kila mara hii nafasi ya Naibu Waziri Mkuu huwa inaundwa na marais wa kutoka Zanzibar tu?
 
Hii nafasi ilikuwa created kuwapooza wale jamaa kanda pendwa ya mwendazake. Lakini kiukweli hakuna ufanisi wowote aliouleta huyu jamaa zaidi ya kuwa mzigo. Naunga mkono atumbuliwe na nafasi ifutwe.

Swali: Kwa nini kila mara hii nafasi ya Naibu Waziri Mkuu huwa inatungwa na marais wa kutoka Zanzibar tu?
Rais mwenyewe hana uwezo,,ahitumbue..huwezi kushi da unasafiri kisa kufurahisha Chadema utegemee kufanya mambo ya maana,!Ndiyo maana miradi yotr mikubwa ilibuniwa na jiwe sbb slikiwa anakaa na kusoma document na kufuatilia
 
Hii nafasi ilikuwa created kuwapooza wale jamaa kanda pendwa ya mwendazake. Lakini kiukweli hakuna ufanisi wowote aliouleta huyu jamaa zaidi ya kuwa mzigo. Naunga mkono atumbuliwe na nafasi ifutwe.

Swali: Kwa nini kila mara hii nafasi ya Naibu Waziri Mkuu huwa inatungwa na marais wa kutoka Zanzibar tu?
Khaaah! Hilo swali hapo kwa kweli mnajua kuchimba.

Ni kweli Mrema alipopewa Naibu waziri mkuu ilikuwa kipindi cha mwinyi
 
Habari, wanajamvi kutokana kutokua na tija na ufanisi kwa nafasi ya Naibu Waziri Mkuu , ninamshauri Mh Rais atengue nafasi ya Naibu Waziri Mkuu na kwa mamlaka yake na katiba nafasi hiyo ifutwe kabisa na vyombo vya dola vielekezo macho yao katika mipaka hasa nchi jirani mpaka kama Rusumo. Ngara na Karagwe, Manyovu Kigoma yaani mipaka tunayopakana na Rwanda. Na Burundi
Mie sijaelewa sababu ya kuwa na cheo ambacho hakim ktk Katiba ya Nchi
 
nimetoka kuwaza kitu kama hiki nakutanq na uzi huu, ofisi ya waziri mkuu inawasaidizi wengi, wapo makatibu na manaibu wao, wapo mawaziri na manaibu wao, wapo watendaji wengine wote wanahudumu chini ya ofisi ya wazi mkuu, huyo naibu Waziri mkuu haswa ilikua kazi yake nini?
 
Habari, wanajamvi kutokana kutokua na tija na ufanisi kwa nafasi ya Naibu Waziri Mkuu , ninamshauri Mh Rais atengue nafasi ya Naibu Waziri Mkuu na kwa mamlaka yake na katiba nafasi hiyo ifutwe kabisa na vyombo vya dola vielekezo macho yao katika mipaka hasa nchi jirani mpaka kama Rusumo. Ngara na Karagwe, Manyovu Kigoma yaani mipaka tunayopakana na Rwanda. Na Burundi
hakuna ufanisi upi au tija ipi?🐒
 
Kabla hajateuliwa, uliombwa utoe maoni? Je, aliyemteua alikwambia kamteua akafanye kazi gani? Je, ushamsikia mteuzi akilalamika kuwa NWM hatekelezi majukumu yake? Acha gubu Dogo. Ukikua utakuwa mchawi! Shauri yako!!!

Mteuaji na mteuliwa wote ni hasara tupu. Mteuaji amempa mteuliwa cheo bandia. Na aliyepewa cheo bandia kwa sababu ya uduni wa kuelewa anaona amepewa cheo kikubwa!! Hawa watusi wanaopewa vyeo bandia, kuna siku watakuja kitugharimu.
 
Sasa ndo najua kwanini nafasi ya waziri wa Nishati ilipewa Kinga ya Kimaamuzi kama Naibu waziri mkuu ili wapate kuamua wenywe bila kumuuhusisha Majaliwa
 
Hii nafasi ilikuwa created kuwapooza wale jamaa kanda pendwa ya mwendazake. Lakini kiukweli hakuna ufanisi wowote aliouleta huyu jamaa zaidi ya kuwa mzigo. Naunga mkono atumbuliwe na nafasi ifutwe.

Swali: Kwa nini kila mara hii nafasi ya Naibu Waziri Mkuu huwa inatungwa na marais wa kutoka Zanzibar tu?
Hawa watu wa kutoka Zanzibar inaonekana wamejaa unafiki. Ili wafanikishe agenda zao chafu, wanawapumbaza watanganyika kwa vyeo bandia.
 
Mleta hoja unaonekana uliandika ukiwa umesimikiwa kitu background. Ghubu na roho mbaya zimekukaba kama dumuzi wa kitambaa cheupe.
Aliyemteua aliona tija ndani ya kiongozi huyu. Na ameweza kufanya mambo makubwa kutoka wizara aliyofanyia kabla ya uteuzi wake wa naibu waziri mkuu.
Kwa jinsi ulivyo mbaguzi unaweka mapendekezo ya hovyo kabisa mwishoni
 
Ukiwa na fikra chanya sana kwenye hii nchi utaona hamna umuhimu wa kwa hata na bunge. Rais tu afanye anachoona kinafaa basi. Maana hawa wengine wote wanasupport tu mawazo ya rais kama raia wengine. Hamna mtu mwenye mawazo /mbinu kinzani ya kuboresha zaidi ya kusifia tu .
 
Kwa nilivyofuatilia kifo cha state man, nahisi huko serikalin kuna mnyukano wa kidini usio wa kawaida(ni mawazo tu)
 
Back
Top Bottom