Usanifu ni sanaa ya ubunifu!
Na ubunifu ni sayansi yenye vipimo ili kupata muonekano unaovutia. Katika hatua za utengenezaji huanza na michoro na mpangilio wa ndani (interior design)
Hii treni tuliyopokea tukiambiwa ni ya mchongoko. Ukitafuta ile curve ilivyo chongwa unaona kabisa ni mchongo ambao ni modified! Yaani ili niekeweke kirahisi natoa mfano huu.
Ili upate muonekano wa saloon car (mfano sura toyota crown) ni lazima usanifu kuanzia kwenye chassis (uchanja wa chini) ili ubalansi kimo cha siti, uonaji wa mbele, n.k haya yote huamua ufunge viti gani, boneti iwe saizi gani, injini ikae mkao gani n.k)
Lakini ukiichukua Noah au Hiace uichonge kupata muonekano wa Saloon car huwezi kuipata Lazima itagoma tu. Lazima igome kwasababu mgangilio wa awali wa viti na sakafu uko juu, hivyo jitihada za kuifyeka Hiace au Noah utabakia kwenye paa (Roof)
Ukiitazama treni yetu ni dhahili mboleshaji kaweka curve kuzunguka kichwa cha dereva, kale kadirisha ka ubavuni akamega kona moja ya juu!
Ukiendelea kuchunguza alivyoishusha ikamgomea maana kule mbele kabisa angepata engo kali kama mshale! Hivyo akaforce kibox na kuweka show kama toyota alphad new!
Wakati treni ya mchongoko Original kule mbele ile slope humalizikia kama YAI au ndege ndogo! Na ile shepu huwa inapatikana kwa kucurve juu na curve nyingine lazima itafutiwe chini zikutane kutokana na usanifu original!
Hii treni yetu mpya ukiitazama hata kama kipofu anaona kabisa haiko kama inavyotakiwa!
Lile umbo la Yai kule mbele ukiachilia kuongeza muonekano lakini hurahisisha penetration ya kuukata upepo hata matumizi ya Umeme/mafuta nguvu hupungua. Ndiyo maana ndege nazo ziko hivyo ili ziwe fasta.
Wamejitahidi kucurve kule chini wakaambulia sura ya alphad. Angalau linatembea wacha tulipokee tutapanda hivyohivyo kwa shingo upande. Huenda pesa yetu haitoshi kupata yale Original.
Hii ndiyo ile kwenye mechi wanaita unapigwa "home and away"