Tamu na chungu ya safari yangu ya Agosti 24, 2023 Kutoka Kahama kwenda Dar es Salaam

Heparin

Senior Member
Sep 24, 2021
127
420
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu. Ayu 14:1

Ndio utangulizi ninaoona unafaa kwa uzi huu, ninaoanza kuuandika mida hii saa 7:25 usiku nikiwa eneo ambalo kwa maelezo ya vibao vya barabarani vonasoma Mdaula (Msolwa), Morogoro.

Safari yangu imeanza baada ya kukamilisha mazishi ya mtu wangu wa karibu sana niliyempenda, huko Kahama, Shinyanga, ndio maana ya mstari wa biblia nilioamua kuchagua kuutumia mwanzoni mwa uzi huu. Pumzika kwa amani.

Agosti 23, 2023 nikiwa kahama, niliamua kukata tiketi kwenye basi la Dream Line T 140 AZZ, Kahama-Dar es Salaam. Mnamo Agosti 24, 2023, saa 12:00 asubuhi, safari ya kulitafuta jiji la Mkuu wa Mkoa mwenye Maneno mengi, mropokaji na mcheshi ilianza.

Nikiri kwamba sikuwa nalitambua basi hili vizuri pamoja na kuwa miongoni mwa mtu/abiria wa mwanzoni kukata tiketi ya basi hili kwa safari ya siku husika. Hili ni kosa kubwa la kwanza la kiufundi nililofanya.

Baada ya kukaa kwenye gari, nilishangaa kuona likiwa limechoka sana, viti vimezeeka na muonekano wa ndani ukiwa duni.

Naikumbuka sauti ya abiria mmoja asubuhi hii akimuuliza konda, “Basi hili linafika Dar es Salaam?” Na konda akijibu “Ndio, linaenda Dar es salaam”. Bwana huyu anaanza kugombana na konda akisisitiza “Nauliza kama linafika Dar es Salaam, sio kama linaenda Dar es salaam maana kwa jinsi lilivyochoka naona kabisa halifiki. Nirudishie nauli yangu”

Anyway, tuachane nao. Walizozana kidogo hatimaye jamaa alighairi kupanda. Sijui alipata usafiri gani mwingine.

Safari ya kuondoka stand ya kahama ikaanza. Ajabu ya pili baada ya kufika eneo linaloitwa Kagongwa, abiria aliyepaswa kupandia hapo alikuta limeshapita kama dakika 10 hivi. Alipiga simu kwa konda akilalamika kwanini hakusimama ili apande, ndipo akaambiwa haiwezekani tena, atafute usafiri mwingine.

Utashangaa, kwa mwendo wa basi lile uliokuwa kama wa maharusi, abiria aliyeachwa na gari kwa dakika 10 alitutangulia kufika eneo la mbele linaoitwa Isaka akiwa na boda, akapandia hapo. Nilipoona jambo hili limetokea nikasema tayari kichwa changu kimeshawekewa maji, nijiandae kunyolewa. Nilimkumbuka pia Mandonga kuwa tayari nilikuwa nimedandia mtumbwi wa vimbwengo.

Safari iliendelea, mende wakiwa wanaonekana kwenye gari, hakuna system za kuchaji, hakuna huduma rafiki, gari likisimama kila kituo kama daladala.

Nikiri kwamba, baada ya kukaribia Singida, harufu kali ilianza kusikika upande wa kulia wa nyuma ya basi hili. Mzozano ulianza huku watu waliokaa upande huo wakituhumiana kuchafua hali ya hewa (Kujamba). Harufu hii iliendelea kwa muda, ikija na kuondoka.

Tulifika Singida mida ya saa 9 mchana, tukaanza kuitafuta Dodoma. Basi hili lilikuwa linakera sana, kwa baadhi ya vituo, mathalani Gairo lilisimama kwa zaidi ya dakika 45 likisubiria abiria. Pamoja na kwamba ni gari ya masafa marefu, abiria walikuwa wamejaa kiasi cha wengine kukaa kwenye mstari wa katikati usio na viti. Nakumbuka kuona abiria hawa wakipandishwa daladala na bodaboda kwenye baadhi ya vituo vya polisi na mizani ili watusibirie kwa mbele wakikwepa kugundulika. Kifupi, lilijaza hadi mlangoni.

Sekeseke lingine lilikuja baada ya kuanza kuingia Dodoma kwenye mojawapo ya Madaraja ya SGR (Nikiri kutokujua jina halisi la sehemu hii) ambapo basi hili likiwa juu ya daraja hilo lenye barabara ya vumbi lilinusurika kuporomoka baada ya kutaka kulazimisha ku overtake huku lori likiwa kwa mbele.

Mtakatifu Padre Pio anatuambia tusali na tuondoe hofu siku zote. Ndicho nilichokuwa nafanya kwenye safari hii yenye mikikimikiki mingi isiyo ya kawaida.

Dodoma kwenda Dar es Salaam haikuwa rahisi pia. Tukiwa tumevuka Gairo, tupo porini (eneo ambalo silijui kwa jina), harufu iliyokuwa inasikika mchana iliibuka tena kwa mara nyingine. Hapa ilidumu kwa muda mrefu. Nikiwa na uchovu mkubwa na usingizi, nilisikia mlio mkubwa kama wa bomu, Paaaaah.

Basi lilianza kuyumba, nilimuona dereva akihamaki na kuanza kunyonga usukani kuelekea mtaroni. Baadae ilikuja kufahamika kuwa harufu ile ilikuwa ni tairi za gari ile zilizokuwa zinaungua taratibu bila sisi kufahamu.

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Pamoja na ubovu wa basi hili, nikiri dereva wao ambae baadae nilikuja kumtambua kwa jina la Dullah (kama sijakosea) kuwa ni mtu makini, pamoja na Mungu, utulivu wake pia ulisaidia kunusuru vifo vya makumi ya watu tuliokuwa kwenye basi hili.

Watu walikuwa wameshaanza kuruka madirishani, kelele za kuomba Mungu na kukemea mapepo zilitoka. Nilianza kulikumbuka kaburi lililommeza mpendwa wangu siku chache nyuma ambaye ndie nilikuwa natoka kumzika kuwa lilikuwa linakwenda pia kunimeza.

Nikakumbuka siku ya Ijumaa kuu wakati nikiwa Seminarini wakati wa Kuimba injili, wakati Yesu anaisalimu roho yake. Nikamuomba Mungu aikumbuke ibada yangu kwake na jinsi nilivyomtumainia kwenye maisha yangu, nikamkabidi roho yangu ili mapenzi yake yatimizwe.

Baada ya muda kidogo nikiwa bado kwenye siti yangu (huku watu wakikanyagana mlangoni) nilianza kuona gari likiyumba kushoto na kulia likiingia mtaroni, hapo ndipo kelele za watu ziliongezeka. Hatimae dereva alifanikiwa kulisimamisha mtaroni, hakuna aliyeamini kama alifanikiwa kutoka salama.

Walau kwa ufahamu wangu sijawahi kupatwa na jaribu kubwa kiasi hiki lililoiweka rehani roho yangu na kunifanya niamini pasipo shaka kuwa kifo ni kitu kinachoweza kutokea muda wowote, popote. Tukio hili lilitokea mida ya 1 usiku.

Jambo la kushangaza, wahudumu wa basi hili walitokomea kusikojulikana, wakamuachia gari muuza juisi na biskuti. Baada ya kufuatilia, mchuuzi huyo alituambia walikuwa wamefuata spea za gari Dumila, na kwamba masikio ya breki ya nyuma ndio yalikuwa yameharibika na mataili ya nyuma yakiwa yamepasuka.

Saa 2 hawajarudi, saa 3 hawajarudi, saa 4 hawajarudi. Abiria tulibaki kama Yatima. Kila tukiuliza wanasema wapo Dumila wanashughulikia, jambo ambalo baadae iligundulika kuwa sio kweli, bali walikuwa wanaendelea na mambo yao binafsi kusikojulikana.

Mungu ni mwema, mida ya saa 4:30 walifika Askari wakiwa kwenye doria ambao lazima niseme wazi walitupa faraja sana kutokana na eneo tulilokuwepo. Walijaribu kumpigia simu dereva kwa namba inayoishia 60 (kama sijasahau) bila mafanikio. Ilikuwa haipatikani japokuwa mwanzoni ilikuwa inaita.

Mabasi, boda na daladala zilizokuwa zinapita zilikuwa hazitaki kusimama kutokana na nature ya eneo husika ambalo baada ya muda mfupi baadhi ya wapita njia walikuja kubainisha kuwa ni eneo baya ambalo siku chache nyuma lilikuwa limekunywa damu ya wanakijiji watatu.

Tunafanyaje sasa?

Mwandishi wa zaidi ya vitabu 160, msomi mwenye Doctorate 8, mzungumzaji wa lugha 10 na mtu anayefamika kama Mwanateolojia mkubwa zaidi wa Karne ya 20, Papa Benedicto XVI aliwahi kusema “We are not the product of blind chance or absurdity; instead our life originates as part of a loving plan of God.”. Maisha yetu ni fumbo, tunaishi kwa kadri ya matakwa na mapenzi ya Mungu.

Baada ya kuhangaika sana kwa muda mrefu, hatimae nuru ilionekana baada ya kusimama kwa basi moja ambalo mimi na jamaa mwingine mmoja tuliamua kupanda ili kuendelea na safari yetu.

Hapa ndio chimbuko la mkasa wa pili uliochangia kwa kiasi kikubwa mimi kuandika uzi huu unaanza.

Inaendelea….

Sehemu ya 2 (Mwisho)
 
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu. Ayu 14:1

Ndio utangulizi ninaoona unafaa kwa uzi huu, ninaoanza kuuandika mida hii saa 7:25 usiku nikiwa eneo ambalo kwa maelezo ya vibao vya barabarani vonasoma Mdaula (Msolwa), Morogoro.

Safari yangu imeanza baada ya kukamilisha mazishi ya mtu wangu wa karibu sana niliyempenda, huko Kahama, Shinyanga, ndio maana ya mstari wa biblia nilioamua kuchangua kuutumia mwanzoni mwa uzi huu. Pumzika kwa amani.

Agosti 22, 2023 nikiwa kahama, niliamua kukata tiketi kwenye basi la Dream Line T 140 AZZ, Kahama-Dar es Salaam. Mnamo Agosti 24, 2023, saa 12:00 asubuhi, safari ya kulitafuta jiji la Mkuu wa Mkoa mwenye Maneno mengi, mropokaji na mcheshi ilianza.

Nikiri kwamba sikuwa nalitambua basi hili vizuri pamoja na kuwa mtu/abiria wa kwanza kukata tiketi ya basi hili kwa safari ya siku husika. Hili ni kosa kubwa la kwanza la kiufundi nililofanya.

Baada ya kukaa kwenye gari, nilishangaa kuona likiwa limechoka sana, viti vimezeeka na muonekano wa ndani ukiwa duni.

Naikumbuka sauti ya abiria mmoja asubuhi hii akimuuliza konda, “Basi hili linafika Dar es Salaam?” Na konda akijibu “Ndio, linaenda Dar es salaam”. Bwana huyu anaanza kugombana na konda akisisitiza “Nauliza kama linafika Dar es Salaam, sio kama linaenda Dar es salaam maana kwa jinsi lilivyochoka naona kabisa halifiki. Nirudishie nauli yangu”

Anyway, tuachane nao. Walizozana kidogo hatimaye jamaa alighairi kupanda. Sijui alipata usafiri gani mwingine.

Safari ya kuondoka stand ya kahama ikaanza. Ajabu ya pili baada ya kufika eneo linaloitwa Kagongwa, abiria aliyepaswa kupandia hapo alikuta limeshapita kama dakika 10 hivi. Alipiga simu kwa konda akilalamika kwanini hakusimama ili apande, ndipo akaambiwa haiwezekani tena, atafute usafiri mwingine.

Utashangaa, kwa mwendo wa basi like uliokuwa kama wa maharusi, abiria aliyeachwa na gari kwa dakika 10 alitutangulia kufika eneo la mbele linaoitwa Isaka akiwa na boda, akapandia hapo. Nilipoona jambo hili limetokea nikasema tayari kichwa changu kimeshawekewa maji, nijiandae kunyolewa. Nilimkumbuka pia Mandonga kuwa tayari nilikuwa nimedandia mtumbwi wa vimbwengo.

Safari iliendelea, mende wakiwa wanaonekana kwenye gari, hakuna system za kuchaji, hakuna huduma rafiki, gari likisimama kila kituo kama daladala.

Nikiri kwamba, baada ya kukaribia Singida, harufu kali ilianza kusikika upande wa kulia wa nyuma ya basi hili. Mzozano ulianza huku watu waliokaa upande huo wakituhumiana kuchafua hali ya hewa (Kujamba). Harufu hii iliendelea kwa muda, ikija na kuondoka.

Tulifika Singida mida ya saa 9 mchana, tukaanza kuitafuta Dodoma. Basi hili lilikuwa linakera sana, kwa baadhi ya vituo, mathalani Gairo lilisimama kwa zaidi ya dakika 45 likisubiria abiria. Pamoja na kwamba ni gari ya masafa marefu, abiria walikuwa wamejaa kiasi cha wengine kukaa kwenye mstari wa katikati usio na viti. Nakumbuka kuona abiria hawa wakipandishwa daladala na bodaboda kwenye baadhi ya vituo vya polisi na mizani ili watusibirie kwa mbele wakikwepa kugundulika. Kifupi, lilijaza hadi mlangoni.

Sekeseke lingine lilikuja baada ya kuanza kuingia Dodoma kwenye mojawapo ya Madaraja ya SGR (Nikiri kutokujua jina halisi la sehemu hii) ambapo basi hili likiwa juu ya daraja hilo lenye barabara ya vumbi lilinusurika kuporomoka baada ya kutaka kulazimisha ku overtake huku lori likiwa kwa mbele.

Mtakatifu Padre Pio anatuambia tusali na tuondoe hofu siku zote. Ndicho nilichokuwa nafanya kwenye safari hii yenye mikikimikiki mingi isiyo ya kawaida.

Dodoma kwenda Dar es Salaam haikuwa rahisi pia. Tukiwa tumevuka Gairo, tupo porini (eneo ambalo silijui kwa jina), harufu iliyokuwa inasikika mchana iliibuka tena kwa mara nyingine. Hapa ilidumu kwa muda mrefu. Nikiwa na uchovu mkubwa na usingizi, nilisikia mlio mkubwa kama wa bomu, Paaaaah.

Basi lilianza kuyumba, nilimuona dereva akihamaki na kuanza kunyonga usukani kuelekea mtaroni.

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Pamoja na ubovu wa basi hili, nikiri dereva wao ambae baadae nilikuja kumtambua kwa jina la Dullah (kama sijakosea) kuwa ni mtu makini, pamoja na Mungu, utulivu wake pia ulisaidia kunusuru vifo vya makumi ya watu tuliokuwa kwenye basi hili.

Watu walikuwa wameshaanza kuruka madirishani, kelele za kuomba Mungu na kukemea mapepo zilitoka. Nilianza kulikumbuka kaburi lililommeza mpendwa wangu siku chache nyuma ambaye ndie nilikuwa natoka kumzika kuwa lilikuwa linakwenda pia kunimeza.

Nikakumbuka siku ya Ijumaa kuu wakati nikiwa Seminarini wakati wa Kuimba injili, wakati Yesu anaisalimu roho yake. Nikamuomba Mungu aikimbuke ibada yangu kwake na jinsi nilivyomtumainia kwenye maisha yangu, nikamkabidi roho yangu ili mapenzi yake yatimizwe.

Duuh Pole sana.
 
Pole sana kamanda ukiwa mtu wa safari za mikoani lazima mikasa kama hii ukumbane nayo,kikubwa uhai.
 
Aisee
 
Ila na sisi Wabongo tumezidi uvivu! Sasa itaendelea nini tena!! Imekuwa ni tamthiliya hii ya Bongo muvi?! Si uelezee mkasa wako mwanzo mwisho, ili watu wakaendelee na shughuli zao!!

Ona sasa watu wanasubiri ulete huo mkasa wako wa pili!! Hii siyo poa hata kidogo.
 
Dogo yani stori tu ya kahama kwa bus unasimulia hadi ngazi ya gari ilivyo, umemaliza unasimulia siti, umemaliza unasimulia mziki uliokua unapigwa, umemaliza unasimulia jinsi dereva alivyokua anatafuna Big G, unasimulia jinsi ulivyofungua kioo cha gari.

Unatuchuliaje?
 
Ulilipa kiasi gani? Kuna sababu ya vitu kuwa rahisi na ghali.
 
Mwandishi wa zaidi ya vitabu 160, msomi mwenye Doctorate 8, mzungumzaji wa lugha 10 na mtu anayefamika kama Mwanateolojia mkubwa zaidi wa Karne ya 20, Papa Benedicto XVI aliwahi kusema “We are not the product of blind chance or absurdity; instead our life originates as part of a loving plan of God.”. Maisha yetu ni fumbo, tunaishi kwa kadri ya matakwa na mapenzi ya Mungu.
Aisee..
Umezunguka wee kumbe lengo kumtambulisha huyu msomi!
 
Back
Top Bottom