"Tunahitaji viongozi majasiri" - Dr. Salim on KLH News

Namsubiri bw. Geeque tu, endapo itashindikana kwenda live, basi nitafanya naye mahojiano toka hapa KLH News na baadaye kurushwa bongoradio.com na kwenye podomatic..
 
Mkjj,

muulize Dr Salim kama anajua msimamo wa Nyerere (au wa Salim Binafsi) kuhusu muungano wa kwanza wa Afrika mashariki hadi kufikia kuvunjika kwake.
 
Muulize kuhusu Azimio la Arusha na Azimio la Zanzibar in relation na mambo yanayotokea hivi sasa...................anafikiriaje kuhusu msimamo wa mwl ungekuwa vipi
 
Hakuna SPIN hapo, anajibu swali kama linavyokuja, sio mambo ya akina Hatib. Bahati mbaya Watanzania hatuwataki watu kama hao, tunataka wababishaji akina JK.
 
Asante mwanakijiji na Geeque kwa mahojiano mazuri.....

Asante pia Dr Salim kwa kutembelea kijiji na jamvi letu..

Bravo KLH, JF na bongoradio
 
Great Discussion!!

Once again thanks to mazee GEEQUE and MKJJ
Mazee ahsante na wewe na wengine wote ambao mmekuwa mnasikiliza LIVE. Bomba sana Mwanakijiji hii ni bonge ya Interview NIMEIKUBALI.
 
Mwanakijiji Shukran kwa Mahojiano yako na Mzee Salim Ahmed Salim.Kwa mara ya kwanza leo umetuonyesha Ukomavu wako kisiasa,Mwanzo Mzee Salim alianza kwa kusita kwa kutokujua anazungumza na nani?,Lakini muundo wa Mahojiano yako yalimfanya awe comfortable na kuzungumza Mawazo yake!.Ni wazi kwamba atakuja tena wakati wowote ukimuhitaji.

Amejieleza vizuri nawe umekuwa unauliza maswali ya Msingi!!,Hongera sana Mkuu,unainua Heshima ya kijiwe nasi watu wa Humu tunajisikia fahari kuwa na Vichwa kama ninyi.Pokea shukran zangu za dhati!,Ni fahari na bahati kubwa kuwa nawe hapa.

Turuhusu Mahojiano haya yapitishwe kwenye Magazeti ya serikali nyumbani.
 
Mh. Salim, Mkjj, Geeque, thanks a lot!

Mkjj, ahsante kwa huo wimbo wa gwaride... niliuulizia kule KLH... thanx! :)

SteveD.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom