Tunaenda ICU!

its like you copy my mind and paste,
thanks so much more than umenena yaliyo mema mbele ya jamii ya mmu
ni kweli mtu anakuwa na mpenzi na abahatika(wengine hawabahatiki) kugundua mapungufu ya mpenzi wake halafu
anahisi kuwa yeye atambadilisha wkiishafunga ndoa...mmhh yalimkuta rafiki yangu sitosahau na hiyo ndoa haikudumu hata miaka miwili wameshaachana
kwani dada alijua wazi kuwa suruali ya kaka haifungi(means aliikuta wazi) ila kwa imani
akajua kuwa ataifunga ndani ya ndoa alipofika
ndani ya ndoa akaona mwenzake ndio kavua suruali yotee kabisa na akaanza kuchanganyikiwa mpaka kuachana...
iweni makini na ushauri huu ni mzuri kama hakufai in preliminary brain report achaneni.
 
[h=3]Tunaenda ICU![/h]

Baadhi ya Wanaume baada ya tendo la ndoa hujikuta hoi bin taabani.
Na wanawake wengi hulalamika sana na hii tabia ambapo mwanaume akishamaliza tu hujikoka usingizi na kuanza kukoroma within seconds.
Na hali huwa mbaya zaidi kwani kabla ya sex mwanamke hakuandaliwa kwa muda wa kutosha na mwanaume anamaliza haraka hata kabla mwanamke hajafikishwa popote na kitu cha ajabu zaidi mwanaume akimaliza analala fofofo.

Pia Wanaume wenyewe hawawezi kuondokana na hili kwani ni suala la kisaikolojia na lipo nje ya uwezo.
Hata hivyo akijifunza anaweza kuwa tofauti.

Mwanaume huweza kutengeneza mbegu (semen) kila baada ya masaa 42 hadi 72 na hiki kitendo husababisha mgandamizo wa kimwili wa kutaka kuzitoa kwa njia ya sex.
Pia wanasayansi wanasema kwamba kila drop moja la majimaji ya mbegu za kiume (seminal fluid) huwa kunakuwa na zaidi ya mbegu za kiume milioni 300 na mwanaume ana uwezo wa kutoa hizo mbegu kupitia sex (ejaculation) mara 2 au 3 kwa siku.

Kitendo cha kutoa hizo mbegu huhusisha nguvu za kimwili na kihisia na huwa na pressure kubwa sana wakati zinatoka na kumfanya mwanaume kuwa hoi kabisa.
Huo utoaji wa nguvu ni kama mlipuko wa nje wa bomu (outward explosion) tofauti na mwanamke ambaye kwake huwa internal/ inward/inside explosion.

MENGINEYO
Pia wanaume wanaoishi vijijini Utafiti unaonesha kwamba wao hushiriki tendo la ndoa mara nyingi zaidi kuliko wanaume wa mijini, hii ni kutokana na wanaume wa mijini kukumbana na misukosuko ya maisha na kuathirika kisaikolojia hivyo kuathiri mwili kutaka sex.

Wanaume huwa frustrated sana na wanawake kwa sababu wanawake mara nyingi hawapendi sex.
Wanawake nao huwa frustrated sana na wanaume kwa sababu wanaume kila wakati wao wanataka sex.
Wanawake wanawalaumu wanaume kwa sababu hawajui kupenda.
Wanaume nao wanawalaumu sana wanawake kwa sababu wanaongelea sana upendo lakini hawataki kuweka katika vitendo (sex)
Binadamu hufanya mapenzi kwa sababu ya homoni ya testosterone ambayo kwa kiasi kikubwa ni kwa wanaume.
Mwanaume wa kawaida huzalisha hii homoni mara 20 kuliko mwanamke, ndiyo maana mwanaume anakuwa na drive kubwa ya sex.

Hii ina maana kwamba jinsi mwanaume anavyojisikia kukosa sex kwa siku moja ni sawa na mwanamke anavyojisikia kukosa sex kwa siku 20.

Mwanaume anaweza kuzalisha mtoto kila anapofanya mapenzi wakati mwanamke anaweza kuzaa watoto kwa kila baada ya miaka miwili, hii ina maana kwamba mwanamke anatakiwa kuchagua nani anatakiwa kuwa baba wa mtoto.Wanaume siku zote wanatafuta quantity wakati wanawake siku zote wao ni kutafuta quality.

Ndiyo maana wanaume hutafuta sex kwenye mahusiano na wanawake hutafuta upendo.
Kwa mwanamke upendo ni proof kwamba mwanaume atabaki kwake na kuwa naye wakati wanaume wao baada ya sex ndiyo hujisikia mwanamke anampenda.

Men fall in love through sex; women fall in sex through love.
Mkuu hongera, desa lak, leo limetulia nimegraduate maana kuna vitu sikuwa navifahamu.
 
Mkuu hongera desa lako limetulia, kupitia desa hili leo nimegraduate maana kuna vitu sikuwa navifahamu.
 
Back
Top Bottom