Asking only one thing😎😎

Unique Flower

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
12,714
24,891
Hivi ni lazima uwe na mwanaume kila saa akuridhishe maana hili nalo neno kwa maana humu wengi wanadai kufanya mapenzi eti nilazima .

Wajuzi ambao mnazini kila daily tujulisheni umuhimu wa healthy sex maana mnanichamba eti na shida ya mwanaume sasa sijui nyie wanaume ambao mnahitaji wanawake sijui hamna shida ya wanawake?? Maana mnasema watu hadi kero kama nyie mpo sawa
 
Sex inapunguza stress af unakua calm, sasa ukiwahupati hiyo unakua na hasira tuu mkali mkali au una feel lonely frequently.

Unique Flower unaamin huamini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom