Tunaenda ICU!

umeonaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeehhh wakweli wachache kama ninyi
hope mzigo wa kihalali yaaaaaaaaaaani ndan ya ndoaaaaaaaaaaa..
salute mkuu hute
 
Pengine ningenyamaza kama ungekuwa ujaoa lakini una mwanamke mzuri pengine ulimbikiri ukamzalisha watoto 2
sasa unaandika kwenye facebook una ishi texas marekani jamani jamani huu ni upendo
Pengine mko matexas wengi muishio tegeta ama mchamba wima pemba kama mie embu ukiamua kuoa jiheshimu na kama
umeamua kuingia facebook jaribu pia kujiheshimu...nimeonaw atu wengi wanathubutu kuweka picha za wenzao na pale mwanamke
anapoingia line wakikutana wanaangaliana ni huyu kweli nikupe kisa kimoja

Kuna BINTI nikiwa nasearch alietoka kwa mola nilikutana nae mitaa fulan usiku kale kabinti kalionekanakazuri tukasalimiana
nikamwomba wanaita appointment...loh mchana nilipoenda nilimpita mara tano kabla ya kuamua kupiga tena kuahihikiki ni huyu
ama lah,binti alinijia nanusu uchi na alijiandaa kwelikweli sasa baahati mbaya nilikuwa natafuta mke sio chuchu za parttime nilpoona
yyeye amepokea nikakata na kuzima ...so muwe makin mapenzi ya facebook ayana tofauti na mkikutana gizani asbh mnapishana
kamasio ninyi
kila la kheri unaesoma na kujua ulichofanya natumaini utajirekebisha kama sio kusaidia wenzako humu ndan waweke picha za ukweli
 
rose wapo wengi sio mchezo leo nimecheka kweli kuona mtu ninaemjua kajichimbia pale tegeta na kafammy chake anatangaza
single anaishi texas soon in dar koma wewe mwanaume kuna dhambi nyingine azibebeki anyway wanaotafuta mahusiano somo nalo
 
[h=3]Love Vs Romance![/h]
Love is energy flow that you experience.
You don’t have it.

Romance never lasts, the thrilling, falling in love always fades,
because romance is not the same thing as love.

If love is our home then romance is the doorway.
You go through it to get in, but it is not a dwelling, not a space where you can live.
 
[h=3]Uhuru wako...............[/h]
Hamu ya kumpenda mpenzi wako muda wote na wewe kupendwa kwa namna hiyo hiyo kwa muda wote ni kitu kinachofurukuta kwa kila moyo wa binadamu yeyote, vinginevyo kuna tatizo kubwa ambalo ni wewe tu unalijua au ni karama uliyopewa na Muumba.
Ingawa ni kweli tunastahili aina hiyo ya upendo (kupendwa na kupenda kunakofukuta ndani ya moyo muda wote na kufurahia na kujiona ni kweli kupendwa ni raha) si kweli kwamba hali kama hiyo inaweza kuja yenyewe au kutokea yenyewe bila kufanya chochote.

Kuwa na mapenzi ambayo yanaridhisha, yanachangamsha na kusisimua ndani ya moyo ni matokeo ya extra ordinary achievement.
Ni hata kama ni rahisi kupata mapenzi ya aina hii haina maana kwamba watu hawana uwezo (capacity) wa kupenda bali hawajui jinsi ya kuendelea kupendana tena na tena tangu kupendana kwa mara ya kwanza (fall in love).

Inawezekana unaamini kwamba kutunza upendo ule wa kwanza na kuendelea nao miaka na miaka ni kitu kisichowezekana, si kweli kwani inawezekana.
Au inawezekana umeshaumizwa kutokana na mahusiano ya kwanza na moyo wako umevunjwavunjwa na una maumivu makali na hata kama upo kwenye mahusiano mazuri bado unajikuta upo bored na umekwamba pia inawezekana kwa sasa upo kwenye penzi lenyewe unajiona upo top of the world na kwa mbali unahisi upendo unaanza kuchuja na kupotea na unawasiwasi mambo yanaweza kuwa tofauti.

Kumbuka kuishi maisha marefu, katika penzi la kweli na muunganiko mzuri wa kimapenzi na mpenzi wako (mume au mke) siyo kitu ambacho ni complicated ni kitu rahisi na kipo ndani ya uwezo wako.
Unachotakiwa kugundua na kuendelea kuunganisha ni vitu vine tu

MWILI
Amsha senses, kuona, kusikia, kuonja na feelings za upendo. Fahamu mwili wako kuwa ni hekalu takatifu la upendo, zawadi ya muumba kwako, mwili wako hubeba nafsi yako, udhihirisho wa matendo ya Mungu kwako.
Mwili ni nyumba yako na uwe na amani hata katika ngozi yako. Jiweke tayari wakati wote kujisikia raha na mwili wako.
Upe mwili wako mapenzi, mguso wa kimwili.​
Wewe ni mwili na mwili wako ni uhuru.

AKILI
Hakuna kikomo katika kufikiria, kila kikomo cha kufikiria kimewekwa na wewe. Unao uwezo wa kila unafikiria na unaweza kuamua kufikiria mambo mazuri kwa ajili ya maisha yako.
Hakuna anayeweza kuondoa furaha yako isipokuwa uamue mwenyewe.
Wewe ni akili na akili zako ni uhuru wako.

MOYO
Ponya moyo wako uliovunjika.
Fungua moyo wako ulioponywa.
Toa na pokea upendo kirahisi, kiasili (naturally), ghafla, na unconditionally.
Vumbua upendo ndani yako na jipende mwenyewe kwanza.
Jikubali mwenyewe kwanza na jisamehe kwa yale unakosea.
Fahamu kwamba unastahili kupokea upendo.
Tambua na karibisha upendo kutoka kwa wengine.
Tamani kuwa mtu wa kupenda kuliko mtu yeyote (the greatest lover).
Wewe ni moyo na moyo wako ni uhuru.

NAFSI
Mwili wako, akili zako na moyo wako ni madirisha ya nafsi yako.
Unapowasiliana na Mungu ni nafsi yako inawasiliana na Mungu.
Nafsi yako ina mwili wako, akili zako, moyo wako ndani yake.
Wewe ni nafsi na nafsi yako ni uhuru
 
[h=3]Kuhujumu mwili Wako[/h] Si kweli kwamba kuguswa na sex ni vitu hatari sana, vibaya na uchafu.
Ukweli ni kwamba
Katika ndoa kupeana raha kwa kugusana (touching) na sex ni mlo kamili wa moyo, mwili, nafsi na roho.

Si kweli kwamba mume wako au mke wako ndiye anayehusika na raha yako kimapenzi.
Ukweli ni kwamba wewe mwenyewe unahusika na raha ya mwili wako hata kama umesoma kiasi gani, au una akili kiasi gani au hata kama partner wako yupo makini kiasi gani kama hujui kwamba mwenye unahusika na raha yako huwezi pata raha na kufurahia mapenzi.

Si kweli kwamba mke wako au mume wako anafahamu namna gani, lini na wapi unapenda kushikwa kimapenzi.
Ukweli ni kwamba ni jukumu lako kumfahamisha mume wako au mke wako ajue kile unapenda na unahitaji kimapenzi.
Kwani ni partners wachache sana wanaweza kusoma minds au kile unataka linapokuja suala la kufanya mapenzi.
Na kufanya mapenzi ni moja ya maeneo ambayo huwezi kufuata Golden rule kwamba “Fanya kile na wewe unapenda ufanyiwe” kwani kwenye mapenzi kila mtu anapenda kitu tofauti ili apate raha.
Kile mke au mume wako anapenda kufanyiwa katika mapenzi ni tofauti sana na wewe.

Si kweli kwamba ukiwa na mwili unaoonekana young ndipo uta-enjoy sex.
Ukweli ni kwamba jinsi mwili unavyoongeza umri ndipo huwa bora kwa sex.
Kwani Kuwa mzuri kimapenzi ni uzoefu unao patikana kwa kujifunza miaka na miaka kwa sababu sex huhitaji ufahamu na mazoezi (knowledge and practice).
Utamaduni wetu unatuambia kwamba unapoonekana young unakuwa sexy zaidi ukweli ni kwamba kuvutia kwa mwili hakuwezi kuleta kukomaa wa emotions na self-confidence katika kufanya sex kitu ambacho ni muhimu sana kuwa sexy na sex inayo inayoridhisha.
 
Ya mchamba wima itaitwaje??
Haaahaa mwanajamiiione akuna mwenye bifu hapa ni s ehemu ya kuchukulia mawazo ya watu na k kuwasaidia ikitokea jambo unakutana na mpenzi sio uliemwona ama mliekuwa mnachat na wala usiogope na kibwagizo cha hapo juu
karibu sudan kusini tunakula nyan kwa kwenda mbele wiki mbili za sherehe kazi kwako
 
mpendwa hongera kwa kazi nzuri wazo langu tu na sitoacha kuwa wazi kama unauwezo wa kupata ajira huko huko baki tu huko
uendelee kuzaa na kuongeza nchi kama Mungu asemavyo,,,nakutakia kheri kama umenisoma nakatika maamuzi haya magumu asemayo lowassa
bora uamue ulauumiwe kuliko ...

kamanda+wa+MAGEUZI+akila+pozi+baada+ya+kula+nondo+yake+.JPG
 
Vyema kuona shemeji yetu mtarajiwa akizeekea tanzania kama ana miaka 40 kumbe kabinti hata 27 ajafika
pls mfikirie huyu basi mkiona uamuzi mgumu kuafikiana
 
Mdau etu akikamata nondo zake huko reading yu-k upande wa uhandisi sasa kwa nini tusimpende zaidi kwa ushauri kabla ya mungu kumpenda
 
mkuu PS
nI paradiso ya mateso,,ila ninachopendea Mungu bwana we acha kuna ambao usiku yaani ni superget mtindo mmoja ata ije
NEW mODEL..asbh utamtambua@@na wengine asbh wao yaleyale jioni ni moto so nafikiri awa nibinadamu lazima tuwape
muda wa kupumzika kama wako anatumika asbh basi wacha wangu atumike jion tukisema wote asbh na mchana wanaambiana
tutawafanya wasiooa wasipate wachumba kabisa wakijua kumbe Ndoa ni shubiri
 
raha ya milele akupe ee bwana Mwanga wa XXXXX upumzike kwa amani
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom