Tumuunge mkono mwanasayansi Masoud Kipanya

Sikujua kama una akili ndogo kiasi hicho. Hujui kama magari huwa yanatengenezwa kwanza, halafu namba huja baadaye! Halafu, hata bajaji hatuiti ni doli, sembuse gari zuri kama lile? Acha wivu na roho mbaya.
Gari isiyo na namba isipokuwa barabarani ni sawa na doli tu

Hiyo ya Kipanya aiingize barabarani kwanza watu waone iko fit? lakini imekaa tu hilo ni sawa na doli tu ni sawa na lile helikopta mwingine alitengeneza Kule mbeya ambalo haliruki hadi leo liko ardhini tu
 
Hayo yaliyopo barabarani yametengenezwa Tanzania?
Hilo llilotengenezwa Tanzania la Masoud Kipanya mbona hatulioni barabarani?

Tanzania yapo mfano magari ya Jeshi ya Nyumbu yako kibao barabarani
 
Back
Top Bottom