Tumuenzi Mwal

mwana wa africa

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
548
128
kuna wakati nilikuwa stendi ya Arusha na kuna wajaririamali walikuwa wanauza cd za hotuba mbalimbali na matukio ya viongozi walioheshimika sana Africa Kama mwl NYERERE na kujinyakulia CD 2. Naomba kama kuna mtua anaweza kunisaidia kupata mwawasiliano na wahusika. kwa sasa nipo Tanga mjini kikazi.
 
Hiyo ni possible Haika , Mwl Nyerere ni mmoja kati ya wana Philosophy maarufu sana Africa hasa ukanda wa kusini mwa jangwa la sahara. so usishangae kwamba vyuo vingi tu nje ya tz vinatumia maujanja yake.
 
Last edited by a moderator:
:shock:Kwa style hii ya udini kweli kuna kumuenzi Mwl Nyerere? Kwa hakika mwl alifanya mambo mengi, na philosophy zake zinatumika vyuo vikuu mbalimbali duniani. mfano philosophy yake ya maadui watatu wa maendeleo ya binadamu. sasa kwa sababu elimu hapa Tz si kipaumbele na kwamba watoa elimu hizo kwa ngazi ya msingi ni wale wenye ufaulu mdogo. ukishauriwa na aliyeshindwa na wewe utashindwa.Inauma lakini ndio ukweli huo!
 
Back
Top Bottom