Tumpigie Rais Magufuli kura ili apate tuzo ya kiongozi bora barani Afrika 2017

Status
Not open for further replies.
ni upuuuzi kiwango A kuhisi kumpigia kura kwa wingi na kupata hiyo Tuzo kunaweza kuleta maji,umeme wa uhakika,miundombinu bora,usalama wa uhakika n.k,
truth to be told, Kagame ana deserve better japo ni same type of people ya "keep silence...." Na one man ashow.....
Ficha upumbavu wako
hujalazimishwa kupiga kura
wacha wenye akili zao tupige kura
 
Wadau
JPM anazidi kumuacha mbali Paul Kagame:
1. Mh Rais Dr.Magufuli 46.51%
2. Mh Paul Kagame 34.98%
3. Mh Rais Nana Addo 10.33%

Hadi dakika hii MH RAIS wetu anaongoza...keep voting.
Viva JPM
Viva CCM
Viva Tanzania
Kuna kura ya kuchagua dikteta,naona madikteta wawili hapo juu na mmoja ndio yule anayetakiwa akatubu
 
ni upuuuzi kiwango A kuhisi kumpigia kura kwa wingi na kupata hiyo Tuzo kunaweza kuleta maji,umeme wa uhakika,miundombinu bora,usalama wa uhakika n.k,
truth to be told, Kagame ana deserve better japo ni same type of people ya "keep silence...." Na one man ashow.....
ujinga ni mzigo.. acha ujinga ..mcheza kwao utunzwa kwa heshima atayopewa rais wetu atapata moyo zaidi wa kututumikia zaidi watanzania viva magufuli viva viva tanzania viva..nimeshapiga kula yangu teyari.
 
Sasa si mpigie huyo UK au hamia Kenya ukitaka maana huyu jamaa anamiaka kama saba mbele ka sio miwili na hali hii unaweza pata stroke bure.
Nenda kalale huko wanaume tukamilishe mipango yetu! Hizo hesabu ni kwa mujibu wa kichwa chako na wala si vinginevyo!
 
Wadau
Hadi sasa Rais Paul Kagame ameachwa kwa mbali sana na Rais Dkt John Pombe Magufuli
1. JPM (45.45%)
2. PK (35.96%)
Happy new year!
Kwenu ni kawaida kwa matokeo ya kupika, najua mmetumwa mtafute watu wa kupiga kura hata 20 mtu mmoja kwa kutumia majina tofauti
 
Bams unaitendea haki kabisa hiyo avatar kwa mchango wako ukitoa hiyo muweke mwanaharakati mwingine Stive Biko hapo Mandela mwenyewe anasubiri sema ndio damu za mwanzo kumwagika na kuleta hamasa ya kupinga ubaguzi wa kaburu...
 
Bora nipige kura kwa 'Waliotangulia mbele za Haki'
Huyu uliyempendekeza au unayemnadi kwa pumzi zako zote ' Big No' unataka wafu wafufuke kutuzaba makofi.
Na ameshashinda sasa kunywa sumu ufe!! Kwanza huna faida kwenye nchi yetu TZ!! Unaruhusiwa tu kutoa mapovu!!
 
Sasa si ukampigie huyo UK au hamia Kenya ukitaka maana huyu jamaa anamiaka kama saba mbele ka sio miwili na hali hii unaweza pata stroke bure.
Mtangulize Mungu kwenye hili la miaka 7 mkuu. Watu wanadondoka sana kila mwaka. Huyo unaye mwambia anaweza pata Stroke mnaweza kumwacha na afya njema tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom