Tumpigie Rais Magufuli kura ili apate tuzo ya kiongozi bora barani Afrika 2017

Status
Not open for further replies.
Sasa si ukampigie huyo UK au hamia Kenya ukitaka maana huyu jamaa anamiaka kama saba mbele ka sio miwili na hali hii unaweza pata stroke bure.
Mjomba umeagizwa! Hayo ni maoni yangu na wewe andika yako tusipangiane.
 
Mtangulize Mungu kwenye hili la miaka 7 mkuu. Watu wanadondoka sana kila mwaka. Huyo unaye mwambia anaweza pata Stroke mnaweza kumwacha na afya njema tu.
Sijui kama umeelewa nini nimecomment
 
Hatujamaliza " kumuombea" hayo mambo ya tuzo yatasubiri kwanza . Tumezama kwenye maombi " maombezini' hadi majibu yaje kwanza.

Tuzo myfoot
 
Hujalazimishwa mkuu.Hivi bavicha ndo mnaakili sana kuliko waliomweka kati ya hao watu sita?
Hao waliomuweka kama wana akili waje wamchukue,,Jk alitukanwa na kusimangwa sana ila huyu sizonje unaweza vunja rekodi humu mtandaoni
 
Akipata Tuzo ndio itaongeza uchumi wa nchi.? Fanyeni kazi acheni ujinga. Wenzetu wanafikiria jinsi ya kubadilisha nchi zao sisi tuna himizana kupigiana kura za kijinga.
 
Hao waliomuweka kama wana akili waje wamchukue,,Jk alitukanwa na kusimangwa sana ila huyu sizonje unaweza vunja rekodi humu mtandaoni
Jk alibondwa mawe huko mbeya.vipi jpm tayar?Bavicha acheni ujuaji maandaz,yan cabinet ya tuzo ni mafara kuliko chadema?
 
ujinga ni mzigo.. acha ujinga ..mcheza kwao utunzwa kwa heshima atayopewa rais wetu atapata moyo zaidi wa kututumikia zaidi watanzania viva magufuli viva viva tanzania viva..nimeshapiga kula yangu teyari.
Kututumikia kwa staili ipi,kama ni hii bora akawatumikie hao waliompendekeza
 
Hao african leader magazini hakuna anae wajua ni kikundi cha wa Nigeria wakimbizi wakiwa UK.
Followers wao ni kama 700 bora hilo zoezi likaendeshwa na Mange
 
Ila wakuu pamoja na comment nyingi kuwa na mlengo hasi lazima tujifunge vibwebwe coz kwa kanuni isiyo rasmi watu wabaya/roho mbaya na makatili ndo huwa wanadumu so tujiandae kisaikolojia coz dua LA kuku halimpatagi mwewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom