Tume ya waziri Nchimbi ya kuchunguza mauwaji ya Mwangosi yaibiwa hotelini

Janja PORI

JF-Expert Member
Jul 31, 2011
825
246
Habari kutoka mkoani Iringa zilizoripotiwa na mwandishi maalum wa mtandao huu wa francisgodwin blog Kutoka mjini Iringa zinadai kuwa tume iliyoundwa na waziri wa mambo ya ndani ya nchi Dkt Emmanuel Nchimbi kuja kufanya uchunguzi dhidi ya mauwaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa Chanel Ten mkoani Iringa na mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa habari mkoani Iringa, Marehemu Daudi Mwangosi imeibiwa katika hoteli maarufu iliyokuwa imefikia .

Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia Leo ambapo mmoja Kati ya wajumbe wa tume hiyo ameamka na kujikuta mtupu Basra ya Laptop yake yenye nyaraka nyeti za kumwezesha kufanya uchunguzi huo kuibwa.

Inadaiwa kuwa tume hiyo pamoja na kuundwa na waziri mwenye dhamana ya mambo ya ndani ya nchi ila bado imekuwa ikifanya kazi katika mazingira hatari zaidi baada ya kuwepo kwa habari kuwa imekuwa ikifuatiliwa kwa karibu zaidi na makachero wa polisi.

Hat a hivyo habari Kutoka ndani ya jeshi la polisi ambazozinafanyiwa kazi na jeshi la polisi mkoani Iringa zinadai kuwa tume hiyo imeondoka asubuhi hii kuelekea Nyololo kuanza kufanya kazi yake
 
naona hata waziri kwa uelewa wake alifanya kitu asichofahamu hatima yake na ndio maana alikanusha kuwa yake haikuwa tume bali kamati. Sasa nami sielewi nini ni nini kati ya hivi viwili na hasa katika tukio husika!!
Kamati - committee
tume - commission
 
Safi sana kwa aliyeiba hiyo laptop.

Pia nashauri amwage nondo zote zilizomo kwenye hadidu rejea ya hiyo kamati/tume ili jamvi likae kama kamati na tuzijadili.

Ndani ya hizo nyaraka tutapata ukweli wa nini walichotumwa kukifanya huko Iringa.
 
Habari kutoka mkoani Iringa zilizoripotiwa na mwandishi maalum wa mtandao huu wa Francis Godwin Mzee Wa Matukio Daima Kutoka mjini Iringa zinadai kuwa tume iliyoundwa na waziri wa mambo ya ndani ya nchi Dkt Emmanuel Nchimbi kuja kufanya uchunguzi dhidi ya mauwaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa Chanel Ten mkoani Iringa na mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa habari mkoani Iringa, Marehemu Daudi Mwangosi imeibiwa katika hoteli maarufu iliyokuwa imefikia .

Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia Leo ambapo mmoja Kati ya wajumbe wa tume hiyo ameamka na kujikuta mtupu Basra ya Laptop yake yenye nyaraka nyeti za kumwezesha kufanya uchunguzi huo kuibwa.

Inadaiwa kuwa tume hiyo pamoja na kuundwa na waziri mwenye dhamana ya mambo ya ndani ya nchi ila bado imekuwa ikifanya kazi katika mazingira hatari zaidi baada ya kuwepo kwa habari kuwa imekuwa ikifuatiliwa kwa karibu zaidi na makachero wa polisi.

Hat a hivyo habari Kutoka ndani ya jeshi la polisi ambazozinafanyiwa kazi na jeshi la polisi mkoani Iringa zinadai kuwa tume hiyo imeondoka asubuhi hii kuelekea Nyololo kuanza kufanya kazi yake

me loving this.
 
MAUZA UZA KAMATI YA WAZIRI NCHIMBI KUCHUNGUZA MAUWAJI YA MWANGOSI YAANZA IRINGA WEZI WAPORA LAPTOP HOTELINI

Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Dkt Emmanuel Nchimbi
Habari kutoka mkoani Iringa zilizoripotiwa na mwandishi maalum wa mtandao huu wa Francis Godwin Mzee Wa Matukio Daima Kutoka mjini Iringa zinadai kuwa Kamati iliyoundwa na waziri wa mambo ya ndani ya nchi Dkt Emmanuel Nchimbi kuja kufanya uchunguzi dhidi ya mauwaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa Chanel Ten mkoani Iringa na mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa habari mkoani Iringa, Marehemu Daudi Mwangosi imeibiwa katika hoteli maarufu iliyokuwa imefikia .

Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia Leo ambapo mmoja Kati ya wajumbe wa tume hiyo ameamka na kujikuta mtupu Bila ya Laptop yake yenye nyaraka nyeti za kumwezesha kufanya uchunguzi huo kuibwa.

Inadaiwa kuwa Kamati hiyo pamoja na kuundwa na waziri mwenye dhamana ya mambo ya ndani ya nchi ila bado imekuwa ikifanya kazi katika mazingira hatari zaidi baada ya kuwepo kwa habari kuwa imekuwa ikifuatiliwa kwa karibu zaidi na makachero wa polisi.

Hata hivyo habari Kutoka ndani ya jeshi la polisi ambazo zinafanyiwa kazi na jeshi la polisi mkoani Iringa zinadai kuwa Kamati hiyo imeondoka asubuhi hii kuelekea Nyololo kuanza kufanya kazi yake .
 
Nchimbi damu ya mtu haimwagiki hovyo, hapa wanaanza kuumana wenyewe kwa wenyewe hamjijui hata mnachofanya mmechanganyikiwa. Suala la mauwaji liko wazi linajieleza tume/kamati za nini? Mmeuwa mwandishi sasa mtauwana wenyewe. Idiot Nchimbi na serikali yako
 
Another episode, kama kweli imeibiwa nini ilikuwa nacho sababu hata kazi yenyewe hawajaanza. Hii ni komedi tu wanajaribu kucheza na akili za wananchi ili ijulikane kuna kitu waligundua ambacho ni cha hatari kwa usalama wa walengwa. Kutokana na barua ya nchimbi kwa vyombo vya habari inaeleza ile kamati haikwenda kuchunguza kifo bali kutafuta suluhu kwa waandishi wa habari, polisi na vyama vya siasa.

sisi sote ni ndugu tatizo ccm
 
nikina bendera ya hilo chama la wezi natamani niichome moto kwa gesi au kwenye lile tanuru la kuyeyushia chuma
 
Yetu macho na masikio, sijui ndo itakuwa mambo ya funika kombe mwanaharamu apite

  • :eek2:
 
tehe teheeeeeee
mazingaombwe vile. ripoti yao itaibiwa pia hata kabla hawajamaliza kuiandika
 
Ha Ha Ha!!! Safi sana.

Back
Top Bottom