Tume ya katiba na hoja tata kutoka kwa jamii

Raisi alitakiwa kuangalia hayo yote ili kukidhi vigezo ili kusiwepo malalamiko kama haya. Mimi namuunga mkono mzee Mtei kwani hata waislamu wangelalamika kama Wakristo wangekuwa 23 na Waislamu wangekuwa 7, pamoja nakuangalia ubara na uzanzibar alitakiwa kuangalia mambo ya dini pia kwani hapa tunaweza chezewa mchezo wa mambo ya Kadhi kwa Wakristo waliopo ndani ya kamati hawatakuwa na sauti. Misikuona kama watu Milion moja wawakilishwe na watu 15 halafu wa tu Milioni 39 eti nao wanawakilishwa na watu 15 uliona wapi? minashangaa!
 
Watu wengi walikuwa hawamjui huyu raisi wetu.

Sasa kajifunua mwenyewe jinsi alivyo - mdini aliyepindukia
 
kama wa kristo wangekuwa 23 kama walivyo waislam kwenye tume ,kwa vyovyote vile upande wa pili ungeanza kuibua malalamiko .lakini hata hivyo jakaya kikwete kama amunda tume hiyo kwa kuwa komoa wakristo , kwa tafisri nyingine amewakaanga waislamu wenzake,maana tutawapima uwezo wao ,nia yao kwa taifa hili katika majukumu waliyopewa .hata hivyo tunajua kwamba Jakaya kikwete anatekeleza mpango wa maazimio ya abuja wa muda mrefu ulioandaliwa nchini nigeria na waislamu dhidi ya wakristo.

Kwa hiyo hoja ya edwini mtei nimuhimu kwa jamii ya kitanzania kutoipuuza ,wahenga wansema hakuna upuuzi ulio upuuzi mtupu.Jakaya kikwete ni mdini sana anafanya kwa siri sana ,mfuatilieni sana katika nyendo zake .
Hatuwezi kufikiri nje ya box la udini jamani
 
hoja hii kwangu mimi naona sinzuri sana kuijadili kwa mstakabali wa taifa! watanzania tuwe wapole na subira! mbona mwenyekiti na makamu wake ni wakristo? nadhani tusimuukumu JK kwa hili. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
 
je unafiki suala la udini haliku click kwenye mind zake wakati akiiandaa hiyo orodha? tuache jazba kwenye ukweli..
 
Hoja zingine hazina mshiko , tunaagalia uwezo wa mtu wala si dini yake , kwani hawa watu wanakwenda kuandika Biblia au Koroani ? Wazee wengine bwana ?
 
Hoja zingine hazina mshiko , tunaagalia uwezo wa mtu wala si dini yake , kwani hawa watu wanakwenda kuandika Biblia au Koroani ? Wazee wengine bwana ?
JK anataka watu watakaoleta mahakama ya kadhi na OIC

kafanya makusudi kabisa kwa kile alichofanya kwenye hii tume
 
Back
Top Bottom