Tume ya katiba na hoja tata kutoka kwa jamii

lubaga

Member
Apr 6, 2012
65
17
kama wa kristo wangekuwa 23 kama walivyo waislam kwenye tume ,kwa vyovyote vile upande wa pili ungeanza kuibua malalamiko .lakini hata hivyo jakaya kikwete kama amunda tume hiyo kwa kuwa komoa wakristo , kwa tafisri nyingine amewakaanga waislamu wenzake,maana tutawapima uwezo wao ,nia yao kwa taifa hili katika majukumu waliyopewa .hata hivyo tunajua kwamba Jakaya kikwete anatekeleza mpango wa maazimio ya abuja wa muda mrefu ulioandaliwa nchini nigeria na waislamu dhidi ya wakristo.

Kwa hiyo hoja ya edwini mtei nimuhimu kwa jamii ya kitanzania kutoipuuza ,wahenga wansema hakuna upuuzi ulio upuuzi mtupu.Jakaya kikwete ni mdini sana anafanya kwa siri sana ,mfuatilieni sana katika nyendo zake .
 
mi ninachojiuliza, kwa nini wazanzibari tunawaogopa kiasi hiki? Au kwa sababu walichana muswada wa mwanzo? Haingii akilini mikoa 23 iwe na uwakilishi sawa na mikoa mitano! Kuna nini cha maana tunachokipata kutoka zanz? Juzi walikuwa wanajadiliana kutufukuza kwao ili waweke wazi ubaguzi wanaoendelea kuufanya mpaka sasa,wamesahau kwamba kwetu wanaishi kwa utulivu na upendo.
 
Hatujawahi kujadiliana kuwagukuza, tulijadili kuboresha ajira na kuweka kipao mbele kwa mzawa nae ni mzanzibar, sisi wanzanzibar tuna nchi yetu nyie nchi yenu haipo ilikufa mwaka 64.
 
wenye akili timamu ,na fikra pevu huwa hawapuzi jambo ,maana tunajua hakuna upuuzi ulio upuuzi mtupu.
 
Hivi Bara ikiwa na wajumbe zaidi ya Zanzibar ktk tume hii itatuwezesha kipi zaidi? Hivi Wakristu wakiwa sawa na waislaam itatusaidia kujenga au kulinda kitu gani? ikiwa tume hii kazi yake ni kutaribu mawazo na maoni ya WANANCHI na sio kupiga kura.
 
Nadhani ni muda muafaka sasa kuamua kusuka au kunyoa. Hakuna haja ya kuendeleza unafiki wa muungano feki. Ni kupeana talaka tu. Haya mambo ya udini tutayamaliza ndani ya nchi yetu ( Tanganyika).
 
When did we come to this point ?, where people are judged according to their faith and not merits of their characters...?

God / Allah / Jah / Adonai..... help us all..!!! (
 
Mimi nadhani ifike mahali badala ya kuangalia majina na dini ya mtu, tuangalie uwezo, uelewa na uadilifu ya mtu. Hii itakuwa ya maana sana.
Wasiwasi wangu ni kwamba itafika mahali wakachaguliwa au kuteuliwa watu kwa dini zao bila kuangalia uwezo wao kwenye suala nzito na muhimu kama katiba watakuja kutuingiza kwenye matatizo makubwa.
Unless kama kutakuwa na suala la upendeleo katika zoezi la kukusanya maoni, kwa maana ya kwamba waislamu watakuwa wanacollect maoni ya waislamu wenzao, wakristo hivyo hivyo.
 
Mungi says thanks for this very useful post
 
When did we come to this point ?, where people are judged according to their faith and not merits of their characters...?

God / Allah / Jah / Adonai..... help us all..!!! (

We came to this stupid situation immediately after Kiwete came to power; he has been implementing this secret agenda very judiciously!!
 
Mimi nadhani ifike mahali badala ya kuangalia majina na dini ya mtu, tuangalie uwezo, uelewa na uadilifu ya mtu. Hii itakuwa ya maana sana.
Wasiwasi wangu ni kwamba itafika mahali wakachaguliwa au kuteuliwa watu kwa dini zao bila kuangalia uwezo wao kwenye suala nzito na muhimu kama katiba watakuja kutuingiza kwenye matatizo makubwa.
Unless kama kutakuwa na suala la upendeleo katika zoezi la kukusanya maoni, kwa maana ya kwamba waislamu watakuwa wanacollect maoni ya waislamu wenzao, wakristo hivyo hivyo.

Ha ha aha ah ha mbona hilo la mtu kuteuliwa kwa dini yake tayari lipo!!!! wewe unadhani mawaziri na wakuu wengine eti ndo wana uwezo kuliko watanzania wengine wasio na vyeo??? hapa ni ushikaji tu
 
Hivi Bara ikiwa na wajumbe zaidi ya Zanzibar ktk tume hii itatuwezesha kipi zaidi? Hivi Wakristu wakiwa sawa na waislaam itatusaidia kujenga au kulinda kitu gani? ikiwa tume hii kazi yake ni kutaribu mawazo na maoni ya WANANCHI na sio kupiga kura.

Nadhani hata wale waasisi wa demokrasia walimaanisha uwakilishi wenye uwiano. Huwezi kuwa na population watu millioni 2 yenye wajumbe sawa na wanaowakilisha population ya million 40 na bado ukaiita eti hiyo ni demokrasia. Equal representation is an essence of democracy. Kama wanadhani wanzanzibari ni watu muhimu zaidi ya watanganyika basi wangepewa uwiano katika kufikia maamuzi; kwa mfano wangeweza kusema ili jambo lipitishwe lazima liungwe mkono na idadi kadhaa ya wazanzibari kulingana na idadi yao ya uwakilishi. Tunatafutwa katiba mpya yenye manufaa kwa kila raia na lazima tukubaliane kwamba kama nchi kuna makundi mbalimbali yenye maslahi tofauti tofauti, ni wajibu wa viongozi kuelewa hilo na kutafuta uwakilishi ambao unazingia mahitaji ya jamii. Hakuna garantee kuwa katiba mpya automatically itakuwa nzuri kuliko ya sasa bali uzuri wake utatokana na umakini wa upatikanaji wake
 
RAIS HAKUTEUA WAISLAMU WALA WAKRISTO, BALI (1) WAJUMBE WA TUME KUTOKA ZANZIBAR; na (2) WAJUMBE KUTOKA TANGANYIKA (TANZANIA BARA?). NASHAURI TUJADILI MAMBO YANAYOSAIDIA NCHI NA KUHARAKISHA UKOMBOZI. TUPINGE WAJUMBE KWA HOJA

kama wa kristo wangekuwa 23 kama walivyo waislam kwenye tume ,kwa vyovyote vile upande wa pili ungeanza kuibua malalamiko .lakini hata hivyo jakaya kikwete kama amunda tume hiyo kwa kuwa komoa wakristo , kwa tafisri nyingine amewakaanga waislamu wenzake,maana tutawapima uwezo wao ,nia yao kwa taifa hili katika majukumu waliyopewa .hata hivyo tunajua kwamba Jakaya kikwete anatekeleza mpango wa maazimio ya abuja wa muda mrefu ulioandaliwa nchini nigeria na waislamu dhidi ya wakristo.

Kwa hiyo hoja ya edwini mtei nimuhimu kwa jamii ya kitanzania kutoipuuza ,wahenga wansema hakuna upuuzi ulio upuuzi mtupu.Jakaya kikwete ni mdini sana anafanya kwa siri sana ,mfuatilieni sana katika nyendo zake .
 
Nakupenda marehemu tanganyika tunakulilia wanao, umetuacha hatuna nchi yetu--oh kifo, kaburi lako limepotea, sijui ulizikwa wapi tanganyika
 
Back
Top Bottom