Tumchague mwenyekiti wa chit chat Baba V ajiuzulu?

Ganja mbaya sana!!
some times ina turn things into vise versa...
eti Lady doctor ni single?
eti hata figganigga nae?
ganja bana....

Hasahasa ukizivutia chooni maana zinachanganyikana na kale ka smell ka gogo
 
Wewe unamwambia ajiuzulu kwani wewe ndiye uliye mchagua Baba V? Mungu aliye mpangia kuwa mwenyekiti wewe huwezi kupangua. Mia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom