Miss Chit-Chat mpeni Lady doctor kura za ndiyo anastahili

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
https://www.jamiiforums.com/jf-chit...ngia-kumi-bora-ndio-hawa;-piga-kura-sasa.html
Wadau wa chit chat ingieni basi kwenye hii thread
Mpigie kura Lady doctor kwa kuandika jina lake,anastahili awe miss wa chit chat.
Acheni uchoyo basi.
Ukifungua hiyo link hapo juu kati ya majina yaliyopendekezwa kuna vibox vidogo na majina ya watu,click hilo kibox cha kumchangua Lady doctor


C,C Mr Rocky Zion Daughter, ladyfurahia, Baba V Manka 81 Filipo Washawasha, skunk miss chagga miss wa kismayu Honey Faith farkhina. Money Stunna CHAI CHUNGU, gfsonwin dedam kashesho Jawilat peri Nambukwa Luno G Tyta jamiif kill KASHOROBANA Aine OLESAIDIMU UNDENIABLE
 
Last edited by a moderator:
Meneja mbinu yako ina udhaifu kidogo!!

btw naamini kwenye top5 ataingia kwa sababu hata mimi nitamchagua..

issue ni kwenye poll!! jiandae...
 
Meneja mbinu yako ina udhaifu kidogo!!

btw naamini kwenye top5 ataingia kwa sababu hata mimi nitamchagua..

issue ni kwenye poll!! jiandae...
we sikilizia mziki,bwembwe si ishu,ishu matokeo
 
Hahahahaaa dah
Siunajua na wife yupo hapo so niko natafakari kwanza lol
 
mbona mm nimeshampigia bestito jamani labda wengine w

haya apokee kura ingine hiyo happo kwa Lady doctor, na ingine ni kwa Passion Lady
Wadau wa chit chat ingieni basi kwenye hii thread https://www.jamiiforums.com/jf-chit...ngia-kumi-bora-ndio-hawa;-piga-kura-sasa.html
Mpigie kura Lady doctor kwa kuandika jina lake,anastahili awe miss wa chit chat.
Acheni uchoyo basi.

C,C Mr Rocky Zion Daughter, ladyfurahia, Baba V Manka 81 Filipo Washawasha, skunk miss chagga miss wa kismayu Honey Faith farkhina. Money Stunna
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom