Tumchague mwenyekiti wa chit chat Baba V ajiuzulu?

Haiwezekani anaconfirm ndoa nyingi bila kufanya uchunguzi.
Nabisha Lady doctor ni single
Arushaone single
hakuna uhusiano between figganigga na Heaven on earth
ladyfurahia single
eti Bishanga ana mke,wakati single anaspend dollor na euro apate anayempenda.

Baba V tafakari chukua hatua

Hivi kwa nini huwa mkijiskia kulia mnamtafuta Baba V !?? Excellent hebu kabla hujapima maji kwa miguu yote miwili fanya ka "homuweki" ujue wale waliokuwa na roho za tamaa na majungu kimewapata nini. Ref. Erickb52, ummu kulthum na Himidini . This is "tall" water..
 
Last edited by a moderator:
un jina tamu kama la mpenzi wangu nikionaga comment yako moyo unadunda nahisi kama ndo mwenyewe

Umeanzia mbaali.... mara ooh uenyekiti.... ooh Kinana anauza tembo ..... kumbe lengo lako ndio hili eeh...! your days are numbered.. I'm counting down..!
 
Hivi kwa nini huwa mkijiskia kulia mnamtafuta Baba V !?? Excellent hebu kabla hujapima maji kwa miguu yote miwili fanya ka "homuweki" ujue wale waliokuwa na roho za tamaa na majungu kimewapata nini. Ref. Erickb52, ummu kulthum na Himidini . This is "tall" water..
mi sikubaliani kabisa,uwe unatuachia mda vijana tujiachie ukishaconfirm unatuzibia riziki,mi sina roho ya tamaa ila nina slogan "follow a leader but get your master plan"
 
Ufike ofisini kwangu first thing tommorow morning.. uje na vitambulisho vyako vyote ikiwemo vya kielektroniki...
aaah tushaanza kutishiana vyeo,kwahiyo mi sina haki ya kumpenda faith
 
Ufike ofisini kwangu first thing tommorow morning.. uje na vitambulisho vyako vyote ikiwemo vya kielektroniki...
una wake wengi kama biashara ya kariakoo bado unanikomoa
 
Hivi kwa nini huwa mkijiskia kulia mnamtafuta Baba V !?? Excellent hebu kabla hujapima maji kwa miguu yote miwili fanya ka "homuweki" ujue wale waliokuwa na roho za tamaa na majungu kimewapata nini. Ref. Erickb52, ummu kulthum na Himidini . This is "tall" water..

^^
Tafadhali sana.. Baba V
Mvi za uzee hazikuwahi kushinda macho ya milima.
Sina hisa JF kama ulionayo..jukwaa nilikuachia faraja ukapata utakalo ukafanya Sasa Zinge za mikunjo ya kanga zinatoka wapi?
^^
 
Last edited by a moderator:
^^
Tafadhali sana.. Baba V
Mvi za uzee hazikuwahi kushinda macho ya milima.
Sina hisa JF kama ulionayo..jukwaa nilikuachia faraja ukapata utakalo ukafanya Sasa Zinge za mikunjo ya kanga zinatoka wapi?
^^
mshauri mzee mwenzako Himidini hii si kawaida bhana
 
Last edited by a moderator:
Mi ndio mwenyekiti kwa sasa...mwache ahangaike tu ila decision nazitoa mimi
 
Back
Top Bottom