Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 12,939
- 21,828
Sasa mkuu tutakimbilia wapi? Maana hata ukainunua mbeya ujue imetoka Kariakoowe wachane tu watu ukweli kuwa kwa sasa kariakoo ni maduka machache sana wanauza bidhaa OG hasa kwa haya makampuni makubwa kama samsung na LG.
Bidhaa nyingi zenye majina hayo kariakoo ni fake utakuta TV za samsung kibao zinauzwa then wanaplay video za 4K sasa nunua nenda nayo nyumbani unakuta mambo tofauti.
TV nyingi KKOO, kwa sasa ni copy na nyingi watu wasichokijua ni kwamba zinakua assembled hapa hapa Tanzania,Wachina wameharibu sana ubora wa bidhaa hapo kariakoo syo viatu,nguo wala vifa vya electronic's