Tumalize utata kwenye kampuni zinazouza electronic Kariakoo (Tanzania)

United ya Ferguson

JF-Expert Member
Oct 29, 2021
2,779
5,459
Watu wengi wamekuwa wakijuliza Nini kimetokea kwenye bei za bidhaa za electronic Kariakoo hasa Tv wengi wao wanamekuwa na hofu sana ya kutaka kununua bidhaa hizo kutokna na urahisi wa bei na wengi hofu Yao kubwa ni kuhusu ubora wa bidhaa hizo. Pia imekuaja Tv zimeshuka sana bei. Ngoja nieleze kidogo nachokijua
Kabla ya Covid 19 bei za Tv zilikuwa wastani mfano Tv kama star x zilikuwa hadi 240,000 Kwa bei ya jumla na ndio kampuni iliyokuwa inaongoza Kwa kuuza Tv Tanzania hasa nch 32

Baada ya kutokea mlipuko wa corona Tv ziliaza kupanda bei kidogo kidogo sababu mzigo mwingi uliokua stock kariakoo ulikua unaisha bila kuletwa mwingine ilifika kipind Tv za kampun.

Nyingi zilikua hazipatikani kabisa na hata zikipatikana utapata Kwa bei kubwa sana mfano kampuni kama Good vision Tv zao nch 32 zilifika hadi 480000 Hisense ndio alikua hashikiki kabisa Kwa bei na pia ilikua ni ngumu sana kupata Baadhi ya Tv mfano nch 50 na 32 zilikua ni ngumu sana kupatikana. yote hii ilitokana na kufungwa Kwa Viwanda china vya uzalishaji wa Tv na kulikua Kuna supplier ndogo ya Tv kampuni nyingi za uuzaji wa Tv zilikua haziagizi Tv Kwa kiwango kikubwa .

Baada ya Covid 19 kuaza kuisha na Viwanda vya China kurudi kweny uzalishaji.kampuni zikawa nyingi zinazoleta mzigo kariakoo na zikawa zinazalisha Tv Kwa kiwango kikubwa sana ikapelekea.

Competition kuwa kubwa sana kwenye soko Na ndio bei ikaaza kushuka hapo.kwa kiufupi ngoja niaze kuchambua Baadhi ya kampuni zinazouza Bidhaa za electronic kariakoo na Tz Kwa ujumla ili ukitaka kununua ujue wapi pakuazia.

SONY, hii ni moja kati ya kampuni yenye bidhaa Bora sana za electronic iliyojikita kweny kuuza Tv na Sound bar na Wana Sound bar zenye watts tofauti tofauti mfano. 400,600,1000 n.k pia Wana Tv za design mbali mbali japo Kwa Tv zipo chache na ni aina za Tv ambazo wa Tanzania wachache sana wanamiliki. Kwa ufupi kama unataka Best brand ya Sound bar na Tv Sony ni one of the best Brand.

HISENSE, kwa Sasa ni kampuni inayo Fanya vizuri sana kweny soko la bidhaa za electronic Tanzania na Dunia. Hisense imejikita kwenye kuuza bidhaa tofauti tofauti mfano Tv, fridge, freezer, air condition, sound bar n.k Hisense kweny Tv wana Tv tofauti tofauti.mfano normal,,smart, smart4k na zenye version tofauti tofauti.kama vile LED TV, A4 series A5 series, UHD Tv A5 series, A6 series ULED A7 series, LASER 4K A7 series
Tv zao nying ni nch 32 had 120.Pia

Hisense ni moja kati ya kampuni yenye Fridge zenye ubora wa Hali juu kweny kupoza na kugandisha Fridge za zipo vizuri sana na zinauwezo wa kudumu Kwa kipind kirefu .Wana Fridge za kawaida na Fridge za water dispenser zenye lita kuazia 120 hadi 296.bila kusahau. Hisense Wana sound bar za watts tofauti mfano watts 300, watts 1000. n.k . Pia Wana floor stand Ac tofauti kama vile 18,but,24btu,36btu, ,48btu 60btu nk. kiufupi kama unataka Fridge zenye ubora wa Hali ya juu wacheki Hisense kama unataka Floor stand AC zenye ubora wacheki pia Hisense Bila kusahau Tv. kwa Tanzania Wana ma agent tofauti tofauti ila main agent wakuaminika yupo kariakoo

ABORDER,kampuni ya Aborder ni kampuni yenye bidhaa Bora za electronic zenye uwezo wa kudumu Kwa kipindi kirefu na zenye uwezo wakutumia kweny mazingira yoyote Yale iwe kijijini,iwe mjini pia Bidhaa Nyingi za kampuni ya Aborder zina support mfumo wa solar system kama unaishi sehemu ambazo

zinatumia umeme wa solar Aborder wanafaa sana Aborder wanauza bidhaa tofauti tofauti kama vile Rice cooker,majagi ya umeme,Feni, subwoofer,solar power Fridge. yote Kwa yote kama unataka Subwoofer utakayo tumia Kwa kipindi kirefu chukua subwoofer za kampuni ya Aborder Wana Subwoofer za aina tofauti mfano aboder Bt 113,114,118,154 n.k Ata ukipata Dukani kwao makao makuu mzigo mwingi ni subwoofer kiufupi kama unahitaji bidhaa za electronic zizatumia umeme wa kawaida na solar na zinazodumu mda mrefu wacheki aboder.

MR UK,zamani walikua mchikichi na Nyamwez kama unaenda msikiti wa kiblateni ila now wamehama mitaa ili kupisha ujezi wa gorofa. Mr uk inauza bidhaa tofauti tofauti za electronic mfano microwave,water dispenser, subwoofer,sound bar,Fridge,Tv.pia ni ma agent wa bidhaa za kampuni nyingine za electronic mfano Tv za kampuni ya Hisense, Samsung LG . Ukitoa Fridge za kampuni ya Hisense Fridge nyingne zenye ubora ni Fridge za kampuni ya Mr uk Wana Fridge za litre 86 hadi litre 200 n.k .pia Bidhaa Nyingi za kampuni ya Mr uk wanatoa warranty ya miaka miwili kama unataka bidhaa Bora za electronic zenye ubora pia Mr uk ni one of the best.makao makuu yao yapo kariakoo.

STAR X,kabla ya COVID 19 kampuni ya star X ndio kampuni iliyokua inafanya vizuri Kwa mauzo ya Tv kariakoo hasa nch 32 kwa sasa wawepungua kasi kweny soko tofauti na kipind Cha nyuma .ila ukizungumzia kampuni yenye Tv zenye ubora na imara. Star x huwezi kuacha kuitaja asilimia kubwa ya Tv zao ni nch 32. japo Wana Tv kauzia 21 hadi 75 na Wana version ya LED TV na UHD na Wana normal na smart Tv .kama unataka TV yenye ubora Kwa bei nafuu utakayo dumu nayo Kwa kipindi kirefu Star x wapo vizuri

HOME BASE, Home ni wauzaji wa bidhaa za electronic mfano Fridge,Tv Pia ni ma agent wa subwoofer za kampuni ya Sea piano .Kampuni ya Home base wanauza Tv na Fridge Kwa asilimia kubwa. kweny Fridge ndio wapo vizuri zaidi na pia Bidhaa zao nyingi ni bei kubwa.ila kama unataka bidhaa zenye uimara za electronic Home base wapo vizuri.makao makuu yapo kariakoo

BOSS, kampuni inayo ongoza Kwa kuuza Fridge na freezer.Tanzania asilimia kubwa ya wa Tanzania wanao miliki Fridge na Freezer wengi wao wanamiliki Fridge za kampuni ya Boss. Wana Fridge kuazia litre 70 hadi 202 . kampuni ya Boss pia ni wauzaji wa Tv na Subwoofer.ila asilima kubwa wame base kuuza Fridge na Freezer kama unataka Fridge, Freezer, subwoofer za bei nafuu wacheki Boss.

SUNDAR,Sundar ni wazuri kweny radio mkulima Wana karibu Kila design ya Radio mkulima wanazo radio mkulima zinazo support mfumo wa Bluetooth, solar system. kiufupi kama unataka radio zenye ubora hasa Radio mkulima .wacheki Sundar.bidhaa zao nyingi zina support mfumo wa solar power kama Aborder.

AILYONS,Feni,Rice cooker,kettle ,Tv ailyons ni moja kati ya kampuni yenye bidhaa za bei nafuu sana. mfano Tv zao ni bei nafuu. Wana single na double screen Tv na Tv zao nyingi ni nch 32.pia aliyons ni kampuni inayouza Feni Kwa kiwango kikubwa sana.kama unataka Tv za bei Chee Feni za bei. Ailyons ndio kimbilio

GOOD VISION,unaweza kusema ni kaka Ake Soyi kilichobadilika ni jina tu ila supplier wa Tv za Soyi ndio huyo huyo supplier wa Tv za kampuni ya Good vision japo Kuna tofauti ya ubora wa Tv za Soyi na Good vision.Good vision ni kampuni iliyo focous na kuuza Tv, na Feni Wana Tv.zinazoazia nch 25 hadi 43 na Wana Tv za single grass na double grass . Pia Good vision ni kati ya makupuni yanaouza bidhaa zao Kwa bei ndogo hasa Tv.

HAIER,kampuni inayojitangaza kweny jezi za Yanga wanazotumia kwenye michuano ya Kimataifa.Ni moja ya kampuni inayauza bidhaa zenye ubora za electronic kama vile Tv, Fridge n.k Na wana kweny Tv wana . normal,smart,smart 4k na Tv zao nying nch 32 hadi 65,pia Wana fridge zenye ubora kama unata Tv zenye ubora na Fridge zenye ubora wacheki Haier kariakoo Wana mawakala kibao.wa bidhaa zao

ALITOP, kampuni nyingine yenye bidhaa za bei Chee kariakoo. Alitop Wana Tv,Wana subwoofer.japo wamebase sana kweny kuuza Subwoofer na Tv . ila hii ni moja kati ya kampuni inayouza bidhaa za Electronic Kwa bei ndogo sana japo subwoofer sio haba at least zi uwezo ila kama unataka bidhaa za electronic Kwa bei nafuu wacheki ALITOP.

TCL,hii ni kampuni nyingine yenye Tv zenye ubora na imara japo ni watu wachache sana wanapendela Tv zao.ila TCL ni moja kati ya kampuni yenye TV unazo weza kudumu nazo Kwa Kwa kipindi kirefu sana. wana Tv nch 32 had 65.na Tv nyingi za kampuni ya TCL ni Android.kama unataka Tv zenye ubora na zinazodumu Kwa kipindi kirefu wacheki TCL kariakoo zipo za kutosha.

SAMSUNG,ni kampuni yenye Tv zenye ubora wa Hali ya juu sana hasa kweny quality ya video, Wana normal, smart ,smart 2k ,smart 4k . Wana Tv za aina tofauti tofauti kama vile Q60B QLED,BU 8100 4k AU 8000 4k ,TU 7002 4K nk .SAMSUNG Ni best brand kweny suala picture .ila Bei yake si mchezo.Tv za kampuni ya Samsung kariakoo zipo kibao.pia Kuna maagent wengi sana wa Tv zao wakimo Hisense wenyewe.kampuni ya Mr Uk pia ni ma agent wa Tv za Samsung.

LG, brand nyingne yenye Tv zenye ubora wa video na picha Wana Tv za aina tofauti tofauti mfano Wana Tv tofauti tofauti mfano UP 77 smart 4k,NANO 77 4K,UP 7750 4K,NANO 804K n.k .pia Wana inverter split AC. 9btu,12btu ,18btu,24btu na Wana Normal split AC 9btu,12btu,18btu ,24btu. pia kampuni ya LG inauza home theater zenye ubora wa Hali ya juu ,Wana hometheater za watts tofauti tofauti mfano watts 1000,nk.kama unataka bidhaa luxury na zenye ubora za electronic wacheki LG

KODITEIC, kampuni inayojishulisha na uuzaji wa bidhaa za electronic kama vile vinanda,spika za miziki ya matamasha, amplifier , maiki,vinanda, majagi ya umeme,Tv,Blender nk. kama unataka spika zenye ubora Vinanda, amplifier,maiki,piano basi kodetic wapo vizuri sana kweny aina hizo za Bidhaa nilizo taja Kwa kariakoo wapi karibu na je linalopakana na Simba makao makuu au Sunderland.

ITEL, ni moja ya kampuni inayouza Tv bei ndogo sana kama una bajeti ndogo na unataka kumiliki Tv kuazia nch 32 basi itel ni moja kati ya kampuni yenye TV za bei ndogo sana.

HIGH- Q ,brand nyingine yenye Tv za bei ndogo kabisa ni HIG-Q Tv zao nyingi sana ni nch 32 .kama unataka TV ya bei ndogo basi wacheki jamaa Tv zao zipo nyingi sana kariakoo
PHILIPS,Wana supplier kubwa sana ya pasi japo wanauza na baadhi ya majagi ya umeme ila kama unataka pasi yenye ubora wa Hali ya juu Philiphs ni kampuni yenye pasi zenye ubora sana.

WEST POINT ,Wana air condition zenye ubora,Wana micro wave,na baadhi ya Oven,kama unataka Air condition zenye ubora, microwave na oven.Nunua kampuni ya West point wapo vizuri sana.kariakoo ma wao agent wapo kibao.

SING SANG,ni kampuni inayouza Bidhaa za electronic kama vile Tv,Blender,nk. ila Tv zao at least zina ubora Wana Tv nyingi nch 25 na 32 na pia ni moja ya kampuni inayouza Tv zao Kwa bei nafuu kariakoo Tv zao zipo nyingi tu.

PMC, EUROPE, ni kampuni zilizojikita na uuzaji wa Tv na Wana Tv nyingi kuazia nch 24 had nch 32 na ni moja kati ya kampuni zenye bei ndogo sana ya Tv kama unahitaji wa kumiliki Tv na bajeti Yako ni ndogo wacheki EUROPE na PMC kariakoo zipo nyingi sana.

Ni hitmishe Kwa kusema kama ulikua unatamani kumiliki Tv, subwoofer, Fridge nk na huwelewi wapi uazie au wapi utapata Kwa bei nafuu tuwasiliane.na pia kama ulikua unataka kufanya biashara Hii hichi ndio kipindi Cha kuingia kufanya.
 
Watu wengi wamekua wakijulza Nini kimetokea kweny bei za bidhaa za electronic kariakoo hasa Tv wengi wao wanamekua na hofu sana ya kutaka kununua bidhaa hizo kutokna na urahisi wa bei na wengi hofu Yao kubwa ni kuhusu ubora wa bidhaa hizo. Pia imekuaja Tv zimeshuka sana bei.ngoja nieleze kidogo nacho kijua
Kabla ya Covid 19 bei za Tv zilikua wastani mfano Tv kama star x zilikua hadi 240000 Kwa bei ya jumla na ndio kampuni iliyokua inaongoza Kwa kuuza Tv Tanzania hasa nch 32

we wachane tu watu ukweli kuwa kwa sasa kariakoo ni maduka machache sana wanauza bidhaa OG hasa kwa haya makampuni makubwa kama samsung na LG.

Bidhaa nyingi zenye majina hayo kariakoo ni fake utakuta TV za samsung kibao zinauzwa then wanaplay video za 4K sasa nunua nenda nayo nyumbani unakuta mambo tofauti.

TV nyingi KKOO, kwa sasa ni copy na nyingi watu wasichokijua ni kwamba zinakua assembled hapa hapa Tanzania,Wachina wameharibu sana ubora wa bidhaa hapo kariakoo syo viatu,nguo wala vifa vya electronic's
 
Safi sana
 
Tv original kariakoo zipo nyingi sana sema wew tu huwajui wauzaji na kutofautisha kati ya Tv original na copy pia fake zipo
 
we wachane tu watu ukweli kuwa kwa sasa kariakoo ni maduka machache sana wanauza bidhaa OG hasa kwa haya makampuni makubwa kama samsung na LG.

Bidhaa nyingi zenye majina hayo kariakoo ni fake utakuta TV za samsung kibao zinauzwa then wanaplay video za 4K sasa nunua nenda nayo nyumbani unakuta mambo tofauti.

TV nyingi KKOO, kwa sasa ni copy na nyingi watu wasichokijua ni kwamba zinakua assembled hapa hapa Tanzania,Wachina wameharibu sana ubora wa bidhaa hapo kariakoo syo viatu,nguo wala vifa vya electronic's
Shida watu wanataka bei chini chini
Sio kitu original
Watanzania hawana elimu kuhusu vifaa vya electronics
Ni wajinga halafu wajuaji
 
Back
Top Bottom