aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,630
- 3,579
Kwa kweli moja ya sababu ya kuzuia vipanya(hiace) kuingia katikati ya Jiji ilikuwa ni kupunguza msongamano, namakosa yabkibarabani mengi waliyokuwa wanafanya madereva vipanya
Hii kero sasa inaletwa na hizi Bajaj
Kwanza zimekuwa nyingi kupita hata mahitaji.
Huko mjini unaweza usigongwe na gari bajaj ikakugonga.
Gari sasa 80% ukiona imebonyea jua ni Bajaj
Zipo nyingi hawana nidhamu.
Mamlaka hebu walitazame hili