Tulipopata GPA za upper second class and above tukutane hapa

Siwezi kikupongeza kwa hio statistics hio ni bachelor of art. Nimesema waliopata 4+(distinction).
kiujumla upo ktk average IQ level aytound 100 kwenye ulimwengu wa akili. Kiujumla huwezi Innovate kitu kwa IQ hio bora ulivyohama hama fani, hata mimi nipo average IQ.
Ila umetumia mda na pesa vibaya kama hujilipii ada maana yake utapata deni la milioni zaidi ya 30 kwa kozi hizo mbili.
Je hakuna post graduate ya statics mpaka ukaamua urudie digrii ?
Hio fani haina ajira au haukuwa competent, kwa nini ulichukua maamuzi magumu kama hayo?
Kuna mkufunzi mmoja alitufundisha kuwa msijiendeleze kielimu horizontally but vertically.
IQ haipimwi kwa Ufaulu wa mitihani pekee, nawewe hauna justification ya kumwambia mwenzio hawezi kuwa innovative
 
Heshima yenu wakuu..

Tuliopata GPA za 3.5 na kuendelea tukutane hapa kubadilishana mawazo positively. Je GPA kubwa imekusaidia baada ya maisha ya chuoni na kwenye kutafuta riziki? Ni zipi fursa ulizozipata na zilizokufaidisha kutokana na GPA yako kubwa?

Binafsi nilipata GPA ya 4.1 from the school of Architecture - Ardhi University. Lakini GPA haijawahi kunisaidia lolote kwenye fursa za utafutaji, maana mimi ni mjasiriamali tu.

Karibuni wadau.

Mi nikajua unatuita uje utupe kaz
 
IQ haipimwi kwa Ufaulu wa mitihani pekee, nawewe hauna justification ya kumwambia mwenzio hawezi kuwa innovative
Oppose kwa ushahidi. GPA below 4 unategemea ufanye innovation au invention! Very layer case and for exceptional only.
Fanya kufuatilia tu ni watu gani duniani walio invent , innovate na IQ zao.
Kama wapo wa IQ ndogo ndogo basi utakuwa sahihi.
Abstract ideas sio rafiki kwa Low IQ .
Mara nyingi sana watu wenye IQ above 140 ndio geneus na ndio waliofanya maajabu.
Ufaulu ndio kigezo kikuu cha IQ test kwa sababu utajibu maswali ili uwekwe kwenye level yako.
Fuatilia Mensah iq test for geneus huwa wanatoa maswali maalumu.
Kwa kawaida watu wanaoweza kumudu sayansi wana nafasi ya kuwa na IQ kubwa na ndio kigezo cha kufanya kozi za sayansi japo sio "a must criteria"
Huwezi chaguliwa vyuo vikubwa(prestigious college) kama havard., Yale, Oxford MIT hata UDSM kwa ufaulu mdogo hasa sayansi na engineering vinginevyo uwe umefanya jambo la tofauti.
Kama tupo kubishana kutafuta mshindi basi wewe ni mshindi ila kama ni facts zinaxooongea ukweli unaujua ila unajitoa ufahamu tu.
Halafu usipinge hoja ambayo mimi sijaandika.
IQ haipimwi kwa Ufaulu wa mitihani pekee,
Wapi nimeandika hivyo?
 
Back
Top Bottom