Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 16,106
- 38,392
Sie wa la form 4 B tutulie tu auntMkono wapili wa kulia๐๐
Sie wa la form 4 B tutulie tu auntMkono wapili wa kulia๐๐
Auwwwwweeehhhhhh๐๐๐๐๐! Yote haya ni yetru mjomba Walai tuko vizuri!!!Joo uone mashamba ya aunt yangu Antonnia ๐ ๐ ๐ kilimo utii wa mgongo.. au babu yako Grahams anawaonea wivu na G.P.A 2.1View attachment 2539478View attachment 2539479View attachment 2539476
Aise hongereni mno nitakuja kuvunaJoo uone mashamba ya aunt yangu Antonnia ๐ ๐ ๐ kilimo utii wa mgongo.. au babu yako Grahams anawaonea wivu na G.P.A 2.1View attachment 2539478View attachment 2539479View attachment 2539476
Uvune yako kwani ๐๐๐Aise hongereni mno nitakuja kuvuna
Si nawasaiida Jamani majirani๐Uvune yako kwani ๐๐๐
Kilimo uti wa mgongo aunt ๐๐
๐ ๐ ๐ ๐ hapo thawaaa thathaSi nawasaiida Jamani majirani๐
GPA ipimwe kwa mambo mengi ikiwemo Chuo ulichosoma. Kuna Vyuo GPA zinagawiwa kama njugu ila utendaji kazi (performance) za graduates wao makazini ni changamoto.Heshima yenu wakuu..
Tuliopata GPA za 3.5 na kuendelea tukutane hapa kubadilishana mawazo positively. Je GPA kubwa imekusaidia baada ya maisha ya chuoni na kwenye kutafuta riziki? Ni zipi fursa ulizozipata na zilizokufaidisha kutokana na GPA yako kubwa?
Binafsi nilipata GPA ya 4.1 from the school of Architecture - Ardhi University. Lakini GPA haijawahi kunisaidia lolote kwenye fursa za utafutaji, maana mimi ni mjasiriamali tu.
Karibuni wadau.
Nafurahi kuona wajukuu zangu wanarithi kwa Babu yao ujuzi wa kulima.Joo uone mashamba ya aunt yangu Antonnia ๐ ๐ ๐ kilimo utii wa mgongo.. au babu yako Grahams anawaonea wivu na G.P.A 2.1View attachment 2539478View attachment 2539479View attachment 2539476
Uongo mtakatifu ๐๐๐๐Binafsi nina GPA ndogo yaani pass ila kuna muda naonaga ina faida na kuna muda ina hasara. baada ya kumaliza chuo nilikuwaga sina mpango kabisa wa kuomba ajira sababu nilikuwa naona siwezi pata kazi ya maana na hii GPA na ndo kitu kilichofanya nione faida ya GPA ndogo sababu nilikomaa mtaani bila ya kuwa na mawazo ya kuajiliwa na naona matokeo yake ni mazuri zaidi kuliko jamaa zangu walio ajiliwa wengi bado wanajitafuta. Hasara zake waajili wengi wa Tanzania wanaangalia GPA wanaamini GPA kubwa ndio uwezo mkubwa hivyo ni mgumu kupata ajira ya maana kama huna GPA kubwa unless uwe na connection ila binafsi siamini katika hilo sababu matokeo ya chuo yanatokana na mambo mengi sana kwa kiasi kikubwa hayana uhusino na uwezo wa mtu.
we ni kiazi mviringoMbona. Unakuwa mpumbavu sasa wote tukiwa matajiri nani atadeki choo na kufanya usafi
Kwani huyo mondi au kiba bila kuwa na hao waajiriwa biashara zake zitaenda vipi acha kuwa mpumbavu bro kila mtu anafungu lake panua akili hiyo
Im mr moneywe ni kiazi mviringo
Computer engineering udsm nlimaliza na 2.9Naheshimu sana GPA ya Physics, Maths na computer engineering. Nadhani hizo ndio kozi ngumu zaidi. Wenye GPA ya 4+ hebu wajitokeze tuwapongeze.
Mmh mbna umeanza upyaComputer engineering udsm nlimaliza na 2.9
Nimerudi kusoma undergraduate upya, niko statistics.. First smester nilikua na 4.7