kuahirisha shughuli muhimu ili kula tunda, kama iliwahi kukutokea weka hapa mkasa wako, naanza mimi

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,034
Yalinikuta !, Niliahirisha kwenda interview niliyoisaka kea muda ili nile tunda

Nakumbuka kuna kipindi wakati natafuta kazi kuna sehemu nilii apply na kweli nikapigiwa simu kwamba siku ya jumatatu niende, nikatumiwa pdf ikaonesha nafasi niliyoomba inabidi nifike saa nane mchana

Siku ya ijumaa mida ya jioni iliingia mesej fb ya rafiki tulikuwa tunachat sana huko fb ila ghafla alipotea online, aliniambia anakuja mkoa wangu kesho jumamosi ndiko alikochaguliwa chuo.

Dah, zali si ndio hili wazee, nikamwambia aondoe hofu na tupeane namba za simu akafanya hivyo.

Kesho yake kifaa kilifika, pisi ni pisi yani, kitoto kimemaliza six huko weruweru girls, basi kwa mara ya kwanza tunaonana ikawa ni mzuka sana.

nilimpeleka huko chuoni kwao na bahati nzuri alishalipia hostel kwa hio alipata muda mwingi kuyajua mazingira.

binti alikuwa ananiuliza mambo kibao ya chuoni mimi nilikuwa nishamaliza chuo ni mzoefu niliweza kumsaidia vingi sana,

Junapili tulikua kama kurwa na doto nilimtembeza sana sehem kibao akarudi hostel saa moja usiku, niliporudi geto tulichat sana nikamwambia kesho aje kwangu nimpe nondo za ziada za kuishi chuoni.

Kesho nilimfata mida ya saa tano, Alipoingia tu geto kimoyo moyo nilishasema kwisha habari.... tukapiga stori, nikaagiza kyepe yai, mirinda na nyama, tukala tukashiba mara tupo kitandani, romance na kisses kibao,

ndani ya blanketi zilianza kukuru kakara, nikavaa mpira mechi ikaanza, barabara ilishachongwa ila bado kilikuwa ni kichochoro maana njia ilikuwa inanibana na joto lilinichanganya sana.

saa saba inafika alarm inalia muda niliopanga niondoke naona ndo kwanza binti kanikumbatia kapagawa analia kama mtoto hataki kuniacha.

Wazo la inteview lilinitoka kabisa !!
Simu iliita nikawaambia nimepata homa wala sikujali.

Nilichezea bahati kwa tamaa za muda mfupi
 
Usiache
Yalinikuta !, Niliahirisha kwenda interview niliyoisaka kea muda ili nile tunda

Nakumbuka kuna kipindi wakati natafuta kazi kuna sehemu nilii apply na kweli nikapigiwa simu kwamba siku ya jumatatu niende, nikatumiwa pdf ikaonesha nafasi niliyoomba inabidi nifike saa nane mchana

Siku ya ijumaa mida ya jioni iliingia mesej fb ya rafiki tulikuwa tunachat sana huko fb ila ghafla alipotea online, aliniambia anakuja mkoa wangu kesho jumamosi ndiko alikochaguliwa chuo.

Dah, zali si ndio hili wazee, nikamwambia aondoe hofu na tupeane namba za simu akafanya hivyo.

Kesho yake kifaa kilifika, pisi ni pisi yani, kitoto kimemaliza six huko umbwe girls, basi kwa mara ya kwanza tunaonana ikawa ni mzuka sana.

Usiache pia kutuambia kwa sasa uko wapi na je umepata tena kazi au ni mpiga debe na tena pale kituoni😂🏃🏃
 
Huu usenge siwezi kabisa
 
Hizi ni mada pendwa kwa watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri, ambao ni 80% ya wabongo
 
Jua lilivyokali mzee unahairisha interview kisa utelezi hata sijataka kusoma mpaka mwisho nimeishia apo kwenye kichwa cha Habari
 
Back
Top Bottom