Tuliosoma shule za Vipaji Maalum tukutane hapa...

Ego is the Enemy

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
7,419
14,187
Hapa namaanisha kwa wale wanafunzi tuliobahatika kusoma shule za VIPAJI maalumu ingawa wengine wanaponda kama vile Msalato, Mzumbe, Kibaha, Tabora boys, Tabora girls, Ilboru na Kilakala.

Binafsi nimepitia Tabora boys na Ilboru. Mkuu wa Tabora Boys alikuwa Amaan Mrisho na Ilboru alikuwa Kwayu.
 
Ukweli mchungu...ila inabd mtu ausemee
Tundu Lisu alisoma hapo Ilbolu.
Lakini ona madhara yake.
Utasema nacho ni kipaji????
Cha kuwatetea mabepari na uchonganishi.......!
Wengine tunao huku makizini,
YAANI SIO HATA MA INNOVATORS WAO NI KAMA MA PHOTOCOPY MACHINE ukiwapa kitu au maelekezo na ukikomandi NDIPO WANA RESPOND......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom