Tyrone Kaijage
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 1,611
- 3,342
Watoto wa shule za serikali za vipaji maalum kama Kibaha, Mzumbe, Ilboru, Tabora boys, Kismiri, Kilakala, Msalato.
Hizi shule kwa namna fulani zinashindana hasa hasa hamasa zinatoka kwenye uongozi, ingawa hawafundishi ipasavyo ila wanajua kutia hamasa kwa kushindanisha matokeo ya wao kwa wao.
Hizi shule kuna watu wanasoma lengo lake ni aingie top ten, awe T.O ,akimbize somo fulani nakadhalika.
Huko watu wanasoma mpaka unashangaa, kuna watoto wanapenda sifa za kuitwa vichwa hasa wale ndugu zangu wa huku karibu na Kagame na Uganda.
Unafika shule hizi form five unakuta mtu kashakava mpaka topic za form six.
Wa form three mtu kashamaliza mpaka topic za form four.
Kigezo cha kutotangaza hizo best positions za ufaulu eti kisa mazingira ya usomaji ni tofauti msije mkasema baadae wawe na mitihani tofauti kulingana na mazingira….