Tuliomaliza chuo tunalia na ajira mtaani

MWL MTZ

Member
Aug 12, 2011
39
2
tumemaliza chuo na sasa tupo mtaani lakini tunalia na ajira kila kukicha utatuona na baasha mkononi lakini wapi! mliopo chuoni na mnotalajia kujiunga na vyuo angaline course za kusoma.
 
Kaka fikiria kujiajiri na si kutembeza bahasha kama unataka kufanikiwa, otherwise kutoka ni ngumu kwa kuajiriwa
 
Back
Top Bottom