Chuo cha TIA kwanini mnawatia wazazi na wanafunzi hasara?

Mzazi waleo

Member
Jan 25, 2024
6
3
Kuna baadhi ya wanafunzi wa Bachelor's walichaguliwa kujiunga na chuo mwaka jana wakapokelewa chuoni na wazazi wakalazimishwa kulipa 60% ya ada halafu sasa hivi wazazi wanapigiwa simu na kuambiwa watoto wao hawana sifa za kuendelea na masomo, huo ni uhuni chuo kimefanya na haijulikani kama fedha zitarudishwa au la, naomba wadau mtupazie sauti katika jambo hili.
 
Kuna baadhi ya wanafunzi wa Bachelor's
Walichaguliwa kujiunga na chuo mwaka jana wakapokelewa chuoni na wazazi wakalazimishwa kulipa 60% ya ada halafu sasa hivi wazazi wanapigiwa simu na kuambiwa watoto wao hawana sifa za kuendelea na masomo, huo ni uhuni chuo kimefanya na haijulikani kama fedha zitarudishwa au la, naomba wadau mtupazie sauti katika Jambo hili
Woga wa mtanzania. Mnashindwa kupaza sauti ninyi? Kwanza siyo kupaza sauti bali mnastahili kuchukuwa action.
 
Kuna baadhi ya wanafunzi wa Bachelor's
Walichaguliwa kujiunga na chuo mwaka jana wakapokelewa chuoni na wazazi wakalazimishwa kulipa 60% ya ada halafu sasa hivi wazazi wanapigiwa simu na kuambiwa watoto wao hawana sifa za kuendelea na masomo, huo ni uhuni chuo kimefanya na haijulikani kama fedha zitarudishwa au la, naomba wadau mtupazie sauti katika Jambo hili
TIA wap,
Arusha, Mwanza, Mtwara, Dodoma,Dar es Salaam au kigoma?
 
Walidahiliwa kupitia TCU, je walikuwa na principal mbili, DD + pass nne za kidato Cha nne au walitokea cert, wakaenda dip, je kuingia cert walikuwa na pass nne za o level?

Chuo kinampigia mzazi simu au mwanachuo anapewa taarifa?
 
walifata process zote kwenye system wanatokea kidato cha nne
 
Hakuna disco wala nini wanadai waliwasajili kimakosa sasa warudishe hela na muda waliowapotezea watoto
Hili jambo limemtokea rafiki angu ple KCMC ila walirudishiwa ada ya miaka mitatu yote waliopotezewa
 
Back
Top Bottom