Tuliokuamini na kukutetea kwenye janga la Corona umetuangusha. Nimepoteza rafiki na ndugu kwa janga la Corona. Serikali chukueni hatua

Mkuu Barafu, kwanza pole sana kwa kufiwa na rafiki rubani wa Tanapa. Pia kwa incident ya kifo cha Mzee wa jirani aliyekosa huduma hadi kupoteza maisha na familia yake kuingizwa karantini.

Tangu kuingia kwa janga la Corona, elimu ya kinga imeenezwa sana, ila kwa upande wa msimamo na kauli za rais wetu, kuna watu hawajamwelewa ukiwemo wewe.

Watanzania tuko wa aina tatu
1. Kundi la kipato cha juu na watumishi wa umma, matajiri na wafanyabiashara wakubwa. Hili ndilo kundi pekee ambalo wanaweza kuishi kwenye lockdown. Hawa wako wachache nchi ikiamua kufanya lockdown, wataendelea kulipwa even by doing nothing, na wataninua mahitaji yao yote na kujifungia ndani. Hawa ni watu wenye magari yao na wanaweza kununua mahitaji yote supermarkets. Kwenye kundi hili, they've made money and now, they use money work for them.
Yaani wanapesa ambapo wanaweza kukaa na kuitumia pesa kuwafanyia kazi. Kati ya watu milioni 50 ya Watanzania, kundi hili lina watu 10% ambao ni watu milioni 5.

2. Kundi la pili ni watu wa kipato cha kati, the working class, hawa ni wafanyakazi waajiriwa, wazalishaji mali na wafabiashara wa kati. Hawa wanafanya kazi, wanatoka jasho ndipo wapate pesa. Ikitokea lockdown hawa uzalishaji utasimama, biashara zitasimama, uchumi utatikisika na the working class watapoteza kazi, hivyo hawawezi ku survive kwenye lockdown. Hawa they work for money to live, yaani wanafanya kazi na kuvuja jasho kutafuta pesa ili waitumie hiyo pesa kuishi na kuendesha maisha yao. Ikitokea lockdown hawawezi kufanya kazi na hawawezi kupata pesa hivyo hawawezi kuishi. Kundi hili lina 20% ya Watanzania ambao ni watu milioni 10.

3. Kundi la mwisho ni kundi la watu wenye kipato cha chini, hawa they live hand to mouth, kundi hili ni kundi la wakulima, wafugaji, wavuvi na wafabiashara wadogo ambao ili waishi lazima wawahudumie, makundi yale mawili, kukitokea lockdown, kundi hili ndio most hit, watakufa njaa inabidi wagawiwe chakula, kundi hili lina 70% ya watu milioni 50, ambao ni watu milioni 35. Hawa they don't make any money, they only struggle to survive.

Uamuzi wa rais Magufuli wa no lockdown una lengo la kuzuia kuporomoka kwa uchumi wetu sio ili to make money but kuzuia watu wetu wasife njaa, kama ni kufa kwa kakolona heri wachache wafe kwa Corona, kuliko kufanya lockdown na kuua wengi kwa njaa.

P
Personally nashughulikua matatizo ya sasa na sihofii ya mbeleni. Ya mbeleni yakijitokeza, basi ndio ninayatatua. Lakini ndio hivyo kwamba watu tunatofautiana. Nafikiri tungetatua tatizo lililopo sasa la Korona kwanza, halafu kama inaleta madhara basi tutafute njia nyingine. At least hata kama hakuna lockdown, basi kwenda makanisani na mikusanyiko ya kidini iishe.

Hatujafanya lockdown lakini uchumi uko vibaya tayari kwa watu wengi ninaowajua wanalalamika hawaoni fedha na hakuna kazi za day worker.

Pia suala kama hili ni vizuri kupambana mapema kupata shida kwa sasa, ili liishe watu waendelee na maisha na biashara. Tz tulichofanya, tumeamua tusipate shida kwa sasa, tukitegemea hio ni sawa. Tatizo ni kama hali itaendelea kuwa mbaya, nchi zote duniani zitatukana na hakuna atakayetaka ku-deal na sisi kwa namna yeyote. Covid 19 inakuwa shida sana kuisha ukiangalia mataifa mengine yaliyoipitia hii.

Na watu unaofikiria kwamba watakufa wachache, tuombe basi Mungu iwe hivyo. Isiwe kwamba wafe wengi zaidi na zaidi na zaidi. Kwa takwimu zinavyoendelea, namba zinaongezeka siku baada ya siku.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Mkuu Pascal hivi tukifanya uchambuzi wa kina, Tanzania tuna watu walio hoi zaidi wa kundi la 3 kuliko wenzetu Uganda? Je tangia Uganda wapo lockdown ni watu wangapi wamekufa kutokana na njaa ya lockdown. Convid 19 itaua sana kuliko madhara ya lockdown, kutokana na udhaifu wa mamlaka zetu kudhibiti mikusanyiko huku wananchi hawavai mask, mbele ni giza totolo. Tutakuja kujilaumu wakati madhara yametokea kutokana na kushindwa kuchukua hatua za kudhibiti.
 
Mkuu Barafu, kwanza pole sana kwa kufiwa na rafiki rubani wa Tanapa. Pia kwa incident ya kifo cha Mzee wa jirani aliyekosa huduma hadi kupoteza maisha na familia yake kuingizwa karantini.

Tangu kuingia kwa janga la Corona, elimu ya kinga imeenezwa sana, ila kwa upande wa msimamo na kauli za rais wetu, kuna watu hawajamwelewa ukiwemo wewe.

Watanzania tuko wa aina tatu
1. Kundi la kipato cha juu na watumishi wa umma, matajiri na wafanyabiashara wakubwa. Hili ndilo kundi pekee ambalo wanaweza kuishi kwenye lockdown. Hawa wako wachache nchi ikiamua kufanya lockdown, wataendelea kulipwa even by doing nothing, na wataninua mahitaji yao yote na kujifungia ndani. Hawa ni watu wenye magari yao na wanaweza kununua mahitaji yote supermarkets. Kwenye kundi hili, they've made money and now, they use money work for them.
Yaani wanapesa ambapo wanaweza kukaa na kuitumia pesa kuwafanyia kazi. Kati ya watu milioni 50 ya Watanzania, kundi hili lina watu 10% ambao ni watu milioni 5.

2. Kundi la pili ni watu wa kipato cha kati, the working class, hawa ni wafanyakazi waajiriwa, wazalishaji mali na wafabiashara wa kati. Hawa wanafanya kazi, wanatoka jasho ndipo wapate pesa. Ikitokea lockdown hawa uzalishaji utasimama, biashara zitasimama, uchumi utatikisika na the working class watapoteza kazi, hivyo hawawezi ku survive kwenye lockdown. Hawa they work for money to live, yaani wanafanya kazi na kuvuja jasho kutafuta pesa ili waitumie hiyo pesa kuishi na kuendesha maisha yao. Ikitokea lockdown hawawezi kufanya kazi na hawawezi kupata pesa hivyo hawawezi kuishi. Kundi hili lina 20% ya Watanzania ambao ni watu milioni 10.

3. Kundi la mwisho ni kundi la watu wenye kipato cha chini, hawa they live hand to mouth, kundi hili ni kundi la wakulima, wafugaji, wavuvi na wafabiashara wadogo ambao ili waishi lazima wawahudumie, makundi yale mawili, kukitokea lockdown, kundi hili ndio most hit, watakufa njaa inabidi wagawiwe chakula, kundi hili lina 70% ya watu milioni 50, ambao ni watu milioni 35. Hawa they don't make any money, they only struggle to survive.

Uamuzi wa rais Magufuli wa no lockdown una lengo la kuzuia kuporomoka kwa uchumi wetu sio ili to make money but kuzuia watu wetu wasife njaa, kama ni kufa kwa kakolona heri wachache wafe kwa Corona, kuliko kufanya lockdown na kuua wengi kwa njaa.

P
Nakubaliana na wewe Paschal, pia ninamkumbusha mtoa mada kuwa Mhe.Rais hakusema kuwa tufanye kazi bila kuchukua tahadhali, hapana! Sisi ni Taifa changa ni lazima tukimbie wakati wengine wanatembea. Muhimu ni kuwa tufanye kazi huku tukichukua tahadhali zote za kiafya jinsi ambavyo viongozi wetu wametuelekeza kama usafi, kunawaka kwa sabuni na maji tiririka, kuvaa barakoa, namna ya kupiga chafya, kufanya safari za lazima tu. Sema barakoa kama za N95 wengi wetu hatuwezi kumudu, zitumike hata za vitambaa. Sioni ubaya wa jambo hili. Hata uchumi wa Marekani, Jumuiya ya Ulaya na wote waliofanya lockdown chumi zao zimiyumba.
 
Personally nashughulikua matatizo ya sasa na sihofii ya mbeleni. Ya mbeleni yakijitokeza, basi ndio ninayatatua. Lakini ndio hivyo kwamba watu tunatofautiana. Nafikiri tungetatua tatizo lililopo sasa la Korona kwanza, halafu kama inaleta madhara basi tutafute njia nyingine. At least hata kama hakuna lockdown, basi kwenda makanisani na mikusanyiko ya kidini iishe.

Hatujafanya lockdown lakini uchumi uko vibaya tayari kwa watu wengi ninaowajua wanalalamika hawaoni fedha na hakuna kazi za day worker.

Pia suala kama hili ni vizuri kupambana mapema kupata shida kwa sasa, ili liishe watu waendelee na maisha na biashara. Tz tulichofanya, tumeamua tusipate shida kwa sasa, tukitegemea hio ni sawa. Tatizo ni kama hali itaendelea kuwa mbaya, nchi zote duniani zitatukana na hakuna atakayetaka ku-deal na sisi kwa namna yeyote. Covid 19 inakuwa shida sana kuisha ukiangalia mataifa mengine yaliyoipitia hii.

Na watu unaofikiria kwamba watakufa wachache, tuombe basi Mungu iwe hivyo. Isiwe kwamba wafe wengi zaidi na zaidi na zaidi. Kwa takwimu zinavyoendelea, namba zinaongezeka siku baada ya siku.

Mungu ibariki Tanzania.
Yaani sipati picha pale dunia nzima itakapokuwa inatuangalia Watanzania. Wote Kama mazuzu eti kisa mtu mmoja
 
Mkuu Barafu, kwanza pole sana kwa kufiwa na rafiki rubani wa Tanapa. Pia kwa incident ya kifo cha Mzee wa jirani aliyekosa huduma hadi kupoteza maisha na familia yake kuingizwa karantini.

Tangu kuingia kwa janga la Corona, elimu ya kinga imeenezwa sana, ila kwa upande wa msimamo na kauli za rais wetu, kuna watu hawajamwelewa ukiwemo wewe.

Watanzania tuko wa aina tatu
1. Kundi la kipato cha juu na watumishi wa umma, matajiri na wafanyabiashara wakubwa. Hili ndilo kundi pekee ambalo wanaweza kuishi kwenye lockdown. Hawa wako wachache nchi ikiamua kufanya lockdown, wataendelea kulipwa even by doing nothing, na wataninua mahitaji yao yote na kujifungia ndani. Hawa ni watu wenye magari yao na wanaweza kununua mahitaji yote supermarkets. Kwenye kundi hili, they've made money and now, they use money work for them.
Yaani wanapesa ambapo wanaweza kukaa na kuitumia pesa kuwafanyia kazi. Kati ya watu milioni 50 ya Watanzania, kundi hili lina watu 10% ambao ni watu milioni 5.

2. Kundi la pili ni watu wa kipato cha kati, the working class, hawa ni wafanyakazi waajiriwa, wazalishaji mali na wafabiashara wa kati. Hawa wanafanya kazi, wanatoka jasho ndipo wapate pesa. Ikitokea lockdown hawa uzalishaji utasimama, biashara zitasimama, uchumi utatikisika na the working class watapoteza kazi, hivyo hawawezi ku survive kwenye lockdown. Hawa they work for money to live, yaani wanafanya kazi na kuvuja jasho kutafuta pesa ili waitumie hiyo pesa kuishi na kuendesha maisha yao. Ikitokea lockdown hawawezi kufanya kazi na hawawezi kupata pesa hivyo hawawezi kuishi. Kundi hili lina 20% ya Watanzania ambao ni watu milioni 10.

3. Kundi la mwisho ni kundi la watu wenye kipato cha chini, hawa they live hand to mouth, kundi hili ni kundi la wakulima, wafugaji, wavuvi na wafabiashara wadogo ambao ili waishi lazima wawahudumie, makundi yale mawili, kukitokea lockdown, kundi hili ndio most hit, watakufa njaa inabidi wagawiwe chakula, kundi hili lina 70% ya watu milioni 50, ambao ni watu milioni 35. Hawa they don't make any money, they only struggle to survive.

Uamuzi wa rais Magufuli wa no lockdown una lengo la kuzuia kuporomoka kwa uchumi wetu sio ili to make money but kuzuia watu wetu wasife njaa, kama ni kufa kwa kakolona heri wachache wafe kwa Corona, kuliko kufanya lockdown na kuua wengi kwa njaa.

P
Mayalla your train of thought is really disgusting, you are in deep denial and deceived. Worse enough you concoct your own lies and believe them: How disappointing.
 
Mkuu pole sana kwa kufiwa,

Tukirudi kwenye hoja Kwanini unalaumu bila kutafuta ukweli?

Unataka Rais hadi awepo magogoni Ndio ujue yupo mstari wa mbele?

Rais anafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha corona inathibitiwa

Watanzania tusiwe watu wa kulaumu tu

Mnyonge mnyongeni Lkn haki yake mpeni!

Mimi nimefuatilia sana kuhusu suala la corona lilivyoikumba China, masala yote ya mlipuko yalikuwa Chini ya Waziri Mkuu wa China mpaka corona inathibitiwa!

Hivi Unataka Rais Magufuli aende amana akawasalimie wagonjwa Ndio ujue anawajibika
A President in front line ?
Which President are you referring to here ?
You're in a wrong side of history my friend.
 
Mungu siyo Pascal Mayalla useme atakuwa mnafiki, amen amen nawaambia muda siyo mrefu hawa viongozi wanaotuua kwa makusudi wataanza kupukutika kwa Corona zaidi yetu. Hata mtu ajifiche Chattle haitasaidia kwa sababu tayari wameruhusu Corona kupenya kila kona ya nchi!
Miashani mwangu huwa nakutana na wanafiki wengi, lakini sijapata kuona mtu mnafiki na mzandiki kama huyu jamaa anayejiita Pascal Mayalla. Uzandiki wake ni wa kiwango cha yule IAGO wa kwenye simulizi za Shakespeare.
 
Hapo naona unafanya shambulizi binafsi (character assasination) kwa Pascal Mayala, badala ya kujadili hoja zake na kutoa mawazo mbadala! Kikubwa hapa ni kufanya kazi kwa kuzingatia maagizo ya Viongozi wetu na wizara ya Afya.
 
Paskal Mayalla Mkuu ni umri ndio unaenda au basi tu.Mbona wakati mwingine unakuwa na reasoning ndogo kiasi hiki? Kenya walilifanya hilo nadhani hata Uganda. Na hili lilisemwa tangu mwanzo ukawa unaleta nyuzi zako za kutetea na na kishabiki.
 
Covid19 is real, huku KWETU mpaka muda huu naandika hii comment kuna department nzima wapo karantini sababu top wao amepimwa amekutwa positive leo ni siku ya nne ofisi yao imefungwa. Wana department wamepimwa ni wazima top tu ndio amepatikana positive na yuko hoi hoi kabisa ila matumaini yapo maana bado anaweza kuongea. Watu wengi wameingiwa na hofu kwa kuwa asilimia kubwa HAPA wapo kwenye risk kama wenye sukari na magonjwa MENGINEYO. Tuchukue tahadhari wandugu Covid yupo anazunguka zunguka.
 
Hapo naona unafanya shambulizi binafsi (character assasination) kwa Pascal Mayala, badala ya kujadili hoja zake na kutoa mawazo mbadala! Kikubwa hapa ni kufanya kazi kwa kuzingatia maagizo ya Viongozi wetu na wizara ya Afya.
Jesus said "Don't spill your pearls to pigs" and "Do not give what is holy to the dogs". So rest assured I wouldn't bother sharing anything with children of wickedness who are devoid of truth.

Just look at the statistics, you fools are in deep denial and in a wrong side of history.
 
Mkuu Barafu, kwanza pole sana kwa kufiwa na rafiki rubani wa Tanapa. Pia kwa incident ya kifo cha Mzee wa jirani aliyekosa huduma hadi kupoteza maisha na familia yake kuingizwa karantini.

Tangu kuingia kwa janga la Corona, elimu ya kinga imeenezwa sana, ila kwa upande wa msimamo na kauli za rais wetu, kuna watu hawajamwelewa ukiwemo wewe.

Watanzania tuko wa aina tatu
1. Kundi la kipato cha juu na watumishi wa umma, matajiri na wafanyabiashara wakubwa. Hili ndilo kundi pekee ambalo wanaweza kuishi kwenye lockdown. Hawa wako wachache nchi ikiamua kufanya lockdown, wataendelea kulipwa even by doing nothing, na wataninua mahitaji yao yote na kujifungia ndani. Hawa ni watu wenye magari yao na wanaweza kununua mahitaji yote supermarkets. Kwenye kundi hili, they've made money and now, they use money work for them.
Yaani wanapesa ambapo wanaweza kukaa na kuitumia pesa kuwafanyia kazi. Kati ya watu milioni 50 ya Watanzania, kundi hili lina watu 10% ambao ni watu milioni 5.

2. Kundi la pili ni watu wa kipato cha kati, the working class, hawa ni wafanyakazi waajiriwa, wazalishaji mali na wafabiashara wa kati. Hawa wanafanya kazi, wanatoka jasho ndipo wapate pesa. Ikitokea lockdown hawa uzalishaji utasimama, biashara zitasimama, uchumi utatikisika na the working class watapoteza kazi, hivyo hawawezi ku survive kwenye lockdown. Hawa they work for money to live, yaani wanafanya kazi na kuvuja jasho kutafuta pesa ili waitumie hiyo pesa kuishi na kuendesha maisha yao. Ikitokea lockdown hawawezi kufanya kazi na hawawezi kupata pesa hivyo hawawezi kuishi. Kundi hili lina 20% ya Watanzania ambao ni watu milioni 10.

3. Kundi la mwisho ni kundi la watu wenye kipato cha chini, hawa they live hand to mouth, kundi hili ni kundi la wakulima, wafugaji, wavuvi na wafabiashara wadogo ambao ili waishi lazima wawahudumie, makundi yale mawili, kukitokea lockdown, kundi hili ndio most hit, watakufa njaa inabidi wagawiwe chakula, kundi hili lina 70% ya watu milioni 50, ambao ni watu milioni 35. Hawa they don't make any money, they only struggle to survive.

Uamuzi wa rais Magufuli wa no lockdown una lengo la kuzuia kuporomoka kwa uchumi wetu sio ili to make money but kuzuia watu wetu wasife njaa, kama ni kufa kwa kakolona heri wachache wafe kwa Corona, kuliko kufanya lockdown na kuua wengi kwa njaa.

P
On point
 
Si kweli bwana acha kutetea ujinga. Mtoa mada kaeleza kila kitu kinaga ubaga unakuja na ngonjera zile zile yaani. Hivi wewe mlamba viatu ngoja nikuulize,

1. Bado huamini kwenye kuzuia mikusanyiko? Bado huamini kwenye kuzuia shughuli ili kupisha hili janga? Pamoja na kutolewa mifano hai yote hiyo bado huamini kwenye kuzuia ATCL kuruka kipindi hiki? Hivi kwa akili yako kati ya Emirates na ATCL nani anajua biashara zaidi?

2. Watu wanalaumu kwa sababu baada ya majanga kuongezeka tulitegemea Rais atoke mbele akemee na aeleze hali halisi sasa matokeo yake anatoka mbele anasema barakoa za nje zimewekewa virusi, anasema dawa ni kujifukiza! Kweli Bia unaamini haya? Katikati ya mapambano haya?

3. Kwanini data hazitolewi tena sasa? Kuna nini kinafichwa?

Kwanini hampendi kutumia akili mlizopewa bure na Mungu jamani. Hivi Dunia ikifanikiwa kutuliza hili janga Tanzania tutakuwa wageni wa nani sisi?
Dawa ikipatikana au chanjo usishangae akasema tena ina virusi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Barafu, kwanza pole sana kwa kufiwa na rafiki rubani wa Tanapa. Pia kwa incident ya kifo cha Mzee wa jirani aliyekosa huduma hadi kupoteza maisha na familia yake kuingizwa karantini.

Tangu kuingia kwa janga la Corona, elimu ya kinga imeenezwa sana, ila kwa upande wa msimamo na kauli za rais wetu, kuna watu hawajamwelewa ukiwemo wewe.

Watanzania tuko wa aina tatu
1. Kundi la kipato cha juu na watumishi wa umma, matajiri na wafanyabiashara wakubwa. Hili ndilo kundi pekee ambalo wanaweza kuishi kwenye lockdown. Hawa wako wachache nchi ikiamua kufanya lockdown, wataendelea kulipwa even by doing nothing, na wataninua mahitaji yao yote na kujifungia ndani. Hawa ni watu wenye magari yao na wanaweza kununua mahitaji yote supermarkets. Kwenye kundi hili, they've made money and now, they use money work for them.
Yaani wanapesa ambapo wanaweza kukaa na kuitumia pesa kuwafanyia kazi. Kati ya watu milioni 50 ya Watanzania, kundi hili lina watu 10% ambao ni watu milioni 5.

2. Kundi la pili ni watu wa kipato cha kati, the working class, hawa ni wafanyakazi waajiriwa, wazalishaji mali na wafabiashara wa kati. Hawa wanafanya kazi, wanatoka jasho ndipo wapate pesa. Ikitokea lockdown hawa uzalishaji utasimama, biashara zitasimama, uchumi utatikisika na the working class watapoteza kazi, hivyo hawawezi ku survive kwenye lockdown. Hawa they work for money to live, yaani wanafanya kazi na kuvuja jasho kutafuta pesa ili waitumie hiyo pesa kuishi na kuendesha maisha yao. Ikitokea lockdown hawawezi kufanya kazi na hawawezi kupata pesa hivyo hawawezi kuishi. Kundi hili lina 20% ya Watanzania ambao ni watu milioni 10.

3. Kundi la mwisho ni kundi la watu wenye kipato cha chini, hawa they live hand to mouth, kundi hili ni kundi la wakulima, wafugaji, wavuvi na wafabiashara wadogo ambao ili waishi lazima wawahudumie, makundi yale mawili, kukitokea lockdown, kundi hili ndio most hit, watakufa njaa inabidi wagawiwe chakula, kundi hili lina 70% ya watu milioni 50, ambao ni watu milioni 35. Hawa they don't make any money, they only struggle to survive.

Uamuzi wa rais Magufuli wa no lockdown una lengo la kuzuia kuporomoka kwa uchumi wetu sio ili to make money but kuzuia watu wetu wasife njaa, kama ni kufa kwa kakolona heri wachache wafe kwa Corona, kuliko kufanya lockdown na kuua wengi kwa njaa.

P
Ungenyamaza tu ili kutunza heshima yako bro.

Paskal usitake nikudharau bana.
Ishu niko hiv. Linapotokea jambo la dharura ni lazima njia za kidharura litumike kupambana nalo. Hii nchi ina mfuko wa dharura wa maafa.
Pili. coz hili ni janga la kimataifa zinahtajika uwaz hili usaidiwe kimataifa.
Tatu. Hakuna mtu ambae hajui tuko kwenye dharura so ukilockdown kwa mfano Dar zanzibar mwanza na Arusha. Unadeal na zile familia za wasiojiweza tu. Hawa watu wa mishahara cjui kipato cha juu wanapambana na hali zao. Mbona uganda wamefanye mzee na wamefanikiwa? Shida mimi ninayoiona ni kuwa kibur cha mamlaka ndio kinatusumbua. Tushaongea sana mambo mengi ambayo mwisho wa cku tumeshindwa kurud nyuma. Mara ooh cc ni nchi tajir ni dono country mara mabeberu mara cjui nini. Na ukiangalia vizur ni kama vile wazir mkuu na serikali yake hawakaubalian na Rais ni hawana jins tu ya kufanya. Sasa walituambia tuombe cku 3. Hapo hapo tutumie miti shamba halafu hapo hapo wanapika data za uongo. Hiv mnajua Mungu hadhihakiw. Ukipandacho ndicho utakachovuna. Mi naona kama mh ameamua kuidhalilisha hii nchi tu. Kwamba ionekane hii nchi inaamin miujiza katika kutatua jambo mambo ya zama za kinjikitile ngwale. Hiv kweli Rais hajui yeye ndio baba yetu. Kwa hili ameonyesha kushindwa kabisa uongoz aisee kuwa mkweli tu. Na by the way hiv unajua usichukua hatua ukiwa na muda ukaendelea kusubir muda uje ukuamulie tutakuwa tumekwisha?. Na masikin hata awe amechoka vip mzee akiumwa lazima watu wajifunge atibiwe. Hii nchi yetu sote tumezaliwa huko machakan kula mara moja kwa siku tunashindwa vip kuvumilia huo mwez mmoja wa lockdown?
 
Mkuu Barafu, kwanza pole sana kwa kufiwa na rafiki rubani wa Tanapa. Pia kwa incident ya kifo cha Mzee wa jirani aliyekosa huduma hadi kupoteza maisha na familia yake kuingizwa karantini.

Tangu kuingia kwa janga la Corona, elimu ya kinga imeenezwa sana, ila kwa upande wa msimamo na kauli za rais wetu, kuna watu hawajamwelewa ukiwemo wewe.

Watanzania tuko wa aina tatu
1. Kundi la kipato cha juu na watumishi wa umma, matajiri na wafanyabiashara wakubwa. Hili ndilo kundi pekee ambalo wanaweza kuishi kwenye lockdown. Hawa wako wachache nchi ikiamua kufanya lockdown, wataendelea kulipwa even by doing nothing, na wataninua mahitaji yao yote na kujifungia ndani. Hawa ni watu wenye magari yao na wanaweza kununua mahitaji yote supermarkets. Kwenye kundi hili, they've made money and now, they use money work for them.
Yaani wanapesa ambapo wanaweza kukaa na kuitumia pesa kuwafanyia kazi. Kati ya watu milioni 50 ya Watanzania, kundi hili lina watu 10% ambao ni watu milioni 5.

2. Kundi la pili ni watu wa kipato cha kati, the working class, hawa ni wafanyakazi waajiriwa, wazalishaji mali na wafabiashara wa kati. Hawa wanafanya kazi, wanatoka jasho ndipo wapate pesa. Ikitokea lockdown hawa uzalishaji utasimama, biashara zitasimama, uchumi utatikisika na the working class watapoteza kazi, hivyo hawawezi ku survive kwenye lockdown. Hawa they work for money to live, yaani wanafanya kazi na kuvuja jasho kutafuta pesa ili waitumie hiyo pesa kuishi na kuendesha maisha yao. Ikitokea lockdown hawawezi kufanya kazi na hawawezi kupata pesa hivyo hawawezi kuishi. Kundi hili lina 20% ya Watanzania ambao ni watu milioni 10.

3. Kundi la mwisho ni kundi la watu wenye kipato cha chini, hawa they live hand to mouth, kundi hili ni kundi la wakulima, wafugaji, wavuvi na wafabiashara wadogo ambao ili waishi lazima wawahudumie, makundi yale mawili, kukitokea lockdown, kundi hili ndio most hit, watakufa njaa inabidi wagawiwe chakula, kundi hili lina 70% ya watu milioni 50, ambao ni watu milioni 35. Hawa they don't make any money, they only struggle to survive.

Uamuzi wa rais Magufuli wa no lockdown una lengo la kuzuia kuporomoka kwa uchumi wetu sio ili to make money but kuzuia watu wetu wasife njaa, kama ni kufa kwa kakolona heri wachache wafe kwa Corona, kuliko kufanya lockdown na kuua wengi kwa njaa.

P
Umeacha hoja za msingi za namna ya kujikinga na kuelimishana

Umeshindwa kuwaza namna ya kuendelea na biashara kariakoo kwa kuijengea sepcials zones wilaya zote na kuwa na utaratibu maalum wa nyakayi za biashara na kupunguza sababu za kila mtu kwenda kariakoo

Mass testing

Case identification kupitia local authorities na namna ya kusaidiana kupitia watendaji

Wewe umewaza lockdown tu na hiyo categorization yako
 
Back
Top Bottom