Tya02 weka pic inbox tukuone huwenda kigoli kweli hahhahaa
Hahaha sisi home tulikuwa na Tv aina ya National nchi 21 mzee ilikuwa akifika tu saa nne anaanza hayahaya kama mwanafunzi kulala sasa afu ndio inaanza daaah tulikuwa tunaibeba tunaenda nayo chum bani kimyakimyanakumbuka sun seat beach ilikua ikianza tunafukuzwa kulala
Steve wa kwenye family matters..View attachment 402149hivi mnamkumbuka jina huyu jamaa..? ...vichekesho vyake vilikua itv miaka hio sijui vilikua vinaitwaje
Duh hata wewe utakua nusu kustaafu mi ndo hata shule siijuikaka utakuwa unakaribia kustaafu.....hahaaha....mi nilivyo hv najiona mzee na kipindi hiko ndo kwaanza nipo la tatu.....wakati ITV inaanza kuna kifaa kilikuwa lazima ununue kiwekwe kwenye TV ili uangalie mpira.....kulikuwa na jamaa mmoja wa kipemba nadhani alikuwa akiitwa Abdi saleh ktk kipindi cha muziki.
hahahahaahaDuh hata wewe utakua nusu kustaafu mi ndo hata shule siijui
Family matters huyo steveView attachment 402149hivi mnamkumbuka jina huyu jamaa..? ...vichekesho vyake vilikua itv miaka hio sijui vilikua vinaitwaje
we inaonekana ni wa juzi tuvitimbi.mwara na MZEE ojwang n.k.vichekesho vya will smith.bila kusahau taarifa ya habari